Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Nani kasema nyeusi ni dhaifu...????? Yaani ukiweka akilini utakua dhaifu kweli ..... proud of yours @##¥££**azhole
 
Nnaona umekosa hoja na unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Elewa kuwa mtu kuitwa "mweusi" ni terminology iliyotumiwa kukudhalilisha na ujione wewe si kitu. Effort kubwa imefanyika katika hilo mpaka imefikia a kila kitu kibaya ni "black". Na wewe unafikia kujisifu. Yote ni katika kujazwa ujinga. Mpaka biblia imeshadidia hilo lakini Qur'an ikaja kukuweka sawa na kukufahamisha kuwa hakuna mbora isipokuwa mwenye kumcha Mungu.

Sikiliza waliojitambuwa wanakufunda nini:

Naomba unitoe kwenye hilo kundi la wanaoamini "black" ni ubaya na udhgalilishaji.
Am black and proud.Sababu najua jamii yangu ndio ilianzisha ustaarabu duniani na jamii yangu imefundisha dunia nzima.

Na hizo vitu anavosema Ali,i share the same views except ya kua Islam ndio true religion ya weusi.True religion ya weusi sio Islam wala Christianity.
 
Alafu shuleni tunafundishwa mahistoria ya berlin conference na binaadamu wa kwanza alikuwa nyani.ndo maana hatujithamini sababu hatujui historia yetu.hata ukiwauliza wengi wakutajie hata jina la babu mzaa babu yake au historia ya ukoo wao ni wachache wanaojua
Syllabus yenyewe tumepangiwa na watawala wetu tusome nini.

Na hii ni systematic na consistent indoctrination ya kutaka kutuaminisha kua sisi ni dhaifu.wamefanikiwa kwa hilo kwa kiasi kikubwa.
 
Naomba unitoe kwenye hilo kundi la wanaoamini "black" ni ubaya na udhgalilishaji.
Am black and proud.Sababu najua jamii yangu ndio ilianzisha ustaarabu duniani na jamii yangu imefundisha dunia nzima.

Na hizo vitu anavosema Ali,i share the same views except ya kua Islam ndio true religion ya weusi.True religion ya weusi sio Islam wala Christianity.

We all black people should be proud of being black and African just as other races are proud of being their races.

Actually Ali alikuwa anasema kwanini hakuna malaika weusi kama mimi mbiguni, Kwanini hakuna mtu kama mimi kwenye dini yako (christianity). Kwa sababu hiyo akaamua kuwa muislam. Lakini Islam aliyokuwa anaifuata ilikuwa political Islam (Nation of Islam, actually their main goal was to empower, emancipate and make black people proud for being black,is totally different from main stream Islam).

Aliichukua dini hii kwa ajiri kujikomboa kutoka kwenye kudhalauliwa, pia malcolm X, Hawa watu walikuwa na hakili nyingi. Lakini waliona wazungu who were christian as them but treat them very badly, therefore they conclude it was not worth following that religion. Muhammad ali didn't have knowledge we have today. If he was young man today, i am pretty sure he would have made different decision.

Muhammad Ali he is one of the most proud blackman ever in the history of the world. He didn't have too many options at that time. He took what was best option at the time.
 
Please faiza foxy
 
Syllabus yenyewe tumepangiwa na watawala wetu tusome nini.

Na hii ni systematic na consistent indoctrination ya kutaka kutuaminisha kua sisi ni dhaifu.wamefanikiwa kwa hilo kwa kiasi kikubwa.

Ukweli wamefanikiwa, ulaya usomi yupi ali discover london, lakini wanasoma historia ya nchi yao.

Sisi tunasoma Livingstone discover this, speke discover that, kwanini hatuwafundishi watoto wetu kwamba sisi ni watu wakwanza kutengeneza skyscrapers, (pyramids), sisi ni watu wakwanza kuandika vitu, science, mathematics, philosophy, religion, language.

