chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
Hao wanaofanya hayo maovu,Hapa hatushindani kuorodhesha maovu wanayofanyiwa wafuasi wa vyama, kikubwa hapa ni kuwa JK kaongea kama RAIS na AMIRI JESHI MKUU.
Hao wanaojiita Makamanda,
Hao wanaojiita Red Brigade,
Hao wote wanaongozwa na watu,
Watu hao ni Mbowe na Slaa Mkiti na Katibu wa Chama,
Washitakiwe hawa kwanza na wabunge kama Msigwa,Kasulumbayi na Lema hawa wamesababisha vifo,fujo na majeraha yasiyopona.
Mathalani watu wamekatwa mikono utamlipa nini masikini huyu kinacholingana na mkono wake? Kisa chadema.
Kuna watu Bugando wamenyofolewa Macho,utamlipa nini mtu huyo ili aone haki imetendeka? kisa Chadema.
Stahili ya mauaji,fujo,mapanga,Tindikali,uvamamizi na nondo ndio demokrasia?
Washitakiwe Mbowe na Slaa,Lema,Kasulumbayi na Msigwa ili haki ipatikane.