Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Alicho sema sawa tu.
Kama vyama vingine vina fanya uhuni na ugaidi ili kuwatusha watu wasipige kura njia nzuri ni kujibu mapigo kwa kuwalinda wakapige kura.
Wakizongea vituo vya kuisabia kura nao ccm wazongee
Fujo za uchaguzi za wengine jawabu ni jino kwa jino
Crabat nina wasi wasi na uelewa wako. Kauli hii ya kiongozi wa nchi anaiongoza,yeye vyombo vyote vya dola kwa kweli ina ukakasi. Ni kauli inayopaswa kutolewa na mtu wa mitaani na si kiongozi wa nchi tena yenye kujinasibu kuwa inaongozwa na utawala wa sheria!! Si ni IGP wake nzdiye aliyekuja na kaulimbiu ya KUTII SHERIA BILA SHURUTI?! Sasa iweje tena Boss wake aje na kauli inayokinzana na mwenye dhamna ya 'Usalama wa Raia na mali zao.'
 
Acha uchochezi we Kubenea. Unadhalilisha taaluma ya uandishi wa habari maana siku zote habari zako zimejaa majungu tupu. Umeshindwa kuuona uchochezi unaofanywa na akina Slaa, Mbowe na Msigwa kwenye majukwaa kila siku, umeiona kauli ya Kikwete tu. Laanakum sheitwan mk...ubwa wee!
Yule ni raisi wa nchi,hapaswi kuropoka
 
Hao wanaofanya hayo maovu,
Hao wanaojiita Makamanda,
Hao wanaojiita Red Brigade,
Hao wote wanaongozwa na watu,

Watu hao ni Mbowe na Slaa Mkiti na Katibu wa Chama,

Washitakiwe hawa kwanza na wabunge kama Msigwa,Kasulumbayi na Lema hawa wamesababisha vifo,fujo na majeraha yasiyopona.

Mathalani watu wamekatwa mikono utamlipa nini masikini huyu kinacholingana na mkono wake? Kisa chadema.

Kuna watu Bugando wamenyofolewa Macho,utamlipa nini mtu huyo ili aone haki imetendeka? kisa Chadema.

Stahili ya mauaji,fujo,mapanga,Tindikali,uvamamizi na nondo ndio demokrasia?

Washitakiwe Mbowe na Slaa,Lema,Kasulumbayi na Msigwa ili haki ipatikane.

@çhuki usitokwe POVU sana, kunatofauti kati ya hao wote na RAIS, unafahamu ya kuwa RAIS ndiye mwenye kauli ya mwisho. Nguvu ya DOLA zote zipo chini yake na zinamtii yeye tu. Yeye amechaguliwa na watanzania, na anasimamia watanzania wote KIKATIBA either awe mfuasi wa chama chochote ama siyo. Hao wengine wote hawawezi kuamrisha majeshi yetu kuingia vitani hata watumie kauli gani, ila yeye hata akiandika sentesi moja tu inatosha. Ni lazima uelwe hili, acheni ushabiki na umbumbumbu wa LUMUMBA.
 
Wanachotaka cdm ni vita ili wajumuishwe kwenye mseto Wa serikali
wapambane kwa hoja basi,sisi hatutaki lawama,wote hawa washenz tuh,kwan wenzao huko zanzibar walitumia njia gani,si wajifunze kutoka kwao..!!

Ile cd ya mauaji ya watanzania wenzetu huko arusha hadi leo wameikumbatia hawataki kuitoa,damu zinamwagika shauri yao hawa wapuuzi then wanajivika utetez wa wanyonge,roho mbaya sana wapuuz
 
Acha uchochezi we Kubenea. Unadhalilisha taaluma ya uandishi wa habari maana siku zote habari zako zimejaa majungu tupu. Umeshindwa kuuona uchochezi unaofanywa na akina Slaa, Mbowe na Msigwa kwenye majukwaa kila siku, umeiona kauli ya Kikwete tu. Laanakum sheitwan mk...ubwa wee!