Naona tunaitaji kampuni kubwa kama BBC, ambayo itakuwa inaongea kila siku at least for 2 hours about our history, about our great history. Those of you who are in the position to make this happen, try to make this happen.
 
Syllabus yenyewe tumepangiwa na watawala wetu tusome nini.

Na hii ni systematic na consistent indoctrination ya kutaka kutuaminisha kwamba sisi ni dhaifu.wamefanikiwa kwa hilo kwa kiasi kikubwa.

Kutufanya sisi kuwa dhaifu, ilikuwa the best tactics of white, arabs and asians.
Unaweza kuona their tactics here. Hichi ni kitabu cha Chancellor Williams: The Destruction Of Black Civilization(audiobk)pt1 unaweza kusoma hapa: http://www.eachoneteachone.org.uk/w...of-Black-Civilization-Chancellor-Williams.pdf

au kusikiiza kwenye youtube kitabu chote here

But even today Black is the symbols of highest quality, kama ukinunua black car, black dress. Black is mysterious, black is quality. It is only after, conquest of egypt, africa, colonialism and slavery that black become negative and european, arabs, asian try to make it look like bad thing. Greek used to Worship Black God. How times have changes?Huh.

Tafadhali kama unaweza soma Willie Lynch Letter: The making of slave http://www.lojsociety.org/Lets_Make_A_Slave_The_Making_Of_A_Slave.pdf

Summary: To make Blacks good slave, these were tactics: Separate them in terms of colour, shades, intelligence and sex. Separate them in terms of the size of plantations and status on plantations, young and old, male and female, light skin vs dark skin. Make them distrust each other. Separate them in terms whether the slaves live in the valley, on a hill, East, West, North, South, have fine hair, course hair, or is tall or short. Make them forget their languages.

Willie Lynch continue: I shall give you an outline of action, but before that, I shall assure
you that distrust is stronger than trust and envy stronger than adulation, respect or admiration. Make them trust you and you alone. The Black slaves after receiving this indoctrination shall carry on and will become self refueling and self generating for hundreds of years, maybe thousands.

Don't forget you must pitch the old black Male vs. the young black Male, and the young black Male against the old black male. You must use the dark skin slaves vs. the light skin slaves, and the light skin slaves vs. the dark skin slaves. You must use the female vs. the male. And the male vs. the female

He was right, we are still separating ourselves in terms of shades, status, hair, language and where are from, tribes and religion etc.
 
Ukweli wamefanikiwa, ulaya usomi yupi ali discover london, lakini wanasoma historia ya nchi yao.

Sisi tunasoma Livingstone discover this, speke discover that, kwanini hatuwafundishi watoto wetu kwamba sisi ni watu wakwanza kutengeneza skyscrapers, (pyramids), sisi ni watu wakwanza kuandika vitu, science, mathematics, philosophy, religion, language.

Naona tunaitaji kampuni kubwa kama BBC, ambayo itakuwa inaongea kila siku at least for 2 hours about our history, about our great history. Those of you who are in the position to make this happen, try to make this happen.
Afrika ili iwe na nguvu tena kama zamani,ni lazima iungane na kua tawala moja kama Kemet ilivokua.

Ila stage waliyofikia watesi wetu ni kazi sana na hawatakubali hii kitu itokee na watakua tayari kuzuia kwa gharama yeyote.

Kosa la Col Qaddafi ni kutaka kuanzisha sarafu ya Afrika nzima ambayo itakua backed by gold(alitaka kuanzisha real currency) sio kama hizi makaratasi tu,katika hiyo sarafu alotaka kuanzisha(African Dinar),kila kitu kinachouzwa ulaya na kwingineko kingeuzwa kwa dinar sio dollar tena. Wakaona itawaharibia uchumi wao vibaya,sababu ili wanunue mafuta ,almasi,kuwinda wanyama,mazao mbalimbali ingebidi waitafute hii dinar na mwisho wa siku thamani yake ingeendelea kupanda na kupanda na kuiacha dollar ikiwa hoi.
 
