Walokole, tuache kujitenga na wenye dhambi

Walokole, tuache kujitenga na wenye dhambi

Kuna injili za mihemko kama za wale wana wa Sewa wqliojipeleka kwenda Kuhubiri pasipo kutambuliwa hata na mapepo.

Ni kweli injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu, ila wapo wanaojipachika kazi pasipo kungoja nguvu za Mungu ziwe pamoja nao. Hakuagiza tufanye kazi bila kupokea nguvu
Wale wanaoongozwa na Roho wa Mungu hao ndio Wana wa Mungu.
 
Mie ni pianist wa kujitegemea hivyo siku ukihitaji midundo yenye upako kama wa tenzi za Rohoni nitafute nitakutengenezea bure kabisa ni kweli kabisa sisi ni barua
Nifundishe
Natamani nijue kupiga kinanda hata Cha kuombea maji tu
Ila maskini sijui chochote😂

Naomba instrumental hizo za tenzi
Nitiririke Mungu ashuke hapa .
For me singing is the most easiest way to capture the presence of God.
 
Hamna watu wabaya na wanafiq kama WALOKOLE

Ni bora kuishi na kunguru utamnyoa manyoya unywe supu
 
Hakuna kiumbe anayeishi chini ya jua anaweza kusema yeye mkamilifu huu utakuwa unafiki wa kiwango cha daraja la juu.Walokole ni matapeli tu wengi wazuri kwenye praise and worship wakiwa makanisani sema wakishatoka humo huwezi kuwatofautisha watu wa enzi za sodoma
 
Nitakufundisha mtumishi ila ni vyema kama upo ndani ya jiji la gavana Chalamila nitakufuata popote ulipo ndani ya hili jiji nikufundishe free kabisa. U
Naomba instrumental hizo za tenzi
Nitiririke Mungu ashuke hapa .
Najua tenzi za Rohoni huponya hadi stress, hufukuzs hadi mapepo. A
For me singing is the most easiest way to capture the presence of God.
Amen amen
Nifundishe
Natamani nijue kupiga kinanda hata Cha kuombea maji tu
Ila maskini sijui chochote😂
I
 
Nitakufundisha mtumishi ila ni vyema kama upo ndani ya jiji la gavana Chalamila nitakufuata popote ulipo ndani ya hili jiji nikufundishe free kabisa. U
Najua tenzi za Rohoni huponya hadi stress, hufukuzs hadi mapepo. A
Amen amen
I
Tenzi za rohoni ni tiba ya stress
Huleta amani
Huleta uwepo wa Bwana.

Yaani kuna namna hizi nyimbo Mungu aliweka mkono wake.


Huwa napendelea kuimba "Sioshwi dhambi zangu" na "Kwa Kalvari"
Yaani ipigwe kwa temple ya taratibu sana,,kile kinanda Cha kuvuta kile..
Najiona nipo peponi😂.


Nisiharibu uzi wa watu,,,
Karibu sana Kanisani uje uabudu pamoja nasi..it will be a blessing kwa kweli.
Tuna uhaba wa wapigaji..vyombo vipo,wapigaji hakuna,waimbaji hakuna.
 
Umewahi kumsikiliza Godwin Ombeni anavyotiririkaga kwa hiyo nyimbo hahahaa nikikaa kwenye kinanda hadi nahisi kupaa juu ni tiba kamili kwa kalvari.
Karibu sana Kanisani uje uabudu pamoja nasi..it will be a blessing kwa kweli.
We nipe location nikufanyie Suprise mtumishi
"Kwa Kalvari"
Yaani ipigwe kwa temple ya taratibu sana,,kile kinanda Cha kuvuta kile..
Najiona nipo peponi😂.
 
Kuna watu wana double standard humu. Hapa watawasema walokole kwa kuwatenga wadhambi, ukienda kwenye uzi mwingine watawasema Wakatoliki kwa kuwabatiza mashoga (ambao ni hao hao wadhambi)
 
Umewahi kumsikiliza Godwin Ombeni anavyotiririkaga kwa hiyo nyimbo hahahaa nikikaa kwenye kinanda hadi nahisi kupaa juu ni tiba kamili kwa kalvari.
We nipe location nikufanyie Suprise mtumishi
Jamaa fundi sana
Mimi napenda alivyoimba Mwamba wenye imara.
We nipe location nikufanyie Suprise mtumishi

Wewe utasema tu lini unataka kuja nitakupa location
Mimi mambo ya surprise siyawezi😂
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa habari hapo juu,

Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.

Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.

Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.

Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.

Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.

Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.

Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.

Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.

Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.

Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.

Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.

Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.

Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
Tunapaswa kuwa makini sana katika eneo hili, kuna watu badala uwabadilishe wewe ili wamwamini Kristo, wanakubadilisha wewe uliyekuwa umeamini na kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
Kujenga Mahusiano mazuri na wale ambao hawajamwamini Kristo ni vizuri sana, ila tunapaswa kuwa makini sana.
 
"You are the light of the world. A city set on a hill cannot be hidden. - Matthew 5:14

Nor do people light a lamp and put it under a basket, but on a stand, and it gives light to all in the house. - Matthew 5:15

Mtoa mada naungana na wewe kabisa kwa mistari hiyo, ikimaanisha waliopata wokovu wamefanywa nuru inga'ayo gizani. Hivyo hatupaswi kujitenga nao bali matendo yetu, yadhihirishe nuru hiyo ili walio gizani nao wapate neema ya wokovu.
 
Walokole na hao wapumbavu washika dini hawajawai kuwa na akili timamu.

Kama kweli hiyo mbingu ya Yesu ipo basi watakao ingia ni wenye dhambi na sio hao wanafiki walokole na wapuuzi wengine wanaojipa utakatifu na kujiona wajuaji sana.

Usengenyaji wao, unafiki wao,uzandiki wao, uchawi wao, ulawiti&ushoga wao, uwizi wao, kila kitu kiovu kinaongozwa kufanywa na hao wapuuzi wafia dini.

Kwanza mna hakika Huyo yesu aliwatuma myafanye mnayofanya?
 
Back
Top Bottom