Karibu kila mtu Marekani anabeba silaha! Za nini? Na Obama kujaribu kutoa hoja ya kurekebisha sheria ya silaha ili hali itulie wewe unasema ni swari, sikuelewi. Kwa hiyo taarifa sio za kweli!This is grossly overstated!
Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.
Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Ratio ya population ya mzungu kwa mwafrica ikoje hapa?
Karibu kila mtu Marekani anabeba silaha!
Za nini?
Na Obama kujaribu kutoa hoja ya kurekebisha sheria ya silaha ili hali itulie wewe unasema ni swari, sikuelewi. Kwa hiyo taarifa sio za kweli!
Wewe umetajilika angalia hii ya karne ya 21.Umefilisika hadi unaanza kurudia mambo ya karne zilizopita!
Ratio ya population ya mzungu kwa mwafrica ikoje hapa?
Wewe umetajilika angalia hii ya karne ya 21.
1)Tukio moja au mawili hayaifanyi nchi nzima kuwa mbaya na kuwa sijui imechafuka.
Huo ni uzushi wenu tu.
Marekani siyo Somalia wala Syria.
Wee mbeba box huwezi kaa hii neighborhood labda unaendesha school bus so ukipita unapiga piga picha na kisimu chako
Wee mbeba box huwezi kaa hii neighborhood labda unaendesha school bus so ukipita unapiga piga picha na kisimu chako
Kwa hiyo kama kichaa kashika kisu ruksa kumpiga risasi?Huyo kichaa alikuwa anawatishia polisi na kisu.
Yaani umeishiwa kabisa hadi unaleta video za wahalifu katika jitihada zako za kuonyesha eti Marekani hali ni mbaya sana.
Kwa hiyo kama kichaa kashika kisu ruksa kumpiga risasi?
Wala mie sina jitihada zozote haya matukio mbona yapo wazi tu.
Unatakiwa kutii amri za polisi. We unaambia tupa kisu halafu wewe unazidi kuwatishia unategemea nini?
Utatandikwa risasi tu. We unadhani polisi hawataki kurudi wakiwa wazima majumbani mwao?
Ona polisi wenu wala vumbi wanavyonyanyasa wananchi.