Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
amenitishajeeee!!! naogopa hata kumsogelea!!!
naikumbuka kisawasawa!! hapa naenda mtaa kwa mtaa!!
heeeeee!!! staki kujua bepari la kihaya limefumaniwa!!! loooh
teh teh teh... umeona eeeh!!!!!
oooh karibu mgeni mwenyeji
Dah niko na zawadi yako princess enny
thanx nshakarbia!!
Tanzania 7 Somalia 0
Na mpira umekwishaa!
Hureeeeeeee!!!
Tanzania 7 Somalia 0
Na mpira umekwishaa!
Hureeeeeeee!!!
Tanzania 7 Somalia 0
Na mpira umekwishaa!
Hureeeeeeee!!!
umekuja na zawadi gani?
acha umbea mtoto wa kiume,kha! au unataka uvalishwe khanga uchezeshwe mdumange??