salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Nadhani ataomba radhi kwa hili; nayeye ni binadamu ulimi unaweza kuteleza tuuu hasa kama mtu ana hangover
Nadhani ataomba radhi kwa hili; nayeye ni binadamu ulimi unaweza kuteleza tuuu hasa kama mtu ana hangover
hahaahaaaa
TUANZE KUMSHITAKI HUYU aliyesema" NCHI HAITATAWALIKA"- Huyu ndiye mleta vurumai zote Kisha Tuje kumshitaki kikwete
kumbe matakwa ya cdm ni kutaka watu wengi washirki zoezi LA kupiga kura ambayo ni haki yao kikatiba?na matakwa ya ccm ni yapi?no wonder rais wenu alipatikana kwa uchaguzi ulioshirikisha wapigakura milioni nane,kwenye nchi yenye watu wenyekustahili kupiga kura milioni 22.hayo ni matakwa ya cdm
Tuliponga, Huyo Mwenyekiti wa ccm anataka kutuhamisha kutoka katika Mjadala wa Katiba.Hizi kaauli za viongoz wa CCM zina sharabu uelewa wao na akili zao zilivyo hebu Tizama na hizi za wengine;
1. Inaseme kana Mbunge wa zamani wa Karatu (Marehemu Patrick QORO aliwahi kuwambia watu wa mang`ula Karatu kwamba vichwa vyao Viko Kama Vitunguu! na wengine walipo mhoji kuhusu tatizo la maji aliwa jibu ...sasa mnataka mimi nikojoe ndo mpate maji?
2.Basil Pesa mbili Mramba alisema wananchi wa Tanzania hata walalamike vipi na ikibidi kula majani wale ila ndege ya Rais itanunuliwa
3.Mzee David Cleop Msuya akiwa Waziri alipata kutamka kwamba Kila mtu atabeba mzigo wake Mwenyewe.
4.Mzee Benjamin Mkapa akitetea kukabidhi mashirika ya uma kwa Bei chee kwa makaburu alisema Paka ni paka ilimradi anakamata Panya?
5.Waziri Mkuu mstaafu F.Sumaye...Wafanyabiashara mkitaka mufanikiwe katika Biashara zenu mujiunge na CCM.
6.Mh.George Simbachawene alipata kuwaambia wanaodhani Umeme ni gharama watumie vibatari!?
7.Mh.John Pombe Magufuli alipata kusema wanao shindwa kulipa nauli ya Tsh Miambili kwenda Kigamboni wapige mbizi?!
8.Mheshimiwa Mizengo Peter Pindi alipata kusema nimechoka sasa wanchi wapigwe Tu na alipoambiwa kuhus mafisadi akasema hao wasiguswe nchi itatikisika.
9.Rais Kikwete amenukuliwa akiwahamasisha ccm kutokuwa wnyonge na kutoa mifano ya Igunga na kwamba sasa anawataka kujibu Mapigo?! na kwamba katika uchaguzi wa Kalenga wana enda kupambana na Chama cha Vurugu.
Kauli ya nene na tisa hapo juu zisipofanyiwa kazi kikamilifu na wanamageuzi wote pamoja na watanzania na kuhakikishieni watajuuutah?! kuifahamu CCM ,KWA MAONI YANGU HILO AGIZO CONSTURCTIVELY WALIKUWA WANAPEWA WAKUU WAVITENGO VYA ZIADA VYA ccm YAANI POLISI,JESHI NA BAADHI YA MAAFISA USALAMA WA TAIFA MAAKE HAWA NDO TUMEWAONA WAKIPIGA WATU KWA NIABA YA CCM NA SERIKALI YETU.
Swali la kujiuliza je tutaendelea mpaka lini kusubiri Kupigwa,kungolewa meno,kulipuliwa mabomu ,kubambikiwa kesi?! Baba wataifa alipata kusema iwapo mambo haya yataendelea kufanywa na wananchi wakendelea kuvumilia basi WANCHI HAO WATAKU MATAAHIRA!
Nadhani ataomba radhi kwa hili; nayeye ni binadamu ulimi unaweza kuteleza tuuu hasa kama mtu ana hangover
Hapa hatushindani kuorodhesha maovu wanayofanyiwa wafuasi wa vyama, kikubwa hapa ni kuwa JK kaongea kama RAIS na AMIRI JESHI MKUU.
umeona niliye mquote kaandika nini?rudi kasome alafu ulinganishe Kisha useme kitu.Hii mada ya YERIKO inahusiano gani na daftari la kupigia kura? au kuwapiga watu kuna uhusiano gani na daftari kuboreshwa? shughulisha akili yako mkuu.
Mbona hukusema haya wakati wana CCM wamechomewa nyumba, wamekatwa mikono na kutolewa macho huko kahama?
Mbona hukuwashitaki Mbowe na Slaa wanaotembea kwa chopper kushinikiza ngumi na mapanga kila siku?
Mchochezi ni nani? Umemwelewa JK we Kubenea au ni muendelezo wa majungu yako ya kukosa kuteuliwa nae tangu 2005?
JK hakumaanisha mapanga wala ngumi, na kama unapenda haki dhidi ya wachochezi basi faili la kwanza Mahakamani washitakiwe Mbowe na Slaa pamoja na wabunge wao kwa uchochezi na utekelezaji wa mauaji.
Nenda Bugando Mwanza ukawaone majeruhi ndo uje uandike makala yenye haki.
Kubenea unajiaabisha.
Hata wao chadema watakushangaa kama unasimama kuwatetea.
Ushahidi wa mwanzo ni namna wananchi walivyoamua kuwakataa kupitia kura na kuambulia kata 3, je unadhani hiyo ni kawaida?
Kubenea vua miwani ya ushabiki uitendee haki kalamu yako.

kumbe matakwa ya cdm ni kutaka watu wengi washirki zoezi LA kupiga kura ambayo ni haki yao kikatiba?na matakwa ya ccm ni yapi?no wonder rais wenu alipatikana kwa uchaguzi ulioshirikisha wapigakura milioni nane,kwenye nchi yenye watu wenyekustahili kupiga kura milioni 22.
Lakini 14 kati mil.22 ambao hawakupiga kura walijiandikisha? kosa la nani mpiga kura au daftari la mpiga kura kutoboreshwa? hata wakijiandikisha watanzania wote hata aliyezliwa leo, CCM itashinda tu, coz CCM ina wapiga kura, CHADEMA ina wapiga viroba.
Umenikumbusha ndugu,katika orodha ya wanachama wa freemason na Rais wenu yumo,hivyo yawezekana ni zamu yake kutoa damu za watu,ndiyo anatafuta hizo damu kwa njia za uchochezi wa Raia wake ili Damu ipatikane.Viongozi wetu hawana uzalendo kabisa anatamka haya akijua yakitokea machafuko yeye anaouwezo wakwenda kuishi popote duniani, ikumbukwe kunawatu maskini hawawezi hatakuhamia mkoa mwingine japo wanaishi ktk hali ngumu. Napata wasiwasi yawezekan wanaongozwa na nguvu giza hawezekan ukasema hayo maneno kama hujatumwa kutoa kafara watu.( Fake tz leaders).