masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,382
- 19,290
🚢 Fee yake sasaUsed mpk milioni 70 unapata
🚢 Fee yake sasaUsed mpk milioni 70 unapata
Turnover ya 5bil faida yake umeitolea maelezo kwa sentensi moja duh hatari sana hii 😄Inamlipa kwan ukipiga hesabu kwa mwezi kila gari linarejesho la mil 1.43 ,kwa mwezi magari yote anavuna sio chini ya Tshs 420 mil,other factors remain constant,kwa mwaka ana vuna 5bill ,akitoa rejesho na other running costs anaweka 4bill kibindon,biashara ya transportation inalipa tized
Kua makini mkuu baadhi ya matajiri kafara zao ni ulawitiKwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
Father ol all snipers, sasa unashindwa nini kutumia kipaji chako cha udunguaji kudungua mtu upate mpunga?Unatoa ushauri gani kwetu sisi ambao hatuna vigezo vya kukopesheka hata laki moja?
Na hapo nimepiga hesabu ya basi moja linafanya ruti 5 tu kwa mwezi,kwa go and return,of which ruti zinaweza zikawa zaidi ya tano.Turnover ya 5bil faida yake umeitolea maelezo kwa sentensi moja duh hatari sana hii 😄
Si kweliLori moja ni 600M ×300 = 180B [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sifahamu mkuu!!Mkuu kwani mfano usangu logistics unahisi wana lori chini ya 700?
Muhindi huyuKuna kampuni inaitwa inaitwa SPECIALIZED ina ma lorry zaidi ya 1,000 yanabeba makaa ya mawe kutoka Mkoa wa Ruvuma...
.
Naskia kashusha kashusha Gari nyingine 500 bandarini...
.
Watu wana pesa aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo mabasi unayoyaona ni chamtoto hawa jamaa Wana mahoteli ya hatari,Petro station za kutosha,ukija kwenye kilimo na ufugaji ukiona utalia brother!! Yan ng'ombe wao wanatoa maziwa kama Wana kisima tumboni!! Wana magest daaaa acha tuu
Super Feo/SelousMaana wenye mabasi mengi Tz ni NewForce, Abood, Shabiby, Golden Deer
GSM ana Malory zaidi ya 1000Imagine, kuna haya mabasi
Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc
Malori ndiyo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Ngano sio kipaumbele chao kabisa pale bandarini hao ni mbolea clinker copper slags na sulphurHao wahindi achana nao kabisa.
Hata Ngano Bandarini wao ndio hubeba kusambaza kwenye viwanda
Meli nzima
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
AiseeGSM ana Malory zaidi ya 1000
Bus moja liwe na mauzo ya 5bil kwa mwaka 😆 masikhara hayoNa hapo nimepiga hesabu ya basi moja linafanya ruti 5 tu kwa mwezi,kwa go and return,of which ruti zinaweza zikawa zaidi ya tano.
Kuna magari trafiki akiyachelewesha njiani au akilikagua kagua kazi hana.Lakini mkuu nilishawahi kusikia sio mabasi yote ni ya hao wamiliki.nasikia kuna vigogo serikalini huwa wanaingiza gaei zao kwahio wanajificha humo.
Aliwahi kusema akiwa na miaka sijui 19 alimiliki basi. Alitakiwa aseme alimilikishwa basi tunajua basi sio kazi tahisi kulimiliki kama simu au getoMuulizeni Shabiby atawaelezea
Sio moja kasema mabasi 42,so hizo 5bil ni kwa hizo 42 buses alizotaja mdau nikazipigia hesabu za harakaharaka kwa mwaka🙏Bus moja liwe na mauzo ya 5bil kwa mwaka 😆 masikhara hayo
Mid-size farm tractors with 25hp – 80hp are generally priced from $22,700 to $49,000. Bigger tractors that come with 100 hp and 4-wheel drive are a bit more costly, ranging from $55,000 to $70,000. The most powerful tractors with 150 hp are going to cost at least $72,120 and in some cases will exceed $120,090.How about tractors