MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Amani ya Nchi lazima ilindwe kwa gharama zozote!
Nimeshangaa kauli yake hebu kila mtu mwenye dini na asiye na dini aombe kama dakika kumi kwa ajili ya kiongozi huyu mkuu wa chama.Nahisi zile damu zimeanza kuwachanganya watu ndo sababu wengine wanakimbilia Nigeria.Jamani hii ni hatari!!!
Binafsi sijaisikia, lakini baada ya kusoma hapa, pengine anawashawishi wa chama chake wajivunie wanachokifanya. Kuna tatizo hapo, yeye akiwa mwenyekiti wao? Tujitahidi kuangalia vitu kama vilivyo badala ya kujenga "presedence" ya vagi, mleta uzi.
Tukumbuke kuwa hii si nchi ya CCM na CDM pekee.
Am I missing something here?
Amani ya Nchi lazima ilindwe kwa gharama zozote!
Hamuwezi kumuelewa kwasababu alitakiwa kuwatumia polisi kuwakamata waliofanya hivyo. chakusangaza anawatuma wajibu mapigo. NISAWA NA KUMTUMA ALIYE IBIWA NAYE AKAIBE.
Nafikiri ukiwa na ushauri kama huu inabidi tutafakari kuhusu akili yako, maana anamamlaka, angeweza kuwaagiza polisi wawakamate waliofanya kitendo kile.
KWA UJUMLA NAFIKIRI AMESHINDWA KAZI, NA HANA BUSARA
Amani ya Nchi lazima ilindwe kwa gharama zozote!
ina tofauti sana mkuu maana hii imetolewa na amiri jeshi mkuu na ndio mwenye final say.
Naunga mkono kauli ya JK, ccm kama ilivyo kwa raia wengine wana haki ya kujilinda. Ningeshangaa kama JK angesema ccm wawe wanyonge. Kazi ya kujilinda sio jukumu la polisi ambao ni wachache kukidhi mahitaji, ni kazi ya kila chama na kundi la watu wenye nia moja njema. Kwanza JK kachelewa kutoa hii kauli kiasi cha watu kupoteza maisha kwa unyonge. Baba aliniambia usichokoze ila ukichokozwa na mchokozaji akadhamilia kukujeruhi, usiwe mnyonge. Pigana naye then baba yake na mimi tutakaa kuongea nakumaliza.
Hongera JK, tuko nyuma yako.