Wamarekani wanatembea na silaha

Wamarekani wanatembea na silaha

mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu, hatuwaombei bali ngoja na wao wapitie hiyo hali ili waone. maana huwa wanapiga kelele tu na kujifanya kiherehere kwa mataifa mengine.
 
hiyo nimeipenda kwasababu mtu lazina ujilinde mwenyewe.
usisubilie mungu akulinde.
 
Ni tabia ya kawaida sana ya wanafiki, kuona ubaguzi wa mwingine, kumbe nae ni mbaguzi. sawa na mtu anesema anadai demokrasia, alafu huyo huyo anawatangazia wafuasi wake wasishirikiane huduma za jamii na wasio wafuasi wake.
Kijembe chako msitari wa pili hakiendani na mada hii[emoji109]
 
This is grossly overstated!

Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.

Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Acha zako hizo, uwa au teka nyara raia mmoja tena hasa awe mzungu wa USA popote alipo Duniani uone kama hautasakwa kwa kila nyenzo walizonazo serikali USA na kama upo Bongo ndio vyombo vya usalama vya nchi watasaidia na kukupeleka kwao.

Wanauwawa watanzania kule USA hata ubalozi uneshindwa kufanya chochote zaidi kuwaacha marafiki wachangie mazishi au kurudisha maiti nyumbani.
 
Heri hizo pumba zako ungezipeleka kuziuza Interchik walau ungepata hela ya kununulia deodorant!
 
Mkiwa mnaweka habari wekeni habari nzima sio mnaweka vitu nusu nusu. Na Hiyo picha ya chini link ni ipi?
Na wewe usiwe unapinga tu bila kufanya utafiti na maneno mengi kuwa picha feki.

Unataka utafuniwe kila kitu wewe kazi yako kula tu. Wewe umepinga kuwa hizo picha siyo Marekani umewekewa hiyo link bado unauliza tena.

Sijui takusaidia vipi.
 
Walikuwa wanahubiri na kujigamba juu ya ustaarabu! sa yako wapi mbona wanabaguana au ndo kusema ustaarabu wameutia matakon.i?!! nimeipenda sana hii ya kudunguana wasiishie hapo tu walipuane kabisa kwenye madege na treni za mwendokasi lau waonje joto la casualities and refugees mithiri ya stranded arabics and all muslims over the world of which USA is a sole founder and initiaters of all those ongoing unrests.
 
Na wewe usiwe unapinga tu bila kufanya utafiti na maneno mengi kuwa picha feki.

Unataka utafuniwe kila kitu wewe kazi yako kula tu. Wewe umepinga kuwa hizo picha siyo Marekani umewekewa hiyo link bado unauliza tena.

Sijui takusaidia vipi.
Blahh blahh nyingi ya kazi gani .
Kuna picha mbili hapo. Umeweka link ya picha ya kwanza weka link ya picha ya pili.

Hamna unacho nitafunia ukiamua kufungua thread wekeni kila kitu. Sio mnaweka picha halafu tunaanza guessing games. Kama ni hivyo semeni ni quiz tuanza ku guess au kufanya research zetu wenyewe.

Msilete taarifa robo robo halafu mnataka tukubaliane na picha tu.
 
Hivi wewe huna matusi mapya?

Manake kila siku ni yaleyale tu.

Na ndiyo, Marekani ni salama sana tu. Hapa siyo Mogadishu wala Baghdad.

Hutaki, kunya ukalalwe.
Teh teh teh teh. Bi mkubwa una miaka 64. Uso umejikunja ka lapulapu hayo matumizi mapya uyapate wapi?

Muha wa kigoma ashk zimekuganda kazi kusifia nchi za wazungu. Bahati mbaya umezeeka lkn ungekuwa unavutia japo kidogo hao wazungu wangekubaka mchana ndio ukaiona hio salama vizuri.
Kuku maji. Zee zima michubuko huiachi.
Teh teh teh
 
This is grossly overstated!

Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.

Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Na wewe kiumbe hebu jaribu kuficha ushamba wako na ulimbukeni wako japo kidogo tu,

kila siku unaimba taarabu humu sijui "USA BABY" hivi unafikiri ni wewe tu ndio upo US? sio wote wenye tabia za kitoto kama zako za kukaa kuimba humu wapo nchi gani,sio wote wanaopenda kuanika mambo yao "personal" hapa,

Hivi kujua habari za nchi fulani ni lazima uwe kwenye hiyo nchi husika? Hivi kua US ndio kujua habari zote za US? hivi kua India ndio kujua habari zote za India?

