Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Mkuu hata kiswahili kina asili ya arabuni.
Kiswahili hakina asili ya Arabuni bali kimechukua baadhi ya maneno ya Kiarabu kama vile ambavyo kilivyochukua baadhi ya maneno ya Kibantu...

Jambo hili siyo la ajabu maana ni kawaida kwenye lugha maana inadaiwa hakuna lugha ambayo inajitegemea yenyewe....

Lugha karibia zote zimekopa maneno kutoka lugha nyingine,Kiswahili kukopa maneno ya Kiarabu hakukifanyi kiwe cha Waarabu....

Kiswahili ni matokeo ya muingiliano wa lugha zaidi ya mbili hivyo Kiswahili ni lugha yetu mkuu....
 
Nimependa utetezi wako wa kina.Kiswahili cha kwetu nimekubali.
 
Mkuu, anaongea ukweli kabisa, watu walikuwa wanakuja Africa kusoma na kujifunza kila kitu kwa sababu Africa ilikuwa imeendelea kupita eneo lolote Duniani. Wagiriki wote maarufu walikuza africa kujifunza elimu ya juu, Hata Musa alieandika vitabu vitano vya kwanza vya biblia elimu yake yote aliipata kutoka Misri. Wale Wamisri wazamani walitokea ndani ya Africa, nchi zote zilizokuwa karibu na river Nile. Nchi Kama Tanzania, Sudan, Ethiopia, Uganda, etc. Civilization ilikuja kutoka nchi hizi na kwenda chini.

Pia Africa ndio ilikuwa nchi ya kwanza kuanzisha (Monotheist religion) Mungu Mmoja ambayo baadaye Judaism, Christianity and Islam will copy. Na kuirudisha tena kwa waafrica na kuwaambia angalia dini nzuri mpya. Leo apya Africa we are tunapigana kwa ajiri ya dini, kwa sababu hatujui historia yetu na tumedanganywa kwa muda mrefu sana.

Unaweza kusoma mwenyewe habari za Osiris, Isis na Horus. Unaweza kusoma zaidi kwenye vitabu vya Dr Cheick Anta Diop (The African origin of Civilization: Myth or Reality?) na Theopile Obenga. (Ancient Egypt and Black Africa: A student's Handbook for the Study of Ancient Egypt in Philosophy, Linguistics and Gender Relations).

Tatizo leo hatusomi historia yetu ya ukweli iliyoandikwa na Waafrica. Pia tv, newspapers, kubwa zinazomilikiwa na wazungu mara nyingi sana hazisemi ukweli kuhusu historia kwa sababu hawapendi ukweli ufahamike.
Sio diop peke yake....Kuna watu wako Misri kusini, sudani kusini na kote bara la Africa...race ya wa ancient Egypt kabisa...nimefundwa na masufi
 
Hapa hukuwa na Torati, Biblia, Koran wala imani za kuletwa ambazo kimsingi zote zinatu undermine (ukweli).
Japo ukweli unaouma ni kwa nini hao wengine walipata wazo la kuja kutuvamia na sio sisi kuwavamia wao!?
Inabidi Waafrika tujichukulie kama nguo zinazofuliwa kwamba muda huu tumelowekwa na baada ya muda fulani labda 'tutatakata' hivyo kurudia ubora wetu kama ilivyokuwa hapo awali!
Sisi ndio waandishi wa maneno ya miungu ama the sacred words...lakini tizama uwongo wa myahudi ata anta diop ame I quote biblia lakini hakuishi kushuhudia great break through ya archiology kwamba wayahudi ni waongo hakukuwepo Musa, Exodus Wala utumwa khemet
 
Kiswahili hakina asili ya Arabuni bali kimechukua baadhi ya maneno ya Kiarabu kama vile ambavyo kilivyochukua baadhi ya maneno ya Kibantu...

Jambo hili siyo la ajabu maana ni kawaida kwenye lugha maana inadaiwa hakuna lugha ambayo inajitegemea yenyewe....

Lugha karibia zote zimekopa maneno kutoka lugha nyingine,Kiswahili kukopa maneno ya Kiarabu hakukifanyi kiwe cha Waarabu....