Pale Mwafrika anapojifariji.Mim sikubali kabisa kua misri kulikua na watu weusi au ustaarabu ulianzia kwa mtu mweusi.Na wala hakuna hidden information zozote zakuficha historia ya mtu mweusi kwasababu viko vitabu kibao vimendikwa namitandao mingi tu taarifa zipo ila kila mtu kaandika kwa jins alivyoona we sema tatizo la mafrika nikutopenda kusoma but the fact is africa sasa ndo tunaanza kidogo kustaarabika.Ustaarabu ungeanzia kwa mtu mweusi leo tungekua mbali sana maana huwezi kua na akili badae ukawa mjinga vizazi na vizazi kana kwamba ni sumu tumelishwa inatuathir vizaz na vizaz.kama leo tu kwenye dunia ya sayansi na technolojia bado tunafanya mambo yakujidhalilisha nakuuana wenyewe kwa wenyewe kwa kugombania vitu vyakijinga je hali ilikuaje miaka iyo karne kibao zilizopita.mim ninavyoona ni kua bara la africa sehem kubwa ni watu weusi isipokua upande wa kaskazin kwenye waafrika weupe kwa maana ya warabu.Na ivyo ndivyo ilivyokua kwasababu hata kama watu watahama vip bado hawawez kuhama wote na wakaja wapya wote na kama kweli walihama au historia yao ilifichwa haiwez kua ilifutwa vichwan mwao ili leo ndo tuje tuanze kustaarabika.Kwaiyo mim naona hakuna haja yakujifarij kwakufukua historia ambayo ata tukiijua haitusaidii badala yake tuamshe vichwa vyetu kukimbizana na maendeleo ya mabara mengine maana rasilimali tunazo uku tukitokomeza magonjwa yanayoweza kuepukika.
 
Yusufu alimuoa Mmisri, kwa hiyo kama ni kweli Wamisri walikuwa ni weusi basi kuna uwezekano kizazi chake kutokana na genetics vikawepo miongoni mwao vizazi vya weusi.

Pia na baba yetu Ibrahim alipata mtoto na mama Hajira, iwapo Hajira alikuwa ni mweusi basi huenda miongoni mwa vizazi vyao wakawemo watu weusi pia!
 
Pale Mwafrika anapojifariji.Mim sikubali kabisa kua misri kulikua na watu weusi au ustaarabu ulianzia kwa mtu mweusi.Na wala hakuna hidden information zozote zakuficha historia ya mtu mweusi kwasababu viko vitabu kibao vimendikwa namitandao mingi tu taarifa zipo ila kila mtu kaandika kwa jins alivyoona we sema tatizo la mafrika nikutopenda kusoma but the fact is africa sasa ndo tunaanza kidogo kustaarabika.Ustaarabu ungeanzia kwa mtu mweusi leo tungekua mbali sana maana huwezi kua na akili badae ukawa mjinga vizazi na vizazi kana kwamba ni sumu tumelishwa inatuathir vizaz na vizaz.kama leo tu kwenye dunia ya sayansi na technolojia bado tunafanya mambo yakujidhalilisha nakuuana wenyewe kwa wenyewe kwa kugombania vitu vyakijinga je hali ilikuaje miaka iyo karne kibao zilizopita.mim ninavyoona ni kua bara la africa sehem kubwa ni watu weusi isipokua upande wa kaskazin kwenye waafrika weupe kwa maana ya warabu.Na ivyo ndivyo ilivyokua kwasababu hata kama watu watahama vip bado hawawez kuhama wote na wakaja wapya wote na kama kweli walihama au historia yao ilifichwa haiwez kua ilifutwa vichwan mwao ili leo ndo tuje tuanze kustaarabika.Kwaiyo mim naona hakuna haja yakujifarij kwakufukua historia ambayo ata tukiijua haitusaidii badala yake tuamshe vichwa vyetu kukimbizana na maendeleo ya mabara mengine maana rasilimali tunazo uku tukitokomeza magonjwa yanayoweza kuepukika.
Ukishakuwa kipofu wa fikra huwezi kuuona ukweli.rudi kufanya research.historia ya kwenye sylubus haiwezi kukupa mwangaza wa historia ya kweli ya dunia
 
