Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,538
USA Baby....Ahahahahahaha!!
Sina muda na Conspiracy garbages na akili zako zilizojaa matope ,unachoweza ni udini tuu nenda kasaidie ISIS mfikie dream yenu ya cailphate maana huko ulipojificha na kufaidi maisha bora under secular laws hapakufai,ila warning ukiingia kule hakuna kutoka ni either precision guided munitions zigeuze vumbi or mabwana zako ISIS wakunyonye mpaka utoke mavi
Bi mkubwa wengine wawili wako miguu juu michigan. Endelea kuimba Taarabu tu. Hio mipasho yako ina Mwisho.Tukio moja au mawili hayaifanyi nchi nzima kuwa mbaya na kuwa sijui imechafuka.
Huo ni uzushi wenu tu.
Marekani siyo Somalia wala Syria.
Mkuu naomba unijibu hili swali, Hivi inapofikia stage ya watu kuongezeka kwa idadi, wanaomiliki silaha au wanaotembea na Silaha ina maana Amani inapungua au inaongezeka hiyo sehemu au Mji husika?Gun kwa US ni haki ya mtu kumiliki na ipo kwenye constitution yao,hao unaowaona kwenye picha wanatumia law inaitwa open carry inayoruhusu mtu kubeba na kuonyesha silaha yake lakini sio States zote zinaruhusu kuonyesha,na kumiliki gun kuna kuja na responsibility ambazo zinaweza kukuweka jela wewe mwenyewe na lazima uwe na licence,training and you have to pass background check etc,shooting nyingi zinatokana na watu ambao ni criminal na hawana hata permit ya kumiliki gun,nakuhakikishia mpaka ukimaliza process ya kumiliki gun US lazima utaheshimu gun na huwezi kutumia tumia ovyo kama mnavyofikiria
Idadi wanaomiliki silaha ikiongezeka lazima mauaji yatakuwa mengi.Mkuu naomba unijibu hili swali, Hivi inapofikia stage ya watu kuongezeka kwa idadi, wanaomiliki silaha au wanaotembea na Silaha ina maana Amani inapungua au inaongezeka hiyo sehemu au Mji husika?