Kiswahili ni matokeo ya muingiliano wa lugha zaidi ya mbili hivyo Kiswahili ni lugha yetu mkuu....
Na hakikuchukua maneno ya kiarabu tu, Bali hata ya kingereza na kijerumani na kihindi na lugha mbali mbali za kibantu. Ni chetu
 
Ubaya ambao upo,karibia 99% a viongozi wetu wanaamini katika white supremacy.
Ni ngumu sana kukutana na kiongizi wa Africa mwenye kujua Historia halisi ya watu wake.Au labda wanajua ila wanaogopa wakisimamia ukweli wanapotezwa angalia kina Qaddafi,Lumumba,Sankara na hata wengine wanapotezwa kwenye dira ya mambo yao kama Mugabe au Nuerere.
Wakati wa ukombozi wa dunia umefika Sasa, mtu mweusi kujitambua...na ilishatabiriwa zamani....ndugu zangu mwanipa furaha tu....kwani myahudi atafunuliwa Sasa ndiye shetani...na mtu mweusi baba wa mataifa

"Africa must wake up,sleeping sons of Jacob,for what tomorrow may bring,be a better d

Ubaya ambao upo,karibia 99% a viongozi wetu wanaamini katika white supremacy.
Ni ngumu sana kukutana na kiongizi wa Africa mwenye kujua Historia halisi ya watu wake.Au labda wanajua ila wanaogopa wakisimamia ukweli wanapotezwa angalia kina Qaddafi,Lumumba,Sankara na hata wengine wanapotezwa kwenye dira ya mambo yao kama Mugabe au Nyerere.

"Africa must wake up
The sleeping sons of Jacob
For what tomorrow may bring
May a better day come
Yesterday we were Kings
Can you tell me young ones
Who are we today?"

Damian "Jr Gong" Marley
 
Sio diop peke yake....Kuna watu wako Misri kusini, sudani kusini na kote bara la Africa...race ya wa ancient Egypt kabisa...nimefundwa na masufi
Moses never existed..? Mpaka lini wayahudi watakuchezeeni akili?
 
a nini hawa Copts ni weupe lakini wanaongea BLACK TONGUE .Waarabu hawana lolote kuhusu ustaarabu wa Misri na wako makini kutosema ili wakusanye pesa ya utalii Misri
Hahaaaaa haaaaaaa mbavu sina miye... muhamadi mbona alikuwa haramia Yule...lakini namuheshimu alikuwa revolutionary waarabu wangelikuwa wapi leo pasipo yeye?
 
Kiswahili hakina asili ya Arabuni bali kimechukua baadhi ya maneno ya Kiarabu kama vile ambavyo kilivyochukua baadhi ya maneno ya Kibantu...

Jambo hili siyo la ajabu maana ni kawaida kwenye lugha maana inadaiwa hakuna lugha ambayo inajitegemea yenyewe....

Lugha karibia zote zimekopa maneno kutoka lugha nyingine,Kiswahili kukopa maneno ya Kiarabu hakukifanyi kiwe cha Waarabu....

Kiswahili ni matokeo ya muingiliano wa lugha zaidi ya mbili hivyo Kiswahili ni lugha yetu mkuu....
Hilo neno Swahili,ni neno la kiarabu,maana yake Pwani.Kwa hiyo hata jina la hii Lugha ni neno la kiarabu.
Na pia ujuwe muarabu hasa wa asili sio mweupe ni mtu mweusi,hawa weupe unaowaona ni baada ya kuona na mataifa ya wazungu,kama warusi,wagiriki,waturuki,waingereza,baada ya kupelekwa watumwa kutoka nchi hizo.Waarabu weusi,ambao ndio waarabu wenyewe wamebakia wachache sana,na wengine utawapata kwa wingi katika kisiwa kimoja,kiko karibu na nchi ya Yemen.
 
Hilo neno Swahili,ni neno la kiarabu,maana yake Pwani.Kwa hiyo hata jina la hii Lugha ni neno la kiarabu.
Historia ya mtawala...ya mtawaliwa bado haijaandikwa...mbantu baba wa vizazi...mtabisha mpaka lini?
 
Hilo neno Swahili,ni neno la kiarabu,maana yake Pwani.Kwa hiyo hata jina la hii Lugha ni neno la kiarabu.
Na Wala Swahili sio kiarabu Bali lugha kingwe ya kale mchepuko wa neno sali ama pray ndio asili ya neno hili
 
Back
Top Bottom