Wewe una laana kichwani mwako,unajua Kikwete ni nani nchini?kama yeye anaanza kuleta ujinga unafikiri hao anaowaongoza watakuwaje,Emu lete ushahidi wako kuonyesha Mbowe ama Slaa akihamasisha watu wapigane!achane upumbavu wa kushangilia kila jambo linalofanywa na Poor prezd.
 
Na Said Kubenea


JAKAYA Mrisho Kikwete, mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, anapaswa kushitakiwa kwa uchochezi.

Akifungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama chake mjini Dodoma leo, Kikwete alichochea wanachama wa CCM kuwapiga wapinzani kwa kudai kuwa, “Uvumilivu una kikomo.”

Amewataka wana CCM kuacha unyonge kwa madai kwamba wapinzani wamekuwa wakiwapiga huku wao wakisubiri polisi kuchukua hatua za kisheria.

Hii ina maana kwamba, Kikwete ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, amewataka wanachama wa CCM, kuchukua sheria mkononi. Ametaka wananchi kuumizana, kupingana na kuuana. Huu ni uchochezi unaoweza kuingiza nchi katika machafuko ya kisiasa, kidini na kijamii.

Kama Kikwete alitaka urais, bila shaka alijipima na kujiona anaweza kufanya kazi hiyo. Kama alikuwa anajua anakwenda Ikulu kujaribu, basi alikuwa amekosea. Ikulu siyo sehemu ya kujaribu.

Kauli ya Kikwete ya kutaka wananchi wajibu mapigo, ni ishara kwamba ameomba kazi ambayo haiwezi.

Rais wa nchi hawezi kuchochea raia wake kupigana. Anapaswa kutumia vyombo alivyonavyo kusimamia sheria.

Ni lazima akumbushwe kwamba nchi hii ikiingia katika machafuko au mauaji ya halaiki, yeye ndiye atakuwa wa kwanza kuulizwa. Anaweza asiulizwe na vyombo vya sheria vya hapa, lakini ataulizwa na vyombo vingine vya dunia.

.
Kuna askofu mmoja wa kkkt aliwahi sema kwa sasa kwenye kiti cha urais pana koti limewekwa psle kushikillia hiyo nafasi hadi atakapopatikana rais wa nchi.
Ile kauli kauli ndio sasa inadhihirika kuwa na maana..
.
 
YERICKO NDIE MCHOCHEZI.HII TAARIFA KAILETA YERICKI NA SI KUBENEA.HIVYO WA KULAUMU KWA UCHOCHEZ NI YERICKO NA KIMBELEMBELE KAMA MAFUA YA ASUBUHI.KWANZA YERICKO Mzushi sana kuliko pepo mchafu.we tangu lini na wapi dunian rais aliagiza raia wake hususan wanachama wake wapigane na wapinzani;?rais anamiliki vyombo vya mabavu kuliko wanachama,kwa nini asitume hivo vyombo atume wanachama?hamuwezi kuona yericko alivo mnafiki na mzushi?mi nadhani hii habar imetungwa na yericko na kumsingizia kubenea.
 
wapambane kwa hoja basi,sisi hatutaki lawama,wote hawa washenz tuh,kwan wenzao huko zanzibar walitumia njia gani,si wajifunze kutoka kwao..!!

Ile cd ya mauaji ya watanzania wenzetu huko arusha hadi leo wameikumbatia hawataki kuitoa,damu zinamwagika shauri yao hawa wapuuzi then wanajivika utetez wa wanyonge,roho mbaya sana wapuuz

Kuwa makini na mabandiko yako mkuu! Siku moja utajitahidi kuyakana. Lakini itakuwa "TOO LATE"... Hata km ni hasira, pia ni wengi wenye hizo hasira. Tena ni wengi wenye "UCHUNGU NA HII NCHI"
 
Duh wakati hajawaruhusu tu washaua sana na kutesa watu mpaka kwa mabomu hii sasa baada ya kupewa rungu tutashuhudia makubwa sana
 
Tunataka Rais asiwe Mwenyekiti ktk Chama chake!

