Yaani mawazo yangu hayafai. Nilichojaza kwenye desh desh naomba mniachie wenyewe.
Pole kwa kutumiso. Kwani uliwndaga wappp?
Umetukosa
Eti?
heeeee...!!! shost spat picha uliwazaje. niende wapi na kwetu tuna miezi mkonga wa network umekatika... yan ful tabu hukuu
I ..........., princess enny
Usiniulize hizo desh desh zina maana gani
Karibu tena diha.eeeeh c unaona hadi I ...... u
yani tutasmamisha hadi mistim maana naona mbunge hatufai.. hapa wameskia tumeshajiandaa tuandamane ndio wametuachia leo. yan mda wowote nnaweza nkapotea hapaUsinikumbushe mwenzio nshatubu!
Sasa best ina maana wewe ndo mbunge wako aliangua kilio bungeni kulilia mtandao? Mmh poleni. Next tome msimamishe nguzo ya chuma igombee labda itawasaidia.
Shhhhh! Nini bwana na wewe!