Pale Mwafrika anapojifariji.Mim sikubali kabisa kua misri kulikua na watu weusi au ustaarabu ulianzia kwa mtu mweusi.Na wala hakuna hidden information zozote zakuficha historia ya mtu mweusi kwasababu viko vitabu kibao vimendikwa namitandao mingi tu taarifa zipo ila kila mtu kaandika kwa jins alivyoona we sema tatizo la mafrika nikutopenda kusoma but the fact is africa sasa ndo tunaanza kidogo kustaarabika.Ustaarabu ungeanzia kwa mtu mweusi leo tungekua mbali sana maana huwezi kua na akili badae ukawa mjinga vizazi na vizazi kana kwamba ni sumu tumelishwa inatuathir vizaz na vizaz.kama leo tu kwenye dunia ya sayansi na technolojia bado tunafanya mambo yakujidhalilisha nakuuana wenyewe kwa wenyewe kwa kugombania vitu vyakijinga je hali ilikuaje miaka iyo karne kibao zilizopita.mim ninavyoona ni kua bara la africa sehem kubwa ni watu weusi isipokua upande wa kaskazin kwenye waafrika weupe kwa maana ya warabu.Na ivyo ndivyo ilivyokua kwasababu hata kama watu watahama vip bado hawawez kuhama wote na wakaja wapya wote na kama kweli walihama au historia yao ilifichwa haiwez kua ilifutwa vichwan mwao ili leo ndo tuje tuanze kustaarabika.Kwaiyo mim naona hakuna haja yakujifarij kwakufukua historia ambayo ata tukiijua haitusaidii badala yake tuamshe vichwa vyetu kukimbizana na maendeleo ya mabara mengine maana rasilimali tunazo uku tukitokomeza magonjwa yanayoweza kuepukika.
Hilo jambo la kukimbizana na mabara mengine hutaweza kulifanya kwa ukamilifu kwa mtizamo huo ulionao.Ukifika Prague kufanya kazi ukaambjwa we nyani si utapata msongo wa mawazo??

Inawezekana kabisha watu kuondoka sehemu fulani kwa ujumla wao.Inategemea ni kwa muda gani imepotea,na watu kulishwa"sumu ya vizazi" inawezekanika sana angalia hao black America wamekaa utumwani miaka isiyozidi 500 wamesahaulishwa na hakuna anaejua exactly asili yake ni wapi Afrika,wamebaki kuliwa pesa kwenye ancestral DNA!!

Kwanza tu angalia wakoloni wamekuja juzijuzi tu lakini angalia damage walioacha juu ya fikra za waafrika juu ya historia yao,mara walikua uchi mara hawakujua kuandika wala kusoma mara mara waliaudu milima ghafla mzungu kagundua mlima knjaro.
 
Mkuu, kama ukiangalia hali yetu leo ni vigumu kuamini tulikuwa the best duniani. Tumerudi chini sana. Lakini uwo ndio ukweli, huwezi kubadilisha historia. Maisha yanaenda kwa mzunguko, siku moja uko juu siku nyingine uko chini.
Wagiriki walitawala dunia kwa miaka mingi, lakini waangalie leo. Waitalia waitawala dunia kwa miaka elfu mbili, lakini leo hata sio kama moja ya nchi kumi nzuri duniani. Iran (Persians) waliitawala dunia kwa miaka mingi, Lakini leo sio ata nchi nzuri kuisha. Iraq (Babylon) waliikuwa wakati mmoja ufalme uzuri duniani, leo ipo kwenye matatizo mengi. Hispania, portugal (ureno) waliitawala dunia wakati mmoja angalia leo wako wapi.

