Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Kaniudhi hata kama ni Mwenyekiti naogopa kusema wangu maana anaonekana hana hadhi ya kuwa juu yangu. Inaonekana afadhali ya mimi ningeongea kidiplomasia kidogo
 
JK waajabu. Kajichoka, kachoka familia yake, marafiki na nchi yake. Iyo kauli itamgharimu na kwa cheo chake italigharimu taifa. JK ameenda uingereza kuwambia wazunngu wapinge masoko ya tembio kwanza la sivyo meli za kinana zitaendelea kwenda maana soko lipo.
 
kama kakinukisha tujulishane .

amesema wana CCM tusiwe wanyonge...

kukinukisha mmekinukisha nyie hivi inakuingia rohoni kumchoma mwenzio nondo ya jicho?

inakupendeza kumkata mtu na panga?

unyonge ni kama laana..

hatutakuwa wanyonge tena haki zetu kama binadamu zinapopokwa na wahuni...
 
JK waajabu. Kajichoka, kachoka familia yake, marafiki na nchi yake. Iyo kauli itamgharimu na kwa cheo chake italigharimu taifa. JK ameenda uingereza kuwambia wazunngu wapinge masoko ya tembio kwanza la sivyo meli za kinana zitaendelea kwenda maana soko lipo.

wa ajabu kusema tusiwe wanyonge?

kama imekuuma jiue tu ila unyonge sasa basi
 
kwako TZ inayojielewa ni ya tabaka moja la watu kuchoma watu nondo machoni...

kumwagia watu tindikali....

na kukata watu mapanga?

kujielewa ni kuwa mnyonge dhidi ya wengine?

Unahitaji msaada mkubwa wa fikra

Usijidanganye kwahito rais ameshindwa kuwaagiza polisi kuwakamata waliofanya hayo ila ameona afadhali awachonganishe wananchi! kweli rais wetu ni tatizo
 
amesema wana CCM tusiwe wanyonge...

kukinukisha mmekinukisha nyie hivi inakuingia rohoni kumchoma mwenzio nondo ya jicho?

inakupendeza kumkata mtu na panga?

unyonge ni kama laana..

hatutakuwa wanyonge tena haki zetu kama binadamu zinapopokwa na wahuni...

kwahayo uliyo andika inamaana vyombo vya usalama vimeshindwa kazi ndio maana amesema hivyo?
Au yeye ameshindwa kutumia vyombo hivyo?
 
Amani ya Nchi lazima ilindwe kwa gharama zozote!

Amani haiwezi kulindwa kwa kuwachonganisha watu. italindwa na sheria. Haiwezekani Kiongozi mzima tena raisi ulopoke na watu wakuache unaendekeza ujinga. Nivizuri atumie akili na busara.
 
kwahayo uliyo andika inamaana vyombo vya usalama vimeshindwa kazi ndio maana amesema hivyo?
Au yeye ameshindwa kutumia vyombo hivyo?

Acha kuhangaika na sisi

Tuachie wenyewe,,,,

Hatutakuwa wanyonge...
 
umefika wakati aondoke ikulu yeye anachochea wananchi wauane mnafiki mkubwa mbona hajakeme bomu l mwiguru la Soweto , mbona hajakemea akina mujusi wanakata watu mapamnga mbona hajakemea wauaji wajombe wana ccm waliomvunja taya kada wa chadema mbona hajasema shinyanga nani alianzisha ugomvi ubagwe,mbona hajakema polisi waliomvurumisha matumbo mwangosi, waliomteka ulimboka raisi mnafiki mchochezi wa vita hafi kuwa ikulu tumemvumilia sana yatosha
 
Acha kuhangaika na sisi

Tuachie wenyewe,,,,

Hatutakuwa wanyonge...

mnajulikana nyie wauaji munaua kuanzia wafugaji wakulima wananchi wasio na hatia leo mwenyekiti wenu kadhihirishia umma kwamba yeye ndie anayewatuma amechoka kuamrisha amri nyuma ya migomngo ya wengine leo kaamua kulitangazia taifa wananchi tuuane na kuuawa na serikali ya kikwete
 
you are too low!!

your brain is contradicted.....

kutuuwa sasa basi...
kutuchoma nondo sasa basi tumeacha unyonge...
 
umefika wakati aondoke ikulu yeye anachochea wananchi wauane mnafiki mkubwa mbona hajakeme bomu l mwiguru la Soweto , mbona hajakemea akina mujusi wanakata watu mapamnga mbona hajakemea wauaji wajombe wana ccm waliomvunja taya kada wa chadema mbona hajasema shinyanga nani alianzisha ugomvi ubagwe,mbona hajakema polisi waliomvurumisha matumbo mwangosi, waliomteka ulimboka raisi mnafiki mchochezi wa vita hafi kuwa ikulu tumemvumilia sana yatosha

naona unapiga yowe kama kunguru mkiwa....

vipi sie kuukataa unyonge kukuume?
 
sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.
ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.
amewataka wana CCM kuacha unyonge. hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? kwa kuua au?
na amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.

source: news, TBC1
Siyo siri
Katika miaka ya hivi karibuni CCM imekuwa weak kutokana na kukosekana itikadi na taratibu zinazojenga mshikamano ndani ya chama.
 
Kinachotokea hapa JK anajaribu kuungopea umma kuhusu kike kinachotekea nchini. Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu watu kutokupiga kura na hii inatokana na wanaccm kupiga na kujeruhi watu bila polisi kuchukua hatua. Matokeo yake watu wanaogopa kwenda kupiga kura kwaajili ya usalama wao sasa anataka watu wadhani ni wapinzani ndio chanzo. Jk ukweli tunauona ila watu wanaogopa kusema hadharani.
Tunawataka viongozi wa dini zote, asasi za kiraia, waandishi wa habari watz kwa ujumla wetu kukemea kauli hii kwani kauli kama hii ni sawa na kukaa kimya wakati gari linaendeshwa na mlevi.
 
Wananchi na wanaharakati wa haki za binadamu tudai tafsiri ya hii kauli ya kiongozi mkuu wa nnchi au aifute haraka la sivyo itasababisha mauaji makubwa huko tunakoenda. Lakini pia ni vizuri na jambo jema viongozi wetu wakuu wakapima kauli zao wanazotoa maana zinaweza kuhatarisha amani ya taifa letu. Ee mola tuepushe na kauli kama hizi
 
hivi rasimu ya katiba mpya inaelezea nini kuhusu kinga ya rais?!
 
Back
Top Bottom