Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,494
- 100,903
Happy Sabbath
Dhambi ni kumuasi Mungu. Ni namna yoyote ya kwenda kinyume na mapenzi yake!dhambi ni nii tuanzie hapa maana inaonekana walokole labda hamjui maana ya dhambi[emoji1787][emoji28][emoji38][emoji16][emoji1][emoji2][emoji3]
imeandikwa wap hayo maneno ulosoma nipe fungu la biblia maana naona na ww ni mmoja wao wasiojua dhambi ni nini....nataka fungu la biblia nduguDhambi ni kumuasi Mungu. Ni namna yoyote ya kwenda kinyume na mapenzi yake!
Nimeandika uongo?imeandikwa wap hayo maneno ulosoma nipe fungu la biblia maana naona na ww ni mmoja wao wasiojua dhambi ni nini....nataka fungu la biblia ndugu
wokovu uko pale pale. Tuliookolewa tupo.Wanaojiita walokole ni watu hatari sana. Zamani ndiyo kulikuwa na ulokole ila siyo sasa.
NAKAZIAHivi kuwa Mlokole maana yake huna dhambi?
Binadamu wote ni wadhambi, tofouti kuna baadhi wakifanya dhambi wanawahi kutubu na Mungu anatusamehe sababu anajua ni wazaifu.
Mungu alimuumba Binadamu kwa sura na mfano wake, hapa ndipo upendo ulipo zaliwa na ndio maana hata Yesu alisema tuwapende maadui zetu na kuwaombea wadhambi.
Vilevile Yesu alikuwa anachangamana na wenye dhambi nia yake ni kuwavuta kupitie Upendo,kwani yy mwenyewe alisema amekuja kuwatafuta walio potea.
Kujitenga na wadhambi maana yake ni kujikweza/kujivuna na Mungu hapendi wanao jikweza au kujivuna.
Kwa hiyo unataka walokole wote wawe kama Yesu kwa sababu Yesu alichangamana na kina Zakayo, Yuda Iscariot, kahaba wa Samaria nk?Mistari mnakariri tu ila hamuifanyii kazi, ndomana sijaweka hapo...
Lete andiko hapa tafadhaliKuamini na kuwa karibu na mtu asiyeamini ni jambo lingine...
We jamaa unajua ukweli ila unapenda kupinga tuu...Kwa hiyo unataka walokole wote wawe kama Yesu kwa sababu Yesu alichangamana na kina Zakayo, Yuda Iscariot, kahaba wa Samaria nk?
Hivi kweli mnapoimba "Hakuna wa kufanana na Yesu.." huwa show tu au mnamaanishaga nini ?
Ni kweli Yesu alipiga story hadi na shetani, hebu jaribu na wewe [emoji23] [emoji23]
pia ieleweke kuwa wote wenye dhambi ambao Yesu alikutana nao hawakubaki kama walivyo, waliupokea wokovu.Mafundisho haya yaliwafanya wayahudi wamuone Yesu kama mwenye dhambi maana mara zote alikuwa anashinda na wale ambao hawakuonekana wenye haki..Ila mwisho wa siku alikuja kuwambia huwezi washa taa then ukaiweka uvunguni na mifano mingi sana alijaribu kuiweka wazi ili watu waelewe kwamba hakuja kwa ajili ya wenye kujiona safi bali wale ambao ni wadhambi.
Unazunguka tu...2 Wakorintho 6:14
Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?
Hatujakatazwa kuwahubiria wenye dhambi Ili waje Kwa Mungu au kuwasaidia kama binadamu, ila tumekatazwa ushirika nao yaani mlokole lakini rafiki zako ni watu wenye dhambi.
Hilo ni agizo kabisa Mungu kakataza mtu aliyeokoka kushiriki pamoja na wenye dhambi maana akifanya urafiki nao lazima atarudi kwenye dhambi zile zile.
Pia Mungu kaagiza tupendane Mlokole anatakiwa ampende jirani yake kama anavyoipenda nafsi yake lakini kumpenda haimaanishi kufanya urafiki naye la sivyo naye ataanguka.
Sio wote na by the way mcha Mungu lazima awe na upendo kwa watu wote ni agizo.Kuhusu dhambi ni Mungu ndiye atakaye hukumu ni kazi yetu kusema habari njema na kuishi maisha ya uaminifu by God grace.Habari wakuu,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.
Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.
Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.
Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.
Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.
Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.
Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.
Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.
Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.
Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.
Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.
Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.
Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
Kumpenda adui Yako haimaanisha kuwa na ushirika naye.We jamaa unajua ukweli ila unapenda kupinga tuu...
Amri ambayo Yesu alituachia ni Upendo ikiwa tupendane...
Hii amri kuisema ni rahisi ila unatakiwa umpende hata adui yako...
Kwani mwenye dhambi yupoje mtuambie tofauti izoHabari wakuu,