Zimbabwe ilikuwa nchi nzuri sana Africa miaka 20 iliyopita, angalia leo. Singapore, South Korea na Malaysia walikuwa maskini zaidi ya Tanzania, kenya na Ghana. Lakini angalia leo walivyoendelea.

Baada ya miaka 400 ya utumwa, 200 kwa ukoloni, na kuambiwa wewe ni mjinga, wewe ni mjinga, wewe ni mjinga, utakuja kuamini. Kama ukiangalia tv, magazeti,masomo tunayofundishwa shuleni,kila kitu kinakwambia wewe mweusi ni mjinga. Alafu ujafanya kitu chochote kizuri, utakuja kuamini.

Lakini nakuuliza mtu gani anamiliki hizi kampunia. Nini ni lengo lao kukumbia hivi, tafuta jibu.

Mimi naona kwa sasa hivi unaamini historia ya wazungu waliokuandikia. Siku moja jaribu kufikiria vizuri, Watu wote wa duniani wana historia. Historia ya waafrica haikuanza kwenye utumwa na ukoloni. Jaribu kujifunza historia kabla ya mambo haya. Niambie tulikuwaje kabla ya utumwa na ukoloni. Jaribu kuenda kwa miaka elfu tano au elfu ishirini. Alafu unifahamishe tulikuwaje.

Kama unaamini historia ya wazungu na waarabu, kwanini uamini historia yako?
Huyu itakua hajui historia, na anafikiri kua dunia ina miaka 2017 tangia ianze na sababu huu ni mwaka 2017.

Kwa sababu kafundishwa historia ya afrika baada ya wageni kuja(Waarabu>Wazungu).
Kumbe Afrika ilikuepo before Christ.
 
Wambulu ni jina kla kejeli,wanaitwa Wairaqw!!

Mbona hawa watu wa asili wamebakia wachache sana?kama sikosei ni jamaa moja na Habesha na Somali. Kwanini wamekuja kua minority katija ardhi yao ya asili?
hawajawahi kuwa wachache wanapatikana sana hanang,karatu na mbulu kwenyewe wako wa kutosha
 
Mi nafikiri bila hata juhudi zao hao tusingejua hiyo Egypt iliwahi kuwa chini ya watu weusi maana hata hizo research huwa hatuzitilii maanani ..

Na shida zote za mtu mweusi aende akahangaike kwenye mapiramidi huko kutaka kujua asili yake aache kupambana na malaria na magonjwa kibao huku yanayomsubiri
 
Mi nafikiri bila hata juhudi zao hao tusingejua hiyo Egypt iliwahi kuwa chini ya watu weusi maana hata hizo research huwa hatuzitilii maanani ..

Na shida zote za mtu mweusi aende akahangaike kwenye mapiramidi huko kutaka kujua asili yake aache kupambana na malaria na magonjwa kibao huku yanayomsubiri

Mkuu, kama ukiangalia hali yetu leo ni vigumu kuamini tulikuwa the best duniani. Tumerudi chini sana. Lakini uwo ndio ukweli, huwezi kubadilisha historia. Maisha yanaenda kwa mzunguko, siku moja uko juu siku nyingine uko chini.
Wagiriki walitawala dunia kwa miaka mingi, lakini waangalie leo. Waitalia waitawala dunia kwa miaka elfu mbili, lakini leo hata sio kama moja ya nchi kumi nzuri duniani. Iran (Persians) waliitawala dunia kwa miaka mingi, Lakini leo sio ata nchi nzuri kuisha. Iraq (Babylon) waliikuwa wakati mmoja ufalme uzuri duniani, leo ipo kwenye matatizo mengi. Hispania, portugal (ureno) waliitawala dunia wakati mmoja angalia leo wako wapi.

