Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,539
Basi acha na hiyo kitu chukua hii kitu ya juzi.![]()
Mbona hii kitu cha 2014... Haina uhusiano kati ya weupe na weusi
Hamna lolote
BLM baby f***ya'all brainwashed zombies
Texas has over 1 million handgun permit holders, with 57,620 in Dallas County.Gun kwa US ni haki ya mtu kumiliki na ipo kwenye constitution yao,hao unaowaona kwenye picha wanatumia law inaitwa open carry inayoruhusu mtu kubeba na kuonyesha silaha yake lakini sio States zote zinaruhusu kuonyesha,na kumiliki gun kuna kuja na responsibility ambazo zinaweza kukuweka jela wewe mwenyewe na lazima uwe na licence,training and you have to pass background check etc,shooting nyingi zinatokana na watu ambao ni criminal na hawana hata permit ya kumiliki gun,nakuhakikishia mpaka ukimaliza process ya kumiliki gun US lazima utaheshimu gun na huwezi kutumia tumia ovyo kama mnavyofikiria
BLM baby f***ya'all brainwashed zombies
Wanamuogopa obamaHali ya US kwa sasa inasikitisha sana.
Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.
Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.
Kulikoni?
Allwah Akbar..!!View attachment 365336
USA Baby...Ahahhahaa kibali cha kuwindia watu weusi kama vile unakwenda Serengeti kuwinda nyumbu.