Hamna kitu kibao kama kuwa mtumwa wa kiakili bwana ako hata akimpiga mama yako makosa yanakuwa kwa mama kuwa mchokozi.Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?
FaizaFoxy &Co. LtdHali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?
Bro, kuna baadhi ya watu waoga sana hata haki yao wanaogopa kuidai.Hamna kitu kibao kama kuwa mtumwa wa kiakili bwana ako hata akimpiga mama yako makosa yanakuwa kwa mama kuwa mchokozi.
Nani kashabikia mauaji hiyo ni hali halisi.hii tabia ya kushabikia mauaji haina tija.
Ni tabia ya kawaida sana ya wanafiki, kuona ubaguzi wa mwingine, kumbe nae ni mbaguzi. sawa na mtu anesema anadai demokrasia, alafu huyo huyo anawatangazia wafuasi wake wasishirikiane huduma za jamii na wasio wafuasi wake.Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?
Hakuna amani in USA tokea zamani, kila mara watu wanauwana mitaani, pia wanawake wanaku raped daily.Hizo silaha watageukiana wenyewe kwa wenyewe maniaa zao.
Leo hii ndiyo wanamkumbuka Sadam Hussein baada ya kuichafua dunia.
Kila siku tunaambiwa US kuna amani sana amani gani sasa hiyo.
Bro hawa jamaa kama huyu ndiyo wale tuliokuwa tunawazungumzia wanafiki sana watumwa wa kiakili.Nani anashabikia mauaji??