Zimbabwe ilikuwa nchi nzuri sana Africa miaka 20 iliyopita, angalia leo. Singapore, South Korea na Malaysia walikuwa maskini zaidi ya Tanzania, kenya na Ghana. Lakini angalia leo walivyoendelea.

Baada ya miaka 400 ya utumwa, 200 kwa ukoloni, na kuambiwa wewe ni mjinga, wewe ni mjinga, wewe ni mjinga, utakuja kuamini. Kama ukiangalia tv, magazeti,masomo tunayofundishwa shuleni,kila kitu kinakwambia wewe mweusi ni mjinga. Alafu ujafanya kitu chochote kizuri, utakuja kuamini.

Lakini nakuuliza mtu gani anamiliki hizi kampuni. Nini ni lengo lao kukumbia hizi, tafuta jibu.

Mimi naona kwa sasa hivi unaamini historia ya wazungu waliokuandikia. Siku moja jaribu kufikiria vizuri, Watu wote wa duniani wana historia. Historia ya waafrica haikuanza kwenye utumwa na ukoloni. Jaribu kujifunza historia kabla ya mambo haya. Niambie tulikuwaje kabla ya utumwa na ukoloni. Jaribu kuenda kwa miaka elfu tano au elfu ishirini. Alafu unifahamishe tulikuwaje.

Kama unaamini historia ya wazungu na waarabu, kwanini uamini historia yako?
.

Watu ambao hawajui historia yao, itakuwa vigumi kuendelea. Kama historia yako wewe utaambiwa ni mtumwa, dhaifu, silly, stupid, dominated, discovered by white people and arabs, and that you are an arsehole, and you say yes, yes, yes to all of this, yes this is my story itakuwa vigumu kufanya kitu chochote duniani.

THINK. GO DEEP, DIG DEEP.
 
Watu kibao duniani wametawaliwa na wameonyosha Juhudi kuwa hata kama wameitwa majina yote mabaya ila wanaweza kujikwamua mfano china na india..

Sisi huku afrika tumekalia kulilia tulitawaliwa wakati nchi zetu zina miaka zaidi ya 60 zikiwa na uwezo wa kujiamulia mambo yake ila viongozi na wananchi tunaangushana.

My point ni kwamba tusiwalaumu wazungu kwa hali yetu wakati na sisi tuna nguvu na akili na hakuna mtu atakayekuja kutuendeleza tusipoamua wenyewe na vile tukubali kuwa pamoja na ubaya wa wazungu hayo mambo kama research za kuthibitisha kuwa kwenye hayo maprimadi waliwahi kuwepo watu weusi na wenyewe wamechangia
 
Mkuu, kama ukiangalia hali yetu leo ni vigumu kuamini tulikuwa the best duniani. Tumerudi chini sana. Lakini uwo ndio ukweli, huwezi kubadilisha historia. Maisha yanaenda kwa mzunguko, siku moja uko juu siku nyingine uko chini.
Wagiriki walitawala dunia kwa miaka mingi, lakini waangalie leo. Waitalia waitawala dunia kwa miaka elfu mbili, lakini leo hata sio kama moja ya nchi kumi nzuri duniani. Iran (Persians) waliitawala dunia kwa miaka mingi, Lakini leo sio ata nchi nzuri kuisha. Iraq (Babylon) waliikuwa wakati mmoja ufalme uzuri duniani, leo ipo kwenye matatizo mengi. Hispania, portugal (ureno) waliitawala dunia wakati mmoja angalia leo wako wapi.

Zimbabwe ilikuwa nchi nzuri sana Africa miaka 20 iliyopita, angalia leo. Singapore, South Korea na Malaysia walikuwa maskini zaidi ya Tanzania, kenya na Ghana. Lakini angalia leo walivyoendelea.

