Wamarekani wanatembea na silaha

Wamarekani wanatembea na silaha

Uongo mtupu!

Hali wala siyo mbaya kama mnavyodanganywa.

Msitake kufanya vifo vya watu wawili na polisi watano kuwa ndo gharika kwenye nchi yenye majimbo 50 na idadi ya watu zaidi ya milioni 300.

Acheni masikhara na acheni kudanganyika kama majuhha msio na ubongo!

Sasa mkuu anayedanya ni nani...ni wewe au huyo aliyehojiwa.....!!!??
 
Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.

Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.

Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.

Kulikoni?
Kwa hiyo unataka halalisha kutendewa vibaya wanawake wa ndani kule Dubai
 
Sasa mkuu anayedanya ni nani...ni wewe au huyo aliyehojiwa.....!!!??

Huyo aliyehojiwa!

Nakataa kuwa hali ni mbaya kwenye majimbo yote 50 na kwa watu zaidi ya milioni 300.

Matukio mawili hayawezi kabisa kufanya hali iwe mbaya na ukweli wa mambo ni kwamba hali siyo mbaya hata kidogo.
 
Kiilichotokea America sio cha kufanananisha na kinachoendelea middle East
Muarabu haeshimu tena uhai wowote uwe uhai binafsi au mtu mwingine

Kwa baadhi ya nchi za kiarabu kuuwawa watu 200 kwa Siku moja sio ishu ya kushangaza kwa sasa

Hata media hazishtuki.
Wewe umezaliwa lini? Hamna mtu ambaye kafananisha mauaji.
 
Kama Marekani hali ni nzuri hawa wamarekani wanafanyeje hapa angalia hii video clip.

Vi clip vya YouTube havithibitishi chochote.

Kwanza hali ni nzuri kiasi cha watu kuweza kutimiza haki zao za kikatiba na kuandamana na kutoa madukuduku yao.

Hali ingekuwa mbaya unadhani nani angeweza hata kuandamana?

Ushaona watu wakiandamana Syria au Kabul huko?
 
Kiilichotokea America sio cha kufanananisha na kinachoendelea middle East
Muarabu haeshimu tena uhai wowote uwe uhai binafsi au mtu mwingine

Kwa baadhi ya nchi za kiarabu kuuwawa watu 200 kwa Siku moja sio ishu ya kushangaza kwa sasa

Hata media hazishtuki.
1) Naona unatoka nje ya mada.

2) Middle East war imeanzishwa na USA (Ukipinga utakuwa unajidanganya mwenyewe).
 
Mkuu matamshi kama haya yatachochea ubaguzi zaidi Marekani ni Taifa la mkusanyiko wa watu wa rangi na asili tafauti.
Siyo Marekani tu ambalo ni taifa la mkusanyiko wa watu wa rangi na asili tofauti mbona hata Tanzania tupo hivyo mkuu Marekani unaenda mbali, angalia timu ya taifa ya Ufaransa utadhani timu ya Senegal.
 
Naona hapo jamaa ana Rifles Gun mgongoni!

Obama kubali yamekushinda rudi kwenye count ya Mandera kenya ukalime mihogo
 
Eti Marekani hali ni mbaya....hahahaaaa mnacheza nyie. Oneni huko Pakistan wanavyouana kwa mafungu.

Hahahaaaa hivi nyie kwenye hizo madrasa na masjid huwa mnajifunza nini?

Civil war imeshatokea mara nyingi sana Marekani?

Nyie ni wa kuwaacha tu kama mlivyo.
Hahaha, unaona sasa kumbe hata Historia haujui.

Kama hausadiki nenda kamuulize mwalimu wako. Au kamuulize MR google.com

Ama kweli wewe ni brain washed by Makaburu.

Unamuona Mmarekani kama Mungu.
 
Wamarekani wengi especially blacks wanamiliki silaha za moto kwahiyo wakisimamishwa na askari kuna taratibu unabidi uzifuate na kamwe usije ukajifanya unaingiza mkono kwenye mfuko wa suruali au kwenye koti hapo lazima askari akumiminie njugu maana anajua utakuwa unachukua mguu wa kuku.
 
Huyo aliyehojiwa!

Nakataa kuwa hali ni mbaya kwenye majimbo yote 50 na kwa watu zaidi ya milioni 300.

Matukio mawili hayawezi kabisa kufanya hali iwe mbaya na ukweli wa mambo ni kwamba hali siyo mbaya hata kidogo.
Wewe hata akiuliwa mtoto wako utasema hali sio mbaya.
 
1) Naona unatoka nje ya mada.

2) Middle war imeanzishwa na USA (Ukipinga utakuwa unajidanganya mwenyewe).
Sipingi mkuu
ila inaonekana watu wengi hawajitambui huko kwenu sababu mojawapo ni hii ..... kwa nini mfitinishwe na mzungu? mpaka mfikie hatua ya kuuwana ovyo katika kiwango cha kusikitisha namna hii

Mimi siwezi nikagombanishwa na ndugu yangu kisa mtu fulani
Natakiwa nifikiri mwenyewe kwa akili zangu
 
Vi clip vya YouTube havithibitishi chochote.

Kwanza hali ni nzuri kiasi cha watu kuweza kutimiza haki zao za kikatiba na kuandamana na kutoa madukuduku yao.

Hali ingekuwa mbaya unadhani nani angeweza hata kuandamana?

Ushaona watu wakiandamana Syria au Kabul huko?
Ndio nimeshaona tena nazo picha zao.

Kibaraka wa mzungu wewe.
 
Huyo aliyehojiwa!

Nakataa kuwa hali ni mbaya kwenye majimbo yote 50 na kwa watu zaidi ya milioni 300.

Matukio mawili hayawezi kabisa kufanya hali iwe mbaya na ukweli wa mambo ni kwamba hali siyo mbaya hata kidogo.

Lakini huyo aliyehojiwa amesema kuwa hali ni mbaya hapo palipotokea mauaji.........
Na sio kwenye majimbo yote....
Vile vile tumetofautiana jinsi ya kuyachukulia mambo....jambo linaweza kwako kuwa kero lakini kwa mwenzako ikawa ni kawaida......
Kwa mfano huyo aliyehojiwa anaonekana kukerwa na vitendo vya polisi kuwasimamisha watu weusi kila mara......ilhali kwa watu wengine inaweza kuonekana kuwa ni kawaida kwa kuwa ni jambo ambalo limeshazoeleka miongoni mwao.......
 
Back
Top Bottom