Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Kwani uongo mkuu!? Average life span ya mwanadamu ni miaka 63 tu unaondoka wachache wanabahatika kuzidi hapo ila si zaidi ya miaka 25-30. Hata ukifikia umri huo akili zinakuwa kama za mtoto mchanga tu
20230403_155542.jpg
 
Ukiwaza ghorofa bado umeenda mbali, sasa hivi mnaambiwa nunueni viwanja huko chanika mnaona n maporini.

Utajiri upo katika ARDHI miliki ARDHI kadri uwezavyo siku 1 itakuheshimisha.

Msidharau viwanja vinavyouzwa kama hela unayo sasa hivi, tupia Ardhini. it will pay you back siku 1.

utakua ktk historia za matajiri hii nchi,Ardhi haijawahi ni dissapoint.
Ila ni lazima kuangalia eneo gani unaninua hivyo viwanja. Kuna miji ipo hivohivo tokea mkoloni alivouacha mpka kesho. Sasa jichanganye kuwekeza kwenye ardhi huko
 
Kwani uongo mkuu!? Average life span ya mwanadamu ni miaka 63 tu unaondoka wachache wanabahatika kuzidi hapo ila si zaidi ya miaka 25-30. Hata ukifikia umri huo akili zinakuwa kama za mtoto mchanga tu
Kwahiyo mama samia au mpango wana akili za kitoto? Wewe unakula dagaa kama kunguru ndio uwe na akili kuwazidi hao teh teh teh
 
Wachache wamezipata kihalali. Jiulize haya mabilioni yanayopigwa serikalini huwa yanaenda wapi? Mfano mabilioni ya ndege yaliyopigwa yamepelekwa wapi... mimi kwa upande wangu naona ufisadi huwa unawanufaisha sana hawa watu.

Fisadi ni mpambanaji. Hukai kwenye channel ya hela bila kupambana otherwise hata vichaa wangekua mafisadi.
 
Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Si mikopo ya mabenki
 
Back
Top Bottom