mmmmh acha nikae mbali mieeee!!!!!!!!!!!!!!!
Mzima weye!? Umejificha pande zipi? Nimekumissimo!
thanx my wii!! kaka angu mzima akin!!?? au ushaibiwaaa!!??
me mzima hofu kwako mpendwa. Me nipo nlikupa mda wa kunimiss jaman
kaka ako mzima ila nasikitika kukwambia mapenzi amepunguza kabisaaa
Ndo yupi huyo kaka ake!!??????
Na ni kweli nimekumiss! nice to hear from you
umesahau kumwambia nimepata asali wa moyo na nilikuwa honeymoon kwa muda mrefu sana.......
nlifichwa!!! hata cjui sehem gan!! hapa nimetoroka!!
khaaaa pepo gani limemuingia maskin!!! khaaahh!!!!!kaka ako mzima ila nasikitika kukwambia mapenzi amepunguza kabisaaa