Baada ya miaka 400 ya utumwa, 200 kwa ukoloni, na kuambiwa wewe ni mjinga, wewe ni mjinga, wewe ni mjinga, utakuja kuamini. Kama ukiangalia tv, magazeti,masomo tunayofundishwa shuleni,kila kitu kinakwambia wewe mweusi ni mjinga. Alafu ujafanya kitu chochote kizuri, utakuja kuamini.

Lakini nakuuliza mtu gani anamiliki hizi kampunia. Nini ni lengo lao kukumbia hizi, tafuta jibu.

Mimi naona kwa sasa hivi unaamini historia ya wazungu waliokuandikia. Siku moja jaribu kufikiria vizuri, Watu wote wa duniani wana historia. Historia ya waafrica haikuanza kwenye utumwa na ukoloni. Jaribu kujifunza historia kabla ya mambo haya. Niambie tulikuwaje kabla ya utumwa na ukoloni. Jaribu kuenda kwa miaka elfu tano au elfu ishirini. Alafu unifahamishe tulikuwaje.

Kama unaamini historia ya wazungu na waarabu, kwanini uamini historia yako?
.

Watu ambao hawajui historia yao, itakuwa vigumi kuendelea. Kama historia yako wewe utaambiwa ni mtumwa, dhaifu, silly, stupid, dominated, discovered by white people and arabs, and that you are an arsehole, and you say yes, yes, yes to all of this, yes this is my story itakuwa vigumu kufanya kitu chochote duniani.

THINK. GO DEEP, DIG DEEP.
Haya mambo sio tu wewe unajua hata na walimu na wanafunzi wa hapa Bongo wanajua ila hakuna mtu ambaye yupo teyari kufanya research kutaka kujua hata hapa afrika mashariki miaka 5000 tulikuwaje.

Tunapenda kuwa watu wa kulalamika tuu

Halafu tunasubiria mzungu ambaye amezaliwa huko ulaya aje atufanyie utafiti si tupewe majibu tuondoke zetu... We unategemea nini
 
Pale Mwafrika anapojifariji.Mim sikubali kabisa kua misri kulikua na watu weusi au ustaarabu ulianzia kwa mtu mweusi.Na wala hakuna hidden information zozote zakuficha historia ya mtu mweusi kwasababu viko vitabu kibao vimendikwa namitandao mingi tu taarifa zipo ila kila mtu kaandika kwa jins alivyoona we sema tatizo la mafrika nikutopenda kusoma but the fact is africa sasa ndo tunaanza kidogo kustaarabika.Ustaarabu ungeanzia kwa mtu mweusi leo tungekua mbali sana maana huwezi kua na akili badae ukawa mjinga vizazi na vizazi kana kwamba ni sumu tumelishwa inatuathir vizaz na vizaz.kama leo tu kwenye dunia ya sayansi na technolojia bado tunafanya mambo yakujidhalilisha nakuuana wenyewe kwa wenyewe kwa kugombania vitu vyakijinga je hali ilikuaje miaka iyo karne kibao zilizopita.mim ninavyoona ni kua bara la africa sehem kubwa ni watu weusi isipokua upande wa kaskazin kwenye waafrika weupe kwa maana ya warabu.Na ivyo ndivyo ilivyokua kwasababu hata kama watu watahama vip bado hawawez kuhama wote na wakaja wapya wote na kama kweli walihama au historia yao ilifichwa haiwez kua ilifutwa vichwan mwao ili leo ndo tuje tuanze kustaarabika.Kwaiyo mim naona hakuna haja yakujifarij kwakufukua historia ambayo ata tukiijua haitusaidii badala yake tuamshe vichwa vyetu kukimbizana na maendeleo ya mabara mengine maana rasilimali tunazo uku tukitokomeza magonjwa yanayoweza kuepukika.
Mkuu hata hizo picha za farao ulizowekewa huzioni?
 
Back
Top Bottom