wewe mjinga usisababishe tukapata hasira bure hivi unajua ni watu wa ngapi wa chadema wameishauwawa na kuumizwa na wengine mpaka sasa ni vilema kuanzia wakati wa uchaguzi wa Kiteto 2007,Tarime, busanda, biharamulo,na mpaka igunga kumbe Kikwete alinyamazia yale mauji kwasababu yeye ni sehemu ya mpango huo amehusika kupanga huu upuuzi wa kuwaua Watanzania kwasababu wana mawazo mbadala huyu anatangaza umwagaji damu na hatuatakubali hata kidogo.
Waliuawa kwa sababu gani? kama siyo vurugu walizoanzisha wao? usitegemee kuwa ukianzisha vurugu siyo lazima ufe wewe, jiwe likirushwa halichagui umeanzisha vurugu wewe au la. CHADEMA mjitathmini sana, ukiona mkuu wa nchi ametoa kauli kama hiyo ujue serikali imechoka, sasa mkiendekeza viroba vyenu na uchagaa hakika mtakwisha