Wamarekani wanatembea na silaha

Wamarekani wanatembea na silaha

Mkuu naomba unijibu hili swali, Hivi inapofikia stage ya watu kuongezeka kwa idadi, wanaomiliki silaha au wanaotembea na Silaha ina maana Amani inapungua au inaongezeka hiyo sehemu au Mji husika?
Mashirika/Watu wengi wamejaribu kufanya studies ya ulichouliza lakini tatizo ziko nyingi sana with different results kutokana na politics za guns hapa US na kila study inayotolewa inakuwa suspicious na inaonekana kama inajaribu kuvutia upande wake(pro or ant guns), mbaya zaidi congress imepiga ban agency zake kufanya gun violence studies ambazo zingeweza kutumika as a benchmark,pro guns wanakuambia more guns means less criminal activities na wana back up with datas na ant guns wanakuambia the same in vice versa,ila mimi binafsi nafikiri gun violence is more common in poor urban areas especially ndugu zetu weusi wanauana sana ingawaje nao wazungu pia na ndio zinachangia more gun violence kuliko mass shootings mnazoona kwenye TV,guns ownership in US ni culture yao na ipo kwenye constitution yao na wengi wanaamini gun is for protection na wanaamini one day serikali yao inaweza kuwa tyrant na gun ndio itakuwa usalama wao, politician especially in conservatives states hawagusi hiyo issue maana is like political suicide
 
Acha uwongo wewe labda unachanganya na wale mabwana zako wa Boko haram na ISIS

Mitaa gani hiyo?

Halafu naona leo una hamu wewe....

Haya, nitajie hiyo mitaa.
Nyie kina mama kukosa kwenu waume kunakuongezeeni depression. Na hilo ndio tatizo la kufuata mitalii inayokuja huko bongo mkindhani ina hela kumbe ni backpackers wenye njaa kuliko sisi wabongo. Sasa mtazalishwa kwa fujo mpk akili ziwaruke.
Teh teh teh.
Usa baby my black butt. [emoji90] [emoji133]
 
Waliiletea dunia ustaarabu.

Vipi wewe huna ustaarabu?
ustaarabu gani mama, wa kuchinja watu vichwa na kujilipua? wa kutokwenda shule, angalia kote walikopita hapa tz kuanzia pwani hadi bara, elimu zero watu wanategemea chuma ulete tu hakuna kutumia akili. vichwa vyenu vitafunguka lini kuwaabudu hao viumbe?na wanawachezea kweli akili zenu wapendavyo.
 
This is grossly overstated!

Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.

Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
mkuu,hivi,mkiwa mnajadili kadhia za mashariki ya kati,mliwahi fika nchi ipi vileeee?????[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Haya sasa ambao washawahi kuishi USA kwa zaidi ya miezi 7 mfulizo anyooshe mkono!!
Walionyoosha tu ndio wanaojua hali halisi ya USA. Mliobaki KELELE!!!
 
mkuu,hivi,mkiwa mnajadili kadhia za mashariki ya kati,mliwahi fika nchi ipi vileeee?????[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]

Jordan, Bahrain, Kuwait, Israel, Dubai, na kadhalika.
 
Muda muafaka kwa viongozi wa Africa kuwatangazia Raia wake kuwa Marekani sio sehemu salama kwa wanaotaka kwenda Na walioko huko warudi haraka .

Kama vipi wafunge hata balozi zao kwa muda.hadi hali atakapotengamaa.!
Hv polisi wa Tanzania wanapoua wapinzani mbona huwa husemi kama siyo sehemu salama ya kuishi, mauaji ya vikongwe huko mikoa ya lake zone, mauaji ya walemavu wa ngozi, mauaji ya hivi karibuni huko Tanga n.k vp haya unayachukuliaje mkuu, je nchi iko salama kiasi gani?
 
Uzi umejaa upotoshaji mkubwa sana.......Kila mwamba ngoma huvutia kwake.........
Mahmood picha ulizoleta na sababu ulizotoa ndio chanzo cha upotoshaji wote huu.
 
Back
Top Bottom