Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

huyu rais wa maccm ni buyu kweli, kama anataka machafuko aendelee na uropokaji wake, asifikiri wafuas wa upinzani ni dhaifu kama maccm, in short ni kwamba, maccm musithubutu kuonja moto kwa ulimi, tutawachakaza mbaaaaaaya ------- zenu.
 
Searching and looking for his name in Tanzania daima magazines but its always absent,

Because he is no body,just house negro of Dr.W.Slaa

He loves chadema more than he loves himself,

Trying to fool the mass that he is the grandson of nyerere,but gues what..!!,he is just stupid njaa kali and kanjanja lisilo na mbele wala nyuma.

Young boy u have to live yourlife now because there's no promise of a second time again,all what you have to do is just 'live'

Laiti chadema wangekuwa wana plan nawewe tokea pale ulipoanza kujikweza na kujichukulia nasaba ya nyerere na kuacha nasaba ya msambila ambae ni mzee wako mzazi,obviously wangekupa hata nafasi ya ufagizi pale ufipa,lakini ndio kwanza wanazidi kukupuuza,huoni kama unazidi kupoteza muda zaidi...!!

Njoo huku Mtwara tukupe mashamba ya korosho ulime,i think that will help you,mjini hapo pagumu sana na pameshakushinda usizidi kudhalilika

Nafikiri mkuu The bigshow umeenda nje ya maada! Nakuomba urudi ujadili uzi uliowekwa na si kumshambulia mtu.

Kama unataka kupeleka ujumbe kwa Yericho, anzisha uzi wako na sio kwenye uzi huu!

Maada iliyo mbele yetu ni kauli ya mheshimiwa rais wa jmt. Je ni Kweli alitoa kauli hiyo? Na kama aliitoa, kwa yeye kama rais wa nchi anayesimamia na kuilinda katiba yetu ni sawa? Kama si sawa, je amevunja sheria?
 
Last edited by a moderator:
Na Said Kubenea


JAKAYA Mrisho Kikwete, mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, anapaswa kushitakiwa kwa uchochezi.

Akifungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama chake mjini Dodoma leo, Kikwete alichochea wanachama wa CCM kuwapiga wapinzani kwa kudai kuwa, "Uvumilivu una kikomo."

Amewataka wana CCM kuacha unyonge kwa madai kwamba wapinzani wamekuwa wakiwapiga huku wao wakisubiri polisi kuchukua hatua za kisheria.

Hii ina maana kwamba, Kikwete ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, amewataka wanachama wa CCM, kuchukua sheria mkononi. Ametaka wananchi kuumizana, kupingana na kuuana. Huu ni uchochezi unaoweza kuingiza nchi katika machafuko ya kisiasa, kidini na kijamii.

Kama Kikwete alitaka urais, bila shaka alijipima na kujiona anaweza kufanya kazi hiyo. Kama alikuwa anajua anakwenda Ikulu kujaribu, basi alikuwa amekosea. Ikulu siyo sehemu ya kujaribu.

Kauli ya Kikwete ya kutaka wananchi wajibu mapigo, ni ishara kwamba ameomba kazi ambayo haiwezi.

Rais wa nchi hawezi kuchochea raia wake kupigana. Anapaswa kutumia vyombo alivyonavyo kusimamia sheria.

Ni lazima akumbushwe kwamba nchi hii ikiingia katika machafuko au mauaji ya halaiki, yeye ndiye atakuwa wa kwanza kuulizwa. Anaweza asiulizwe na vyombo vya sheria vya hapa, lakini ataulizwa na vyombo vingine vya dunia.

TUANZE KUMSHITAKI HUYU aliyesema" NCHI HAITATAWALIKA"- Huyu ndiye mleta vurumai zote Kisha Tuje kumshitaki kikwete
 
Mbona hizo zote ni vurugu za CCM wenyewe? wangekuwa CDM au CUF umensika kova na mapovu yangemtoka mdomoni

Mbona hukusema haya wakati wana CCM wamechomewa nyumba, wamekatwa mikono na kutolewa macho huko kahama?

Mbona hukuwashitaki Mbowe na Slaa wanaotembea kwa chopper kushinikiza ngumi na mapanga kila siku?

Mchochezi ni nani? Umemwelewa JK we Kubenea au ni muendelezo wa majungu yako ya kukosa kuteuliwa nae tangu 2005?

