Haya majamaa hayachoki kusumbuliwa na wapalestina? kila kukicha vita!
Wana damu gani hawa?
Au ni mitoto pendwa ya baba shetani, mkuu wa ulimwengu, mpenda nyonya damu za watu ili kuimalisha kuzimu?
Dunia nzima hawatakiwi, Africa ndo kabisaaaaa! hawajagi, hata wakija kutalii hupitia UK,
Kenya wanajipendekeza kwa malengo fulani, lkn bado, Viongozi wana jua siri.
Niliwahi kutoa uzi huu karibu mara tatu hivi kwa Avatar yangu ileee pendwa, ajabu ya Mossad haikutoka kabisaa!
Moderator sijui ni Agent wa Israel? Naamini saa hizi amelala, kuna siri nyingine za kidunia hazitokagi
Najificha hapa leo. subiri
Siri ni hii, wengi hamjui. Uk walitakaga kutoa colony lao la Uganda kuwa nchi ya ahadi ya Wa-Zion. kwa sababu nyingi tu zilizo jaa propaganda za kisiasa nitaongelea hilo siku nyingine. hatua kwa hatua
Nonetheless huo mpango bado upo hai kwenye makarabrasha ya UN, kabisaa, Na asikudanganye mtu hii UN Hii ni Zionists(jews) mtupu, ndo chombo chao cha kuongelea, na wayahudi wanatamani leo hata kesho kuipata Uganda, ndo maana Museveni hatoki madarakani na hasemwi, anaenda na kurudi Israel kuliko Rais yeyote wa Africa.
Walimuandaa marehemu Idd Amin Dada, kwa ile elimu yake ya madrasa si akakubali, ashike madaraka ya Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi, badala ya Milton Obote mkristo msomi ambaye alikuwa na mrengo wa ukomunist, hivo basi hii ingepelekea kupitia jumuiya ya Africa mashariki, Idd amin aiongoze East Africa yote kwa msaada wa Shin belt ya Israel,
kama inavyoeleweka hii EAC ilikuwa ni mipango ya akina Nyerere,Milton Obote, na Kenyatta, kupitia viongozi wenzao wote wa Bara la Afirca na Pan Afican congress. ambao walitaka kufanya nchi moja ya UNITED STATE OF AFRICA. walijua mchezo mzima hawakuwa mambumbu.
Hapo walitaka sasa kiongozi huyu wam-control na kutoa sehemu ya EAC kiulainii, na asainishwe mikataba ya kilaghai km ile ya makanikia, yaliyo mtoa jasho jiwe, yakamfanya akawa mpole mpaka leo haongelei hayo tena.
Mipango hii kabambe iliandaliwa sambamba na ile ilosemwa kuunganisha Bara la Africa, hii ilikuwa ni option ya nchi za Magharibi, pale tu km Africa ingefanikiwa kuwa moja.
Juhudi hizi za Western countries, na maonyo mengi alopewa Idd amin hazikuzaa matunda, Idd akaamua km ni mbwai na iwe mbwai akajiunga na jumuiya ya kiislamu, OIC1974 a move led by the then presdent Idd amin,admitted as a muslam state? baada ya kustukia mchezo wote mchafu wa wazungu wa Israel,
Hapo akawatibua nyongo wazungu, kumbuka Israel walimsomesha akafundishwa kijeshi akawa vizuri, eti anaenda tena kuwa support Waarabu, wakatengeneza zengwe la hatari, yaani Entebe rescue July Mwaka 1976, kwa kuegemea kofia ya ''Che guavara force of the palestine liberation front'', Amin akajaa.
Hapo Rais huyu wa Uganda akaonekana kituko katili na kuchukiwa Dunia nzima, Baada ya kushindwa vibaya ktk ule ulioitwa uokoaji mateka.ili kumkomesha msaliti wao wakalipua ndege zote 45 alizokopa Urus. hata Yaser Arafat alichelewa sana kujua hii picha, he was supporting Idd Amin blindly.
Tangia hapo Idd Amini hakunyanyuka tena kijeshi wala kiuchumi, kila alilofanya ndani na nje ya nchi walilikuza kwa ubaya.
Mbaya zaidi, akazomewa kama mtoto mdogo na Western medias(hivi vinamilikiwa na ma-zionist) mpaka leo hii anaandikwa kwa image mbaya, eti alikuwa Rais mbakaji, mchawi .na uchafu kibao, unao fanana na huo, hakuna watu, wachawi(freemanson), wanafiki, waliobaka wanawake wa Africa km wazungu na waarabu, hasahasa enzi za utumwa mfano mzuri ni Wapemba ,Latino Americans, Bara Arab ndo kielelzo cha ubakaji. watu hawa hawana utaifa unaoeleweka asili yao.
Kisa tu walimuhitaji wakijua, had little formal education ni dhaifu akakubali kutumika na kupewa full militarry training near Dimona. hapa naomba niseme kitu wakikutaka utumike chagua moja Yes au No likn ukiwageuka lazima watakugeuka tu, kukataa kutumika as a puppet figure in his own country dhidi ya Sudan, na Later annex state of Israel in Uganda ndo kulimghalimu Idd, But huo mpango wa kuinyemelea Uganda bado upo ni endelevu. funguka.