Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Kaka nadhani unawaongelea Siddi tribe ambayo ndio inakisiwa kuwa walifika India kwa njia hiyo ya Utumwa kutoka East Africa hasa Kenya na Uganda,

Mimi nazungumzia Jarawa Tribe ambao walifika India miaka 60,000 iliyopita, na walienda huko sio kwa njia ua Utumwa, na hawa ndio wanasemekana ndio walioenea hata maeneo ya Indonesia, Malaysia, mpaka Australia
Jarawa tribes, Jarawa tribes of India, People of Jarawa tribe
Wewe ulikuja na kunipinga kuwa hao hawakwenda huko kwasababu za kitumwa,hii inamaana ulikuwa unanipinga kile nilichosema,naona hapa unakuja na suala tofauti la kudai kuwa mimi na wewe tunazungumzia kitu tofauti,hii ni nini?

Kwanini usingeniuliza tu kuhusu nilichokuwa nasema bila kunipinga?
 
Mara kwa mara humuhumu JF nimekuwa nikielezea maana ya Kiarabu na Uarabu ni nini, pitia pitia posts zangu utanielewa.
Mbona unanipa kazi kubwa ya kupitia post zako?kwanini usiweke tu hapa kwa faida ya wengi?Maana ya Kiarabu na Uarabu.
 
Soma kuhusu melanin.

Soma kuhusu origin of human kind, utakuta kuwa duniani watu wa mwanzo ni hawa wa hapa kwetu ambao leo tunawaita Wambulu na Kabila zinazozunguka huko Mbulu.
Wambulu ni jina kla kejeli,wanaitwa Wairaqw!!

Mbona hawa watu wa asili wamebakia wachache sana?kama sikosei ni jamaa moja na Habesha na Somali. Kwanini wamekuja kua minority katija ardhi yao ya asili?
 
Mbona unanipa kazi kubwa ya kupitia post zako?kwanini usiweke tu hapa kwa faida ya wengi?Maana ya Kiarabu na Uarabu.
Kama vile kifaransa na wafaransa mfano nchi za Africa magharibi wengi wanaongea kifaransa lakin wao sio wafaransa
 
Wambulu ni jina kla kejeli,wanaitwa Wairaqw!!

Mbona hawa watu wa asili wamebakia wachache sana?kama sikosei ni jamaa moja na Habesha na Somali. Kwanini wamekuja kua minority katija ardhi yao ya asili?

Hapana, si kejeli. Wa Iraqw ni mojawapo ya hayo makabila yanayoizunguka Mbulu. Kwa ujumla wao ni Wambulu.

Huwa sikisii.
 
Ustaarabu wa Misri ulianza miaka 27,000 iliyopita,miaka 19,000 kabla ya kuonekana kwa mtu mweupe.Uvamizi wa kwanza mkubwa wa weupe ulikua ni ule wa mwaka 663 BC wa Assyrians
Baada ya hapa Misri ikaanza kuyumba.ikavamiwa tena na Persia na Wagiriki waliomaliza tawala zote za Misri wakaja Warumi na Mwisho kabisa Waarabu walioingia Misri kama sehemu ya Uvamizi wa Kiislam karibia miaka 1000 baada ya utawala wa mwisho wa wazawa.
Hapa hukuwa na Torati, Biblia, Koran wala imani za kuletwa ambazo kimsingi zote zinatu undermine (ukweli).
Japo ukweli unaouma ni kwa nini hao wengine walipata wazo la kuja kutuvamia na sio sisi kuwavamia wao!?
Inabidi Waafrika tujichukulie kama nguo zinazofuliwa kwamba muda huu tumelowekwa na baada ya muda fulani labda 'tutatakata' hivyo kurudia ubora wetu kama ilivyokuwa hapo awali!
 
Hapa sababu moja au mbili,

Ilikuwa vigumu wenyewe kupata chakula, unajua ni baridi sana katika winter ulaya. Kwayiho siku zote walikuwa wanatafuta mahari pengine kama ni rahisi kuisha. Ukiwa unaishi kwenye nchi ya baridi, inakufanya uwe mtumbuzi, mchunguzi na mdadisi sana, kwa sababu kama siyo unatakufa halaka sana. Unahitaji kuweka chakula kwa wakati wa miezi ya baridi ambapo huwezi ukalima, also you need to keep yourself warm in cold winter months.