Tatizo lako kubwa ni ushamba na ulimbukeni ndio vinavyokusumbua,unaona ni ufahari kujitangaza uko wapi,unajiaibisha tu watu tunakusoma tunakuona ni limbukeni fulani tu,
sio wote wenye tabia ya kujitangaza,so humu watu wanaoishi US wapo kibao tu na sio peke yako kama ulikua hujui.
 
USA baby
upload_2016-7-11_2-54-21.png
upload_2016-7-11_2-54-23.png
upload_2016-7-11_2-54-23.png
.
 
Blahh blahh nyingi ya kazi gani .
Kuna picha mbili hapo. Umeweka link ya picha ya kwanza weka link ya picha ya pili.

Hamna unacho nitafunia ukiamua kufungua thread wekeni kila kitu. Sio mnaweka picha halafu tunaanza guessing games. Kama ni hivyo semeni ni quiz tuanza ku guess au kufanya research zetu wenyewe.

Msilete taarifa robo robo halafu mnataka tukubaliane na picha tu.
Haya basi hii picha pamoja na link nchini.

images-6.jpeg

Bremerton man carries his rights for all to see

Zingine hizi hapa chini...

enhanced-buzz-23537-1401889541-4.jpeg

BpPr2o_CcAAXDwd.jpeg

2016-07-11-10-13-43--304956899.jpeg

Link hii hapa chini pakua mwenyewe.

Redirect Notice
 
bb596a2e8f834a8275f61664309e13c0.jpg

c6dbfc6b7616644b958dd2b2f85c4a17.jpg

(Above pictures) Wamarekani weupe wanatembea na silaha (wanaogopa kuvamiwa na Wamarekani weusi).

Mtu yeyote duniani awe mweusi au mweusi awezi tembea na silaga hivi in Public. Msione Marekani Ni Kama mahali pasipo na utaratibu.
 
Sidhani kama wanatembea na silaha kila pahala. Sehemu wanayoruhusiwa kisheria ni haki yao kuchukua silaha kwa mtu yoyote. Na akiitumia vibaya pia Sheria haimuachi. Wenzetu silaha ni biashara kubwa kiuchumi.
 
Na wewe kiumbe hebu jaribu kuficha ushamba wako na ulimbukeni wako japo kidogo tu,

kila siku unaimba taarabu humu sijui "USA BABY" hivi unafikiri ni wewe tu ndio upo US? sio wote wenye tabia za kitoto kama zako za kukaa kuimba humu wapo nchi gani,sio wote wanaopenda kuanika mambo yao "personal" hapa,

Hivi kujua habari za nchi fulani ni lazima uwe kwenye hiyo nchi husika? Hivi kua US ndio kujua habari zote za US? hivi kua India ndio kujua habari zote za India?

Tatizo lako kubwa ni ushamba na ulimbukeni ndio vinavyokusumbua,unaona ni ufahari kujitangaza uko wapi,unajiaibisha tu watu tunakusoma tunakuona ni limbukeni fulani tu,
sio wote wenye tabia ya kujitangaza,so humu watu wanaoishi US wapo kibao tu na sio peke yako kama ulikua hujui.
Huyu muha Nyani Ngabu ni limbukeni pashkuna aliyelegea. Unapoteza muda wako bure tu. Hii mimama iliozaa watoto 7 kwa wanamme 7 tofauti ulimbukeni Hauwezi kumuondoka mpk kufa.
Mpuuzi mwache ahare tu. Jamvi la wageni hilo.
 
Huyu jamaa hata kama ametoka kupopolewa dakika chache zilizopita atakuja tuu hapa na kukuambia USA mambo shwari huku akigugumia maumivu kimya kimya, ana mahaba ya hatari na huko.
 
Sasa wewe unategemea nini kwa limbukeni ka huyu bi mkubwa Nyani Ngabu?
Amani iko wapi USA? Bwana mdogo wangu kanyang'anywa mobile phone kwa kutolewa Bastola mchana kweupee.
Huyu mama atadanganya mapashkuna wasiojua km yeye. Ardhi hizi ni afadhali ukahesabie Pesa pale manzese mbele za watu kuliko kutembea baadhi ya mitaa na viatu vizuri USA.
NJAA NA WEHU TUPU wamejaa huku.
Lkn mama Nyani atakuimbia USA baby!

Teh teh teh teh.
 
Muda wote wewe unaniwaza tu!

Na Marekani iko salama kabisa.

Haya nitukane tena....

USA baby
upload_2016-7-11_10-37-51.png
upload_2016-7-11_10-37-57.png
upload_2016-7-11_10-37-58.png
.
 
Back
Top Bottom