25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,773
Wewe unashindwa nini au utaki utajiri?Kuna pesa za majini, kafara, wizi,magendo,zari mfano kwenye madini, ufsadi serikalini
Wewe unashindwa nini au utaki utajiri?Kuna pesa za majini, kafara, wizi,magendo,zari mfano kwenye madini, ufsadi serikalini
Uongo huu
Kanda ya ziwa n chunyaMakampuni ya Mabasi asilimia kbwa yanamilikiwa na watu WA Kilimanjaro, respect sana hawa watu
Mkuu upo duniani kweli au wafanya masihara?Hata wewe hujawahi kutana nayo. Hakuna mtu kawahi kutana na uchawi zaidi ya story za kusadikika tu zinazoaminiwa na watu wajinga.
Tafuta hela mkuu uache kazi ya kuhesabu matajiri mjin. Kuna watu wanaamini ili upate hela ni lazima shughuli zako ziwe wazi. Mzee maisha ni siri na siri ni power ndio maana huyu Mungu tunaemuabu yupo sirini ndio nguvu zake.Imagine, kuna haya mabasi
Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc
Malori ndo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Mkuu upo duniani kweli au wafanya masihara?
Yawezekana wanatafuta vikundi vya kuteka makontena au kuharibu reli ili locomotive idondoke watu wafurahiekwa hali hiyo, hao matajiri wanaomiliki malori ya mizigo, wakiunganisha nguvu kuhujumu ujenzi wa sgr, sidhani kama mbunge yoyote wa ccm pale dodoma ataweza kupanua kinywa chake kupinga hujuma hiyo.
Hao wahindi achana nao kabisa.Kuna kampuni inaitwa inaitwa SPECIALIZED ina ma lorry zaidi ya 1,000 yanabeba makaa ya mawe kutoka Mkoa wa Ruvuma...
.
Naskia kashusha kashusha Gari nyingine 500 bandarini...
.
Watu wana pesa aisee.
Jah peopleKama yule Mbunge wa Makambako nasikia ana Malori kama 300 hivi
Unaweza ukarithi na ukaangukia pua vile vileShortly wengi wao wametokea kwenye familia au koo za uchumi jumuishi ( cooperate economy na sio mainstream) kwaio wengi ni kulisi lisi etc.
Mfano Mohammed Dewji alihustle wapi he just found food on the fridge alichokifanya nikuchagua nini cha kupika easy
Hesabu kama kwny biashara ya matikiti.Inamlipa kwan ukipiga hesabu kwa mwezi kila gari linarejesho la mil 1.43 ,kwa mwezi magari yote anavuna sio chini ya Tshs 420 mil,other factors remain constant,kwa mwaka ana vuna 5bill ,akitoa rejesho na other running costs anaweka 4bill kibindon,biashara ya transportation inalipa tized
We ushawah fanya hata biashara ya kuuza maembe?🤣🤣usibishie wanaopractice businessHesabu kama kwny biashara ya matikiti.
Oneee huyo bablai ni kwereKuna mtu namfahamu Ana Shimo pale mererani, shimo lake lina uwezo wa kutema vyombo kila mwezi,makinikia ndio usiseme.
Huyu akisema anakopa Anauwezo wa kukopa kununua hayo mabus yote uloyataja na chenchi ikabaki.
Kuna watu wana miliki Assets ambazo ndio maisha yao, Nyingi zisizoonekana.
Mabus na Malori ni vinyongeza tu...
mm kila nikipiga hesabu ya hii biashara huwa najiuliza hawa watu wanapata faida kweli mbona kama gharama za uendeshaji haya mabasi ni kubwa kuliko income naulizi zenyewe za bongo ni za chini kweli..Imagine, kuna haya mabasi
Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc
Malori ndiyo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Nenda bank ulizaMoja ya kiburi cha masikini ni kujifanya wajuaji wakati hawajui, utakuta mtu anasema Matajiri wamepata utajiri kupitia mikopo ya mabenki ila ukimuuliza ni vigezo gani anatakiwa avikamilishe ili nae akopesheke atakwambia hajui na wala hana mpango wa kuwafata wanaojua ili wamuelekeze ili nae ajue. Usitegemee kuwa na pesa kama hukai karibu kujifunza kwa wale walio kwenye chaneli ya pesa.
Mfano unaweza kukaa na tajiri ambae tayari anamiliki mabasi na kampuni kubwa tu ila ukimdadavua atakwambia tu usione nimefika hapa nilianza kwanza na biashara ya kununua nafaka vijijini huko ,nikapanda mtaji ,nikaja kuanzisha biashara fulani, then biashara fulani mpaka nimefikia hapa unaponiona...tayari hapo kashakupa ABC zake alipotokea na jua kuwa haikuwa kazi ya siku moja ila ilimchukua miaka ya ku-hustle