Wana Chit - Chat!!

Wana Chit - Chat!!

pole umetoroka peke yako au mko wawili?? manake miezi 2 mingi usijekuwa umetoroka huku tumbo linaumuka tu...

mwelekeze watu8 anataka kupajua
huko kwenyewe nilikuwa peke yangu!! na nimetoroka peke yangu!!
mmmh watu 8 hapawezi!! hata mwenyewe keshakubal!! :typing:
 
huko kwenyewe nilikuwa peke yangu!! na nimetoroka peke yangu!!
mmmh watu 8 hapawezi!! hata mwenyewe keshakubal!! :typing:

ni wapi huk kwa Dr manyuki nini? hebu tuelezee huko sauti pweke nyikani ni wapi...!!! au ulitaka kujisucide
 
Back
Top Bottom