JK hakumaanisha mapanga wala ngumi, na kama unapenda haki dhidi ya wachochezi basi faili la kwanza Mahakamani washitakiwe Mbowe na Slaa pamoja na wabunge wao kwa uchochezi na utekelezaji wa mauaji.

Nenda Bugando Mwanza ukawaone majeruhi ndo uje uandike makala yenye haki.

Kubenea unajiaabisha.
Hata wao chadema watakushangaa kama unasimama kuwatetea.

Ushahidi wa mwanzo ni namna wananchi walivyoamua kuwakataa kupitia kura na kuambulia kata 3, je unadhani hiyo ni kawaida?

Kubenea vua miwani ya ushabiki uitendee haki kalamu yako.
 
Ombea AMANI na viongozi wako ili AMANI ya tznia idumu coz waathirika tutakuwa cc
 
Alicho sema sawa tu.
Kama vyama vingine vina fanya uhuni na ugaidi ili kuwatusha watu wasipige kura njia nzuri ni kujibu mapigo kwa kuwalinda wakapige kura.
Wakizongea vituo vya kuisabia kura nao ccm wazongee
Fujo za uchaguzi za wengine jawabu ni jino kwa jino
kama mgekuwa mnajali haki za watu kupiga kura,daftari lingekuwa linafanyiwa review kilamwaka kwa ajiri ya kusajiri watu wapya wanaokidhi kigezo cha umri.don't preach water while drinking wine.
 
sasa km upande wapili wanasema tutapigana ngumi, nchi hatawaliki, tupeane kichapo tuu kieleweke kimoja

yaani survive for the fittest
 
Nafikiri mkuu The bigshow umeenda nje ya maada! Nakuomba urudi ujadili uzi uliowekwa na si kumshambulia mtu.

Kama unataka kupeleka ujumbe kwa Yericho, anzisha uzi wako na sio kwenye uzi huu!

Maada iliyo mbele yetu ni kauli ya mheshimiwa rais wa jmt. Je ni Kweli alitoa kauli hiyo? Na kama aliitoa, kwa yeye kama rais wa nchi anayesimamia na kuilinda katiba yetu ni sawa? Kama si sawa, je amevunja sheria?

Majibu kama hayo ndiyo yanawafaa wahafidhina na maliberary kama akina YERIKO NYERERE wanaojipachika majina ambayo yana historia kumbe wakati kichwani kuna husda, wivu, akili ndogo saaaaaaaaaaaaana kama punge.
 
Na bado, si mlifikiri CCM wamelala, mtakiona cha moto na vurugu zenu.

Chadema wakifanya uhalifu kama walivyo ua singida na kutoboa macho mwana CCM shinyanga pamoja na kumwagia tindikali yule kijana wa Igunga wakienda mahakamani wana achiwa huru kwa sababu ya mtandao wao wa ukabila mahakamani! Sasa Chadema wata adhibiwa kwa wakati huo huo! Unyonge sasa basi
 
Mnaanza kulia lia kabla hatujajibu mapigo, tulieni tujibu mapigo wasengerema nyie.
 
Katka hali ya kushangaza,mkuu wa nchi,rais jk amechochea wananchi kupigana et kwa sabb tu ya itikadi za kisiasa.

Rais kawaambia wana ccm akiwa kwenye kikao cha nec dodoma kuwa,'acheni woga,nany jibuni mapigo..,.
Rais kasahau kuwa wenye ugomvi ni ccm kwani kule kahama,wanaccm walimteka na kumpiga mwandish wa habar wa mwananchi et kwann wanawapiga picha wanaccm wakiwapiga wapinzani..

Ni dhahir kuwa sasa serikali ya ccm ndio wachochez wakuu hata kwa migogoro ya ardh..kaul hii ni ya kupingwa kwa nguv zote..
Moods hata ukifuta, magazet karb yote yameandika leo
mimi naona mwenyekiti wa chama
cha cha mapindunzi amewapatia. munafanya vurugu munapo kamatwa nakupelekwa kwenye vyombo husika munaenda kugeuza eti ni mambo ya siasa wakati tayari huku mumeshahalibu kila kitu.
 
kama mgekuwa mnajali haki za watu kupiga kura,daftari lingekuwa linafanyiwa review kilamwaka kwa ajiri ya kusajiri watu wapya wanaokidhi kigezo cha umri.don't preach water while drinking wine.