Hapa Africa, ilikuwa ni rahisi sana kuishi, kulikuwa na wanyama wengi unaoweza ukawahua na kula. Matunda yanaota mengi tu, na udongo ulikuwa na afya sana, ukilima unapata machazo mengi sana. Kwahiyo huna sana sababu ya kwenda nchi zingine na kuchukua nchi za watu wengine. Chakula kipo cha kutosha kwa watu wote, land ni kumbwa kwa watu wote, kwahiyo hakuna sababu ya kupigania hivi vitu wakati ulaya haikuwa hivyo.

Sababu nyingine weusi by nature, tabii yao ilikuwa wakimuona mgeni, wanataka kumkaribisha na kumtreat vizuri. Hawakujua kwamba hawa wageni watakuja kuwaua ndugu zao wengi, kuchukua nchi yao na kuwafanya wawe watumwa na kubadilisha historia yao

Ukiisha kwenye warm climate, unaweza kuwa lazy na kuishi vizuri wala wakati kama unaishi kwenye baridi kama uko lazy unakufa. Hii ni sababu wazungu by nature ni watu wanaojitahidi siku zote kufanya maisha yao yawe marahisi. Iko kwenye DNA na genes zao.
 
Historia kama hii haiwezi kupenya mainstream sababu it's too powerful.

Cradle of civilazation.Moja ya sababu Eurocentric eti tuliwatawala ili tuwafunze ustaarabu!!! Civilazation ilianzia Kemet.
 
kweli, lakini kwa ajiri ya internet, social media, ukweli utakuja kupatikana.

Kama kuna watu wanataka kujifunza zaidi kuna materials mengi kwenye internet.
Hapa ni chache youtube videos

1.Professor Ivan Sertima, Ancient Egyptians were Blacks.

Anaweka ushahidi kama Ancient Egyptians were Black. United Nations agree with him and Cheick Anta Diop in 1974 United Nations conference in Cairo.

2. Stolen Legacy Book, By George G James.

Wanazungumzia vitu vyote vilivyoibiwa Africa.

3.Professor Theophile Obenga. African History

Point by point he discuss history of african from afrocentic point of view.

4. Dr Henrik Clarke: We have no friends.

Hapa anaongea ukweli, kama sisi weusi hatuna marafiki,wageni wote walipokuja kwetu Africa walitaka kuchukua kitu kutoka kwetu.

Sikiliza kama unaweza. Wanazungumzia vitu vingi kama why all the great pyramid are in africa na mengine south america read they came before columbus for the answer). Kama wazungu walijenga pyramids kwanini hakuna pyramids ulaya, alafu kuna pyramids nyingi in Egypt, Sudan, Ethiopia, Zimbabwe and other african countries.
 
Hapa hukuwa na Torati, Biblia, Koran wala imani za kuletwa ambazo kimsingi zote zinatu undermine (ukweli).
Japo ukweli unaouma ni kwa nini hao wengine walipata wazo la kuja kutuvamia na sio sisi kuwavamia wao!?
Inabidi Waafrika tujichukulie kama nguo zinazofuliwa kwamba muda huu tumelowekwa na baada ya muda fulani labda 'tutatakata' hivyo kurudia ubora wetu kama ilivyokuwa hapo awali!
Sio LABDA ni lazima. ...kumbuka Greece na Alexander The great. ..sasa Greece ni omba omba. ..mifano ni mingi mno. ..KIKUBWA NI KUJITHAMINI NA KUTO KUKATA TAMAA KWENYE MAENDELEO. ..
 
Ni kweli........hawakuwa wazungu wala waarabu! Na walimweka Muizraeli utumwani! Ndio maana nawashangaa sana waafrika wenzangu wanapomsema vibaya Firauni (Pharaoh)......mtu mweusi mwenzao aliyekataliwa kwa sababu ya rangi yake!

Egyptian-woman-painting.jpg

ancient-egyptian-painting-louvre-34352655.jpg

egyptians-590.jpg
 
kweli, lakini kwa ajiri ya internet, social media, ukweli utakuja kupatikana.

Kama kuna watu wanataka kujifunza zaidi kuna materials mengi kwenye internet.
Hapa ni chache youtube videos

1.Professor Ivan Sertima, Ancient Egyptians were Blacks.

