Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Fanya basi nawe uwe nayo kama ni rahisiKuna pesa za majini, kafara, wizi,magendo,zari mfano kwenye madini, ufsadi serikalini
Fanya basi nawe uwe nayo kama ni rahisiKuna pesa za majini, kafara, wizi,magendo,zari mfano kwenye madini, ufsadi serikalini
Used mpk milioni 70 unapataNew combines can cost anywhere between $330,000 and $500,000 without add-ons (Source). For this reason, many farmers opt to purchase a used combine to save money. Just like buying a used car, a used combine can be just as reliable and useful as a new combine, depending on what you buy.
BM,kimei na shemeji yakeYani hill swali kila siku nikipita hapa maeneo ta Shekilango huwa najiuliza nakosa jibu,Jana nimeona Haya mabasi ya BM kama 20 hivi-hawa watu walifanya kitu gani hadi wakapata hizo hela.
Benki kuu haikopeshi mtu binafsi na wala hakuna akaunti ya mtu binafsi. Naongea kutokana na uzoefu wa kupata mafunzo fulani hapohapo BOT.Wanakopa Kama unavyokopa benki ili ufanyie mambo yako,lakini mikopo yao wanakopa benki kuu
hatokueleza ukweli. sanasana ataishia tu kukwambia "alianza na biashara ya kuoka mikate miaka ya 90".Kwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
kwa hali hiyo, hao matajiri wanaomiliki malori ya mizigo, wakiunganisha nguvu kuhujumu ujenzi wa sgr, sidhani kama kuna mbunge wa ccm pale dodoma ataweza kupanua kinywa chake kupinga hujuma hiyo.Mfano GSM ana malori 1000
Wolrd Oil ana Tanker zaidi ya 300
Alistair ana lori zaidi ya 100
Lake Oil ana Mende zaidi ya 100, Tanker zaidi ya 200, Cement Truck zaidi ya 300 kwenye SGR
MO ana magari zaidi ya 1000
Azam ana magari zaidi ya 500
Shabiby ana Mabasi 50+
Hapana sio kugombeza, ila nimegundua kuna haja ya kutoa elimu kwa watu/vijana ili wajue namna ya kupata mikopo ya bank kuendeleza biashara zao, mtu unamkuta anafuga kuku 1000 lakini hata document moja ya biashara yake hana, Bank zinapenda cash flow , ukiweza kuwaonyesha watakupa mkopo kupanua biashara yako, na ndio njia rahisi ya kukuza biashara na uchumi kwa ujumla, hakuna wafanyabiashara serious wanaotumia pesa zao binafsi, biashara zote za uhakika zinatumia pesa za mikopo, hao wahindi na waarabu wengi ni mikopo tuu, lazima tufundishe watu na vijana namna ya kutumia hii mitaji ambayo ipo wazi kwa kila mtu ili kupambana na umaskiniUmeamua kutugombeza Broo!!!
Watu waliwahi kuingia mjini ndugu yangu.Yani hill swali kila siku nikipita hapa maeneo ta Shekilango huwa najiuliza nakosa jibu,Jana nimeona Haya mabasi ya BM kama 20 hivi-hawa watu walifanya kitu gani hadi wakapata hizo hela.
mimi ni mkirsto(ila huwa sina desturi ya kwenda church),ulichoandika kuhusu uaminifu kipo very relevant kwa ndugu zetu waislamu.Pambana,Pambana anza na kujenga uaminifu kwa waliokuzunguka.
Baba yangu hakunipa mtaji (pesa) wa maisha zaidi ya ELIMU.
na kingine siku 1 aliniambia,Unaenda huko duniani Mtaji wako mkubwa ili ufanikiwe ni UAMINIFU kwa waliokuzunguka.
KUWA MWAMINIFU hata kama huna kitu sasa,epuka kuchukua cha mtu fanya kazi kwa bidiii ukipewa 10,000 ukatumwa kitu cha 1000 ukaenda ukakuta kile kitu kinauzwa 500 usibanie ile 500 rudisha chenchi 9500 kisha mwambie aliekutuma Bidhaaa imeshuka bei chenchi hii hapa.
Kweli yako iwe Kweli na Hapana yako iwe Hapana.
Ukiaminika na waliokuzunguka, Ni sifa namba 1 ya kutoka kimaisha huitaji kuwa na kipande cha Ardhi, huitaji kuwa na Pesa.
UKIAMINIKA wewe ni Tajiri hata kama unajiona huna kitu sasa lakini kama kuna mtu akiwaza kumtuma mtu kitu mahali akili yake inakufikiria wewe ndie mtu sahihi (Umemaliza mwaisa).
Boss hakuna kuwahi au kuchelewa kuingia mjini, ukiamua hata wewe unaweza, haya mambo yako very straight forward ni uamuzi wako tuu kuyafanyia kazi na kufanikisha, hakuna mtu anazaliwa na pesa au mabasi 20Watu waliwahi kuingia mjini ndugu yangu.
Only CUBA Scholars watanielewa!!
Ata waliotumia Lipa kwa mpesa wakati zinaingia now wapo mbali sana.Fursa! fursa! fursa ndiyo mpango mzima. Fursa yoyote mpya ina super profit, yaani hata waliofanya bodaboda kipindi kile ndo zinaingia walipiga pesa balaa na wengi now wako mbali. Wekeza katika fursa mpya matokeo yake huwa ni makubwa na ya kunufaisha sana
Jiongeze mkuu. Punguza huruma na upole.Mbona hao wa viwango vya juu?...Mimi hapa nawaza nitapata hata ist wapi, au nitaanzaje biashara ya kunipatia 10,000 kwa siku....na type hii sms nikiwa kigoma vijijini.
Hela huenda popote. Haijalishi kichwani kuna niniKama yule Mbunge wa Makambako nasikia ana Malori kama 300 hivi
Maelezo yako yamebebwa na sentensi yangu ya mwisho (Only CUBA Scholars watanielewa)Boss hakuna kuwahi au kuchelewa kuingia mjini, ukiamua hata wewe unaweza, haya mambo yako very straight forward ni uamuzi wako tuu kuyafanyia kazi na kufanikisha, hakuna mtu anazaliwa na pesa au mabasi 20
Unataka kujua wamepata wapi hizo fedha?Imagine, kuna haya mabasi
Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc
Malori ndo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Yeah migebuka na nyamunyamu.Umeshiba migebuka
Mabasi 20 ni kama bilioni 6 hivi ambazo mkulima wa kawaida ana hiyo fedha achilia mbali wafanyabiashara.Yani hill swali kila siku nikipita hapa maeneo ta Shekilango huwa najiuliza nakosa jibu,Jana nimeona Haya mabasi ya BM kama 20 hivi-hawa watu walifanya kitu gani hadi wakapata hizo hela.
Tafuta hela utakufa kwa ugonjwa wa moyoImagine, kuna haya mabasi
Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc
Malori ndo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?