Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Mbona hao wa viwango vya juu?...Mimi hapa nawaza nitapata hata ist wapi, au nitaanzaje biashara ya kunipatia 10,000 kwa siku....na type hii sms nikiwa kigoma vijijini.
Ukitengeneza mgahawa unapata faida 5000,ukiweka mpesa airtelmoney ukaweka na system ya lipa huwez kosa 5000 faida kwa siku
 
Imagine, kuna haya mabasi

ESTER LUXURY
TILISHO
HAPPY NATION
SAULI
NEW FORCE
ARUSHA EXPRESS
SHABIBY
ABOOD
MACHAME EXPRESS
KAPRICON
KILIMANJARO EXPRESS
DAR EXPRESS
ZUBE
SARATOGA
MGAMBA
KIMBINYIKO
ABC
ALLY'S



SAIBABA

etc etc


Malori ndo usiseme.


Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60!

Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500.

Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Wanaanza na mabasi machache na wana invest zaidi.Pia unapokua na Mali bank inakuamini inakukopesha zaidi na unarejesha
 
Hakuna wizi wala uchawi, Bank zinahusika hapo, Mabenk mengi yana pesa na yanahitaji wakopaji, watu mnalilia tuu uchawi, lakini usiende Bank kama hata kampuni huna maana hakuna mtu atapoteza muda na wewe, anza kidogo onyesha satements zako na documents za kibiashara na kodi unayolipa, cha maana anzisha kampuni onyesha cash flow zako, taxes etc kitu ambacho ni rahisi sana, ukienda bank watakuwa more than happy kuongea na wewe ili wakupe mkopo.

Tatizo weng wavivu hamtaki kufanya kazi na kufuata sheria ili muonekane wafanyabiashara wa kweli, hata eka 5 za mahindi na kampuni na ukionyesha ulichouza kihalali bank watakupa mkopo mkubwa tuu, usitake mkopo wa milioni 300 wakati huna hata kampuni ya biashara inayoingiza kipato, bank hawatazungumza na wewe
 
Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?

Mengine mikopo ndugu,ukinunua ma tano kwa cash unakopeshwa matano hivyo kadri unavyonunua na kukopeshwa unakopeshwa
 
Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Bila Kisbo uzi huu batili.
 
Sio Hilo tuu pia ni wakulima hodari Sana Wana matrector,combined harvester,nk Wana magodown ya Michele na haharagwe ya njano acha tuu aisee
Kumiliki combine harvesters lazima uwe umeanzia mahali..
Ndo hapo mtoa mada anahoji!

How much is the X9 combine harvester?

$600,000 to $1 million
How much does the John Deere X9 cost? When it comes to high-end combines like the John Deere X9, pricing can vary depending on several factors. The X9 is available in several different models, and can range from $600,000 to $1 million or more, depending on the specifications and features.
18 March 2023
 
Utajiri wao wanaupata kwa njia kama hii hapa chini...
 
Back
Top Bottom