Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Ndiyo, ni mwenzenu kabisa kabisa.Kwani na wewe mlokole mwenzetu?
Ndiyo, ni mwenzenu kabisa kabisa.Kwani na wewe mlokole mwenzetu?
Jumapili hii nakuja kusali jiandae kupokea mgeni.Jamaa fundi sana
Mimi napenda alivyoimba Mwamba wenye imara.
Wewe utasema tu lini unataka kuja nitakupa location
Mimi mambo ya surprise siyawezi😂
Hakuna binadamu asiyekuwa na dhambi, Walokole wanasumbuliwa na kaswende ya ubongo.Habari wakuu,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.
Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.
Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.
Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.
Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.
Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.
Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.
Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.
Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.
Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.
Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.
Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.
Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ww jinga sanaMimi ni mwenye dhambi mzinzi na mpenda hela sana. hakika mimi ni mzinifu na ninapenda sana chini katikati ya mapaja ya watoto wazuri pamoja nakubembea kwenye mapapai mawili huko mtini usinitenge Donatila
Mwenye imani haba ula mboga tu ,mwenye imani kubwa ula vyote.Na tusifungiwe nira na wasioamini.
Nitakufundisha mtumishi ila ni vyema kama upo ndani ya jiji la gavana Chalamila nitakufuata popote ulipo ndani ya hili jiji nikufundishe free kabisa. U
Najua tenzi za Rohoni huponya hadi stress, hufukuzs hadi mapepo. A
Amen amen
I
Umeiponda Biblia, umeisifia Mithali, unasomaga kwa kujiburudisha?japo kitabu cha mithali kina mambo mengi mazuri yakujifunza.
Habari wakuu,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.
Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.
Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.
Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.
Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.
Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.
Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.
Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.
Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.
Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.
Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.
Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.
Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
Sasa unataka inifundishe kila kitu? Lutu alilala na watoto wake kwenye pango, daudi aliua mme wa mtu aka akachukua mke , mkuu hakuna kitabu au hadithi isiyo na mafundisho.Umeiponda Biblia, umeisifia Mithali, unasomaga kwa kujiburudisha?
Mwenye imani haba ula mboga tu ,mwenye imani kubwa ula vyote.
Ndio unifundishe sasa wewe mtakatifuImani ni kuwa na uhakika kwa mambo Yatarajiwayo bayana na yasiyo onekana.
Kwako ni nini tofauti ya imani haba na imani kubwa?
Biblia imebeba ujumbe mmoja tu Mwanzo hadi Ufunuo nao ni UKOMBOZI wa mwanadamu.Sasa unataka inifundishe kila kitu? Lutu alilala na watoto wake kwenye pango, daudi aliua mme wa mtu aka akachukua mke , mkuu hakuna kitabu au hadithi isiyo na mafundisho.
Mpokee Yesu Kristo uokokeNdio unifundishe sasa wewe mtakatifu
Aya mkuu👐Mpokee Yesu Kristo uokoke
Waliziweka za kazi gani mkuu?Biblia imebeba ujumbe mmoja tu Mwanzo hadi Ufunuo nao ni UKOMBOZI wa mwanadamu.
Ikiwa wewe unapita ndani ya Biblia ili kusaka story za kina king David kupora mke, ama Lutu kuzini na binti zake ni dhahiri bado u mtoto, siku ukikua utaacha utoto.
Kukufundisha uache ujingaWaliziweka za kazi gani mkuu?
Mkuu umenikumbusha mtu mmoja anaitwa Martin Luther king jr anasema “ Giza halipunguzwi kwa giza, nuru ndiyo inapunguza giza ukitaka kuleta mabadiliko kuwa mwanga.Kuogopa wadhambi ni ushahidi umepokea giza, sio mwanga.
Watu wenye dhambi wako gizani. Kama umempokea Yesu umepokea Mwanga. Tunatarajia uwe unaukaribu na wadhambi uwasaidie ili mwanga wako ukimbize giza lao.
Tunapaswa kujitenga kwa kutofanya wanayofanya. Ila tunapaswa kuchangamana kwa lengo la kuwaambikuza mwanga.