Hii mada ya YERIKO inahusiano gani na daftari la kupigia kura? au kuwapiga watu kuna uhusiano gani na daftari kuboreshwa? shughulisha akili yako mkuu.
 
Amechoka na amani ana taka kujaribu kwanza ya Rwanda na Burundi.

Tuliponga, Huyo Mwenyekiti wa ccm anataka kutuhamisha kutoka katika Mjadala wa Katiba.Hizi kaauli za viongoz wa CCM zina sharabu uelewa wao na akili zao zilivyo hebu Tizama na hizi za wengine;

1. Inaseme kana Mbunge wa zamani wa Karatu (Marehemu Patrick QORO aliwahi kuwambia watu wa mang`ula Karatu kwamba vichwa vyao Viko Kama Vitunguu! na wengine walipo mhoji kuhusu tatizo la maji aliwa jibu ...sasa mnataka mimi nikojoe ndo mpate maji?
2.Basil Pesa mbili Mramba alisema wananchi wa Tanzania hata walalamike vipi na ikibidi kula majani wale ila ndege ya Rais itanunuliwa
3.Mzee David Cleop Msuya akiwa Waziri alipata kutamka kwamba Kila mtu atabeba mzigo wake Mwenyewe.
4.Mzee Benjamin Mkapa akitetea kukabidhi mashirika ya uma kwa Bei chee kwa makaburu alisema Paka ni paka ilimradi anakamata Panya?
5.Waziri Mkuu mstaafu F.Sumaye...Wafanyabiashara mkitaka mufanikiwe katika Biashara zenu mujiunge na CCM.
6.Mh.George Simbachawene alipata kuwaambia wanaodhani Umeme ni gharama watumie vibatari!?
7.Mh.John Pombe Magufuli alipata kusema wanao shindwa kulipa nauli ya Tsh Miambili kwenda Kigamboni wapige mbizi?!
8.Mheshimiwa Mizengo Peter Pindi alipata kusema nimechoka sasa wanchi wapigwe Tu na alipoambiwa kuhus mafisadi akasema hao wasiguswe nchi itatikisika.
9.Rais Kikwete amenukuliwa akiwahamasisha ccm kutokuwa wnyonge na kutoa mifano ya Igunga na kwamba sasa anawataka kujibu Mapigo?! na kwamba katika uchaguzi wa Kalenga wana enda kupambana na Chama cha Vurugu.

Kauli ya nane na tisa hapo juu zisipofanyiwa kazi kikamilifu na wanamageuzi wote pamoja,watetea Haki za Binadamu na watanzania na kuhakikishieni tutajuuutah?! kuifahamu CCM ,KWA MAONI YANGU HILO AGIZO CONSTURCTIVELY WALIKUWA WANAPEWA WAKUU WAVITENGO VYA ZIADA VYA ccm YAANI POLISI,JESHI NA BAADHI YA MAAFISA USALAMA WA TAIFA MAAKE HAWA NDO TUMEWAONA WAKIPIGA,KUTESA,KUBAMBIKA KESI WATU KWA NIABA YA CCM NA SERIKALI YAKE.

Swali la kujiuliza je tutaendelea mpaka lini kusubiri Kupigwa,kungolewa meno,kulipuliwa mabomu ,kubambikiwa kesi?! Baba wataifa alipata kusema iwapo mambo haya na yanamna hii yataendelea kufanywa na viongozi ambao wanaishi maisha ya kufuru na anasa za kupindukia(kwani licha ya mishahara mikubwa na minono ha walipi kodi)na wananchi (wanao kamuliwa Kodi katika kile wanacho kifanya na hata wakati wa ufungaji wa ndoa) wakaendelea kuvumilia na kukaa kimya licha ya uonevu na dhuluma ya namna hii basi WANANCHI HAO WATAKUWA MATAAHIRA!
 
kama mgekuwa mnajali haki za watu kupiga kura,daftari lingekuwa linafanyiwa review kilamwaka kwa ajiri ya kusajiri watu wapya wanaokidhi kigezo cha umri.don't preach water while drinking wine.

hayo ni matakwa ya cdm
 
Hii mada ya YERIKO inahusiano gani na daftari la kupigia kura? au kuwapiga watu kuna uhusiano gani na daftari kuboreshwa? shughulisha akili yako mkuu.

Mwisho wao umefika lazima waadhibiwe kwa wakati,CCM imewalea sana!
 
Back
Top Bottom