Yote haya yanasababishwa na Rais Kua na madarakani yote!
 
Mbona hukusema haya wakati wana CCM wamechomewa nyumba, wamekatwa mikono na kutolewa macho huko kahama?

Mbona hukuwashitaki Mbowe na Slaa wanaotembea kwa chopper kushinikiza ngumi na mapanga kila siku?

Mchochezi ni nani? Umemwelewa JK we Kubenea au ni muendelezo wa majungu yako ya kukosa kuteuliwa nae tangu 2005?

JK hakumaanisha mapanga wala ngumi, na kama unapenda haki dhidi ya wachochezi basi faili la kwanza Mahakamani washitakiwe Mbowe na Slaa pamoja na wabunge wao kwa uchochezi na utekelezaji wa mauaji.

Nenda Bugando Mwanza ukawaone majeruhi ndo uje uandike makala yenye haki.

Kubenea unajiaabisha.
Hata wao chadema watakushangaa kama unasimama kuwatetea.

Ushahidi wa mwanzo ni namna wananchi walivyoamua kuwakataa kupitia kura na kuambulia kata 3, je unadhani hiyo ni kawaida?

Kubenea vua miwani ya ushabiki uitendee haki kalamu yako.

Natambua kuwa unaushabiki usio na maslahi kwa taifa,hata kama unayoyasema ni kweli,je rais anaongea maneno kama hayo kwa wanaccm?
Lakini ukweli hamtaki kuusema,Arusha mwanachadema alichinjwa serikali iko kimya kwanini tusiamini basi kuwa lilikuwa agizo la Kikwete?
 
Hapa hatushindani kuorodhesha maovu wanayofanyiwa wafuasi wa vyama, kikubwa hapa ni kuwa JK kaongea kama RAIS na AMIRI JESHI MKUU.

kama mwenyekiti wa chama akiwa na wanachama wenzake kwenye mkutano wa chama.
 
Acha uchochezi we Kubenea. Unadhalilisha taaluma ya uandishi wa habari maana siku zote habari zako zimejaa majungu tupu. Umeshindwa kuuona uchochezi unaofanywa na akina Slaa, Mbowe na Msigwa kwenye majukwaa kila siku, umeiona kauli ya Kikwete tu. Laanakum sheitwan mk...ubwa wee!

Hizi njaa za kubenea sasa zinaelekea pabaya! Kubenea anatumia taaluma yake vibaya! mara nyingi habari zake zimejaa uchochezi na zimeegemea upande mmoja!
 
Katka hali ya kushangaza,mkuu wa nchi,rais jk amechochea wananchi kupigana et kwa sabb tu ya itikadi za kisiasa.

Rais kawaambia wana ccm akiwa kwenye kikao cha nec dodoma kuwa,'acheni woga,nany jibuni mapigo..,.
Rais kasahau kuwa wenye ugomvi ni ccm kwani kule kahama,wanaccm walimteka na kumpiga mwandish wa habar wa mwananchi et kwann wanawapiga picha wanaccm wakiwapiga wapinzani..

Ni dhahir kuwa sasa serikali ya ccm ndio wachochez wakuu hata kwa migogoro ya ardh..kaul hii ni ya kupingwa kwa nguv zote..
Moods hata ukifuta, magazet karb yote yameandika leo
 
Jk alishashindwa urais zamani sana tusubiri mda wake uishe
 
kuwa makini na mabandiko yako mkuu! Siku moja utajitahidi kuyakana. Lakini itakuwa "too late"... Hata km ni hasira, pia ni wengi wenye hizo hasira. Tena ni wengi wenye "uchungu na hii nchi"

kamanda achana nae huyo ana laana ya usaliti.
 
Back
Top Bottom