Wamarekani wanatembea na silaha

Wamarekani wanatembea na silaha

Kumbe hapa kila mtu ukimchanja atatoa damu ya rangi yake, mada inahusu mauji ya marekani ila sasa imehamia kwenye dini. Kwa maana hiyo sisi sote tu wabaguzi.
 
Shida itakua kubwa duniani pale marekani nayo itachukuliwa kama reference point kwamba hata USA .... tutatengeneza madikteta wengine
 
Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kunambia "the greatest fear of America is Civil war"
Tulikuwa tunazungumzia kuhusu Taifa ambalo ni tishio kwa usalama wa Marekani...Sasa naona dhahiri kabisa jamaa alikuwa anamaanisha kitu gani kwa usemi ule.
 
Lakini huyo aliyehojiwa amesema kuwa hali ni mbaya hapo palipotokea mauaji.........

Ni watu wangapi wameuawa hapo palipotokea mauaji tokea huyo mtu auwawe?

Na sio kwenye majimbo yote....

Sasa kama siyo kwenye majimbo yote hizi habari za kwamba Marekani sasa hivi hali ni mbaya zinatoka wapi?

Yaani vifo vya watu wawili ndo vifanye hali kuwa mbaya nchi nzima?

Kwendeni zenu huko.

Vile vile tumetofautiana jinsi ya kuyachukulia mambo....jambo linaweza kwako kuwa kero lakini kwa mwenzako ikawa ni kawaida......

Tofauti za kimtazamo zisitumike kupotosha mambo.

Kwa mfano huyo aliyehojiwa anaonekana kukerwa na vitendo vya polisi kuwasimamisha watu weusi kila mara......ilhali kwa watu wengine inaweza kuonekana kuwa ni kawaida kwa kuwa ni jambo ambalo limeshazoeleka miongoni mwao.......

Ni kawaida ya binadamu kulalamika hata pasipo na sababu. Ona Waislamu wa Tanzania wanavyolialia kuonewa kila siku.

Nani anayewaonea?
 
Vi clip vya YouTube havithibitishi chochote.

Kwanza hali ni nzuri kiasi cha watu kuweza kutimiza haki zao za kikatiba na kuandamana na kutoa madukuduku yao.

Hali ingekuwa mbaya unadhani nani angeweza hata kuandamana?

Ushaona watu wakiandamana Syria au Kabul huko?
Hahahahaha!! Msikilize Rais wa Marekani.

Hapa chini maandamano Kabul.

Hapa chini maandamo Syria.

Eti Marekani hali ni mbaya....hahahaaaa mnacheza nyie. Oneni huko Pakistan wanavyouana kwa mafungu.
Hizi ni dalili za kukosa hoja, hii mada inahusu Marekani sio Pakistan.

Ama kweli wewe mbumbumbu kweli kweli, eti unadhania Marekani haiwezekani kutokea fujo.

Inaonyesha haujui Historia ya civil wars in USA.

Kuna time fulani in USA History Wanegro walikuwa wakichinjwa kama kuku.
 
1) Watu wanauliwa, wewe unasema habari sio mbaya! una akili wewe?

2) Mie sikupinga kwamba huko Iraq kuna vita na hali ni mbaya (vita hii imeanzishwa na USA pia).

3) Naona unatoka nje ya mada!

Hata Tanzania watu wanauliwa!

Ina maana hali ya Tanzania ni mbaya?
 
Sipingi mkuu
ila inaonekana watu wengi hawajitambui huko kwenu sababu mojawapo ni hii ..... kwa nini mfitinishwe na mzungu? mpaka mfikie hatua ya kuuwana ovyo katika kiwango cha kusikitisha namna hii

Mimi siwezi nikagombanishwa na ndugu yangu kisa mtu fulani
Natakiwa nifikiri mwenyewe kwa akili zangu
Sio kufitinishwa tu, wazungu wametumia majeshi yao kabisa kuifuruga Iraq, Libya na sasa Syria...

Nadhani unajua..
 
Hizi ni dalili za kukosa hoja, hii mada inahusu Marekani sio Pakistan.

Ama kweli wewe mbumbumbu kweli kweli, eti unadhania Marekani haiwezekani kutokea fujo.

Inaonyesha haujui Historia ya civil wars in USA.

Kuna time fulani in USA History Wanegro walikuwa wakichinjwa kama kuku.

Mpaka muda huu nashindwa kumuelewa huyu ndugu yetu......
Unaweza kukuta anaandika haya huku amejifungia ndani kwa uoga.....alafu huku kwenye keyboard anasema hali sio mbaya....
 
Ni watu wangapi wameuawa hapo palipotokea mauaji tokea huyo mtu auwawe?

Sasa kama siyo kwenye majimbo yote hizi habari za kwamba Marekani sasa hivi hali ni mbaya zinatoka wapi?

Yaani vifo vya watu wawili ndo vifanye hali kuwa mbaya nchi nzima?

Kwendeni zenu huko.

Tofauti za kimtazamo zisitumike kupotosha mambo.

Ni kawaida ya binadamu kulalamika hata pasipo na sababu. Ona Waislamu wa Tanzania wanavyolialia kuonewa kila siku.

Nani anayewaonea?
Vita ni vita tu, hata wakifa watu kidogo (this is just the beginning, utaona mengi, wewe ngojea tu).
 
Back
Top Bottom