a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,121
- 4,678
Ni KWELI kabisa tunaokolewa kwa NEEMA tukiwa na dhambi zetu hivyo hivyo Yesu anatupokea anatuita tuje kama tulivyo ama YESU anatutafuta wenye dhambi tuliopotea tuingie zizini kwake na yeye tumkiri na kumkubali awe BWANA na MWOKOZI WETU..nasi TUNATUBU dhambi tunapata msamaha WA dhambi sio Bure kwa gharama aliyoilipa Yesu kwa kuteswa pale msalabani ametulipia gharama ya dhambi zetu kwa neema hiyo tunahesabiwa HAKI ambayo hatukuistahili..
HATUA YA PILI (YA MUHIMU SASA)
Baada ya kupokelewa kumkiri Yesu ,kutubu na kusamehewa (kuokolewa kwa neema)
NI LAZIMA SASA UISHI MAISHA YA UTAKATIFU HAPA DUNIANI...lazima ubadilike ,uache NJIA zako mbaya za kale ,utu WA kale ubadilishwe uvuliwe uvalishwe utu upya ,tuyafue mavazi machafu kwenye damu ya Yesu nguo zetu ziwe nyeupe kama bibi harusi.
Huwezi ukaendelea kudumu katika dhambi halafu USEME kuna NEEMA NYINGI TU IPO,sasa kutakuwa na utofauti Gani kati ya aliyeokoka na asiyeokoka kama bado utataka uendelee kuishi maisha yale yale ya dhambi kama ilivyokuwa kabla ya KUOKOKA.
UTAUWA--UTAKATIFU-+NI KUTENGWA AMA KUJITENGA NA DHAMBI.
Mwili huu kusulubisha Matendo ya mwili na tamaa zake mbaya na mawazo yake mabaya ,mwili huu lazima uusulibishe u discipline mana MTU hujaribiwa na tamaa zake mbaya za mwili wake mwenyewe Mungu hajaribiwi na dhambi Wala hamjaribu MTU ili atende dhambi.
Hata kama UMEOKOKA lakini kwa kuwa una mwili huu,lazima ukeshe ukiomba,lazima uteke NYARA kila FIKRA na mawazo mabaya yaweze KUMTII KRISTO,lazima UTII sauti ya Roho Mtakatifu,akuongeze,tii NENO LA MUNGU,uwe na IMANI..
TIKETI YA KUONGIA MBINGUNI NO UTAKATIFU..
UTAKATIFU ni hapa duniani ingali ukiwa hai ,ukishakufa kinachofuata ni HUKUMU ,huwezi ukafa katika dhambi halafu umtegemee ukifika MBINGUNI utapata msamaha WA dhambi,au watakuombea walioko DUNIANI ulazwe Pema,kinachochagua utakapokwenda baada ya kufariki ni Matendo Yako hapa duniani kipindi ukiwa hai.
YESU ANASISITIZA UTAKATIFU..NDIO INJILI YA UZOMA WA MILELE,MATENGENEZO MABADILIKO
1 Pet 1:15-16
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
UTAKATIFU NI HAPAPA DUNIANI KATIKA WAKATI HUU HUU WA SASA HIVI
Tit 2:11-12
Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa
Zab 16:3
Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.
BILA UTAKATIFU HUWEZI KUINGIA MBINGUNI/PEPONI
Ebr 12:14
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao
Ufunuo 22:14
Heri yao wale wanaoosha mavazi yao, wapate kuwa na haki ya kula tunda la mti wa uhai, na haki ya kuingia mjini kwa kupitia milango yake.
Ufu 21:27
Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.
BAADA YA KUOKOKA NI LAZIMA KUISHI MAISHA YA UTAKATIFU KUACHA DHAMBI NA KUTUBU NA KUZIACHA DAMBI..DAUDI ALIKUWA MWEPESI WA KUTUBU NA KUZIACHA DHAMBI...
Yn 5:14
Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.
Ufu 22:11
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.
HII YA KUSEMA MUNGU HAANGALII MWILI ANAANGALIA MOYO TU,AMA HAIWEZEKANI KUISHI BILA DHAMBI KATIKA ULIMWENGU HUU WA SASA LABDA ENZI ZA ZAMANI?AU HUWEIZ KUWA MTAKATIFU DUNIANI KABLA HUJAFA UTAENDA KUWA MTAKATIFU UKIFA????????
UKIFA kinachofuata ni HUKUMU kuvuna ulichopanda kutoa hesabu ya MATENDO Yako ya DUNIANI.
Mungu ni Mungu WA waliohai wote wenye mwili..kuwa hai duniani ni NEEMA ya kufanya matengenezo.
Warumi 6:1-2:
"Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?"
INJILI YA UTAKATIFU NDIYO INJILI ANAYAOTAKA WATU WAHUBIRIWE HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA NYAKATI ZA MWISHO.
KUSAIDIA WAHITAJI MASIKINI,YATIMA,WAGONJWA,WALEMAVU,WASIOKUWA NA CHAKULA,NGUO WAHITAJI...NDICHO KITU YESU ANATAKA WATU WAFANYE ,NA WALA SIO UBINAFSI WA KUJIRUNDIKIA MALI KWA AJILI YAKO BINAFSI.
KUTOA NI MOYO.