Wamarekani wanatembea na silaha

Kuuwawa auawe Mwarabu au Mwafra mnyama akiuwawa Mzungu binadamu sio? Wanatakiwa wauwane kama 900 fasta usiku mmoja ili wauhisi uchungu wanaouhisi waliowachonganisha na kuwaacha wakitoana roho.
 

Wacha kutetea uovu ewe punguani mwanjo mwanjo.

Kuna mitaa US hakuna black anaekatiza, si mchana si usiku.
 
Wacha kutetea uovu ewe punguani mwanjo mwanjo.

Kuna mitaa US hakuna black anaekatiza, si mchana si usiku.
Acha uwongo wewe labda unachanganya na wale mabwana zako wa Boko haram na ISIS
 
Gun kwa US ni haki ya mtu kumiliki na ipo kwenye constitution yao,hao unaowaona kwenye picha wanatumia law inaitwa open carry inayoruhusu mtu kubeba na kuonyesha silaha yake lakini sio States zote zinaruhusu kuonyesha,na kumiliki gun kuna kuja na responsibility ambazo zinaweza kukuweka jela wewe mwenyewe na lazima uwe na licence,training and you have to pass background check etc,shooting nyingi zinatokana na watu ambao ni criminal na hawana hata permit ya kumiliki gun,nakuhakikishia mpaka ukimaliza process ya kumiliki gun US lazima utaheshimu gun na huwezi kutumia tumia ovyo kama mnavyofikiria
 

Hao wala vumbi unadhani wana hata uwezo wa kuelewa unachowaambia basi?

Unampigia mbuzi gitaa tu.

You can't reason with them!
 
Acha uwongo wewe labda unachanganya na wale mabwana zako wa Boko haram na ISIS

Hao wote uliowataja waliasisiwa na mabwana zako wazungu hususan wa US.

Unataka kunibishia mie habari za US? Unanchekesha.

Nenda ka Google kuhusu "sundown towns" (kama unaelewa Kingereza) halafu uje hapa useme ni nini hicho.

Nnauhakika hautorudi.

Punguani wahed.
 

Taja mitaa ambayo weusi hawaruhusiwi kukatiza.
 
Sina muda na Conspiracy garbages na akili zako zilizojaa matope ,unachoweza ni udini tuu nenda kasaidie ISIS mfikie dream yenu ya cailphate maana huko ulipojificha na kufaidi maisha bora under secular laws hapakufai,ila warning ukiingia kule hakuna kutoka ni either precision guided munitions zigeuze vumbi or mabwana zako ISIS wakunyonye mpaka utoke mavi
 
kama wewe ni ccm akija ukawa utamtukana,ufitini ndio unavoanza
 
Hizo silaha watageukiana wenyewe kwa wenyewe maniaa zao.

Leo hii ndiyo wanamkumbuka Sadam Hussein baada ya kuichafua dunia.

Kila siku tunaambiwa US kuna amani sana amani gani sasa hiyo.
Utabiri wangu ni hayo masilaha wanayotengeneza siku moja watayatumia kuuana wenyewe kwa wenyewe alafu dola nyingine zitarise
 


Mbona hii kitu cha 2014... Haina uhusiano kati ya weupe na weusi


Teh!, people will go an extra mile to feed on their distaste for all things US.
 
Taratibu wazee ingawa huyo jamaa kweli anazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…