Anaweka ushahidi kama Ancient Egyptians were Black. United Nations agree with him and Cheick Anta Diop in 1974 United Nations conference in Cairo.

2. Stolen Legacy Book, By George G James.

Wanazungumzia vitu vyote vilivyoibiwa Africa.

3.Professor Theophile Obenga. African History

Point by point he discuss history of african from afrocentic point of view.

4. Dr Henrik Clarke: We have no friends.

Hapa anaongea ukweli, kama sisi weusi hatuna marafiki,wageni wote walipokuja kwetu Africa walitaka kuchukua kitu kutoka kwetu.

Sikiliza kama unaweza. Wanazungumzia vitu vingi kama why all the great pyramid are in africa na mengine south america read they came before columbus for the answer). Kama wazungu walijenga pyramids kwanini hakuna pyramids ulaya, alafu kuna pyramids nyingi in Egypt, Sudan, Ethiopia, Zimbabwe and other african countries.

Ubaya ambao upo,karibia 99% a viongozi wetu wanaamini katika white supremacy.
Ni ngumu sana kukutana na kiongizi wa Africa mwenye kujua Historia halisi ya watu wake.Au labda wanajua ila wanaogopa wakisimamia ukweli wanapotezwa angalia kina Qaddafi,Lumumba,Sankara na hata wengine wanapotezwa kwenye dira ya mambo yao kama Mugabe au Nuerere.

"Africa must wake up,sleeping sons of Jacob,for what tomorrow may bring,be a better d
kweli, lakini kwa ajiri ya internet, social media, ukweli utakuja kupatikana.

Kama kuna watu wanataka kujifunza zaidi kuna materials mengi kwenye internet.
Hapa ni chache youtube videos

1.Professor Ivan Sertima, Ancient Egyptians were Blacks.

Anaweka ushahidi kama Ancient Egyptians were Black. United Nations agree with him and Cheick Anta Diop in 1974 United Nations conference in Cairo.

2. Stolen Legacy Book, By George G James.

Wanazungumzia vitu vyote vilivyoibiwa Africa.

3.Professor Theophile Obenga. African History

Point by point he discuss history of african from afrocentic point of view.

4. Dr Henrik Clarke: We have no friends.

Hapa anaongea ukweli, kama sisi weusi hatuna marafiki,wageni wote walipokuja kwetu Africa walitaka kuchukua kitu kutoka kwetu.

Sikiliza kama unaweza. Wanazungumzia vitu vingi kama why all the great pyramid are in africa na mengine south america read they came before columbus for the answer). Kama wazungu walijenga pyramids kwanini hakuna pyramids ulaya, alafu kuna pyramids nyingi in Egypt, Sudan, Ethiopia, Zimbabwe and other african countries.

Ubaya ambao upo,karibia 99% a viongozi wetu wanaamini katika white supremacy.
Ni ngumu sana kukutana na kiongizi wa Africa mwenye kujua Historia halisi ya watu wake.Au labda wanajua ila wanaogopa wakisimamia ukweli wanapotezwa angalia kina Qaddafi,Lumumba,Sankara na hata wengine wanapotezwa kwenye dira ya mambo yao kama Mugabe au Nyerere.

"Africa must wake up
The sleeping sons of Jacob
For what tomorrow may bring
May a better day come
Yesterday we were Kings
Can you tell me young ones
Who are we today?"

Damian "Jr Gong" Marley
 
faiza Foxy ni mfia Qur'an si free thinker. Anataka kusema sababu Qur'an inawaelezea Waarabu na Wayahudi wa sasa basi hakukua na mtu mweusi bali ni brown kama ya waarabu.

Nnaona umekosa hoja na unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Elewa kuwa mtu kuitwa "mweusi" ni terminology iliyotumiwa kukudhalilisha na ujione wewe si kitu. Effort kubwa imefanyika katika hilo mpaka imefikia a kila kitu kibaya ni "black". Na wewe unafikia kujisifu. Yote ni katika kujazwa ujinga. Mpaka biblia imeshadidia hilo lakini Qur'an ikaja kukuweka sawa na kukufahamisha kuwa hakuna mbora isipokuwa mwenye kumcha Mungu.

Sikiliza waliojitambuwa wanakufunda nini:

Back
Top Bottom