Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Na Wala Swahili sio kiarabu Bali lugha kingwe ya kale mchepuko wa neno sali ama pray ndio asili ya neno hili
Muarabu na myahudi na mzungu mbonaa Ni maibilisi tu! Na saa ya hukumu yao imefika....
 
Historia ya mtawala...ya mtawaliwa bado haijaandikwa...mbantu baba wa vizazi...mtabisha mpaka lini?
Black Arabs.... black Indians..black Chinese..black Europeans...mtabisha mpaka lini? Sisi ndio baba zenu
 
Na Wala Swahili sio kiarabu Bali lugha kingwe ya kale mchepuko wa neno sali ama pray ndio asili ya neno hili
Hata hilo neno sali,ni neno la kiarabu,japo sio asili ya jina la Swahili(sio sali).Na kiswahili ni lugha ya maeneo ya Pwani ya afrika mashariki, kutokana na waarabu,walipotoka nchi za arabuni walifikia maeneo ya Pwani kwanza,kutokana na usafiri wa baharini.
 
Asili ya neno sali ni sahen kut kush ombaniet...ehe unaswali jingine???
 
Inaonekana sisi chimbuko letu ni engaruka,kule misri tulihamia tu hasa wakati cushi empire ilipojitanua mpaka middle east kabla hawajarudishwa tena hadi ethiopia,
 
Tatizo tunashindwa kuelewa ipi ni STORY na ipi ni HISTORY.....ndo mana pengine tunajuwa Egyptians ni Arabians......
Muarabu wa asili sio mtu mweupe,ni mtu mweusi,ni baada ya kuletwa watumwa weupe kutoka nchi za ulaya,kama Urusi,Uturuki,Ugiriki,Armenia na kuoana,ndio wakapatikana machotara weupe wa kiarabu.Waarabu weusi ,ambao ndio waarabu wa asili,wanapatikana wachache sana,na wengi wako kwenye kisiwa karibu na na nchi Yemen.Waarabu ni weusi, na nyele zao ziko kama rasta,na ndio taifa pekee duniani,lililopoteza uasili wake.
Na asili ya binadamu wote ni Adam na Hawa,na Qur'an imetaja hii, na vitabu vingine vyote vya dini. Ila Qur'an iliongezea,kuwa binadamu aliumbwa kwa kutumia udongo mweusi.Kwa hiyo kwa ufupi,binadamu wote ni ndugu,asili yao ni Adam na Hawa.
 
Na asili ya binadamu wote ni Adam na Hawa,na Qur'an imetaja hii, na vitabu vingine vyote vya dini. Ila Qur'an iliongezea,kuwa binadamu alimbwa kwa kutumia udongo mweusi.Kwa hiyo kwa ufupi,binadamu wote ni ndugu,asili yao ni Adam na Hawa.
Sina ubishi na wewe umekiri ukweli...eni masat pehet..karibu nyumbani mpenzi wangu....
 
Hakuna Cha adamu na Hawa...stupid motherfuckers....Blackman ...evolution from the apes...the first man was black.....wayahudi wameleta hadithi yao ya uongo...ndio wao walimfundisha muhamadi...fuckin stupid..pia wait ndio wameleta dini ya urasta
 
Muarabu wa asili sio mtu mweupe,ni mtu mweusi,ni baada ya kuletwa watumwa weupe kutoka nchi za ulaya,kama Urusi,Uturuki,Ugiriki,Armenia na kuoana,ndio wakapatikana machotara weupe wa kiarabu.Waarabu weusi ,ambao ndio waarabu wa asili,wanapatikana wachache sana,na wengi wako kwenye kisiwa karibu na na nchi Yemen.Waarabu ni weusi, na nyele zao ziko kama rasta,na ndio taifa pekee duniani,lililopoteza uasili wake.
Na asili ya binadamu wote ni Adam na Hawa,na Qur'an imetaja hii, na vitabu vingine vyote vya dini. Ila Qur'an iliongezea,kuwa binadamu aliumbwa kwa kutumia udongo mweusi.Kwa hiyo kwa ufupi,binadamu wote ni ndugu,asili yao ni Adam na Hawa.
We kikwaju uko wapi???
 
Back
Top Bottom