Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,979
- 236,720
Ndiyo
Mbezi hukohuko
Njia ya kinyerezi.
wapi kwenye biblia watu walijiita wameokoka...?? ....na nini maana ya dhambi...? maana navyoona inawezekana walokole hawajui maana ya dhambi labda nijibu kwa kutumia biblia tafadhali ndugu.Mpokee Yesu Kristo uokoke
Ujue mie ni mtu swaafi kuliko waliyookoka,Hivi mtu km makaveli10 usimtenge umuweke karibu kweli utakuwa unajipenda?!
Mwenyewe anasema yeye maharage ya Mbeya hata kwa jua anaiva 🤣🤣🤣
Askari jela aliyekuwa zamu katika gereza lile walimokuwa wamefungwa Paulo na Sila na kwa sala na nyimbo za kusifu milango ya gereza na pingu zilifunguka, yule askari afanyeje ili awe mlokole.wapi kwenye biblia watu walijiita wameokoka...??
Biblia inaainisha dhambi kuwa ni uasi, na kila atendaye dhambi ni muasi. Mtenda dhambi ni binadamu yeyote aliyeasi.maana navyoona inawezekana walokole hawajui maana ya dhambi labda nijibu kwa kutumia biblia tafadhali ndugu.
ikiwa dhambi ni uasi wa sheria tuambie ni sheria gan ambayo ww umeishika.......2 paulo alimwambia ataokoka unajua maana ya neno ataokoka maana yake kuokoka kupo mwishoni na sala ya toba haipo katika bibliaAskari jela aliyekuwa zamu katika gereza lile walimokuwa wamefungwa Paulo na Sila na kwa sala na nyimbo za kusifu milango ya gereza na pingu zilifunguka, yule askari afanyeje ili awe mlokole.
Paulo alimjibu kwamba "mwamini Bwana Yesu nawe utaokoka....." na ndivyo alivyoupokea ulokole yule askari kwa kuongozwa sala ya toba.
Hakuna mtu anayeweza kuwa mlokole kwa kujiita "mlokole" bali hufanyika kuwa mlokole mara tu anapomkubali Yesu.
Biblia inaainisha dhambi kuwa ni uasi, na kila atendaye dhambi ni muasi. Mtenda dhambi ni binadamu yeyote aliyeasi.
Je bado unahitaji ufafanuzi zaidi ya huu?
unapofikia hatua ya kujiona ww umeokoka yaan maana yake hauna dhambi basi ujue humjui MUNGU wala YESU KRISTO , maana humo ndani ya biblia hakuna ambaye alijisemea kuwa hana dhambi ila mmoja KRISTO YESU.... walokole wote nawatafasiri kwa maneno haya ( wakristo wengi wanaodai kuwa ni wakristo hasa walokole hawajawa wakristo mpaka leo na hawajui maana ya kuwa mkristo yaan wa- KRISTO)Askari jela aliyekuwa zamu katika gereza lile walimokuwa wamefungwa Paulo na Sila na kwa sala na nyimbo za kusifu milango ya gereza na pingu zilifunguka, yule askari afanyeje ili awe mlokole.
Paulo alimjibu kwamba "mwamini Bwana Yesu nawe utaokoka....." na ndivyo alivyoupokea ulokole yule askari kwa kuongozwa sala ya toba.
Hakuna mtu anayeweza kuwa mlokole kwa kujiita "mlokole" bali hufanyika kuwa mlokole mara tu anapomkubali Yesu.
Biblia inaainisha dhambi kuwa ni uasi, na kila atendaye dhambi ni muasi. Mtenda dhambi ni binadamu yeyote aliyeasi.
Je bado unahitaji ufafanuzi zaidi ya huu?
Utaokokaje pasipo kumkubali Yesu? Yesu alisema "... Kila aaminiye asipotee bali awe na uzima (aokoke) wa milele...."unapofikia hatua ya kujiona ww umeokoka yaan maana yake hauna dhambi basi ujue humjui MUNGU wala YESU KRISTO
Ungeweka wazi wewe u mfuasi wa kasumba ipi ungefanya la maana, ila unakosea sana kuhukumu watu ambao hujui mioyo yaowalokole wote nawatafasiri kwa maneno haya ( wakristo wengi wanaodai kuwa ni wakristo hasa walokole hawajawa wakristo mpaka leo na hawajui maana ya kuwa mkristo yaan wa- KRISTO)
Naunga mkono hojaHabari wakuu,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.
Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.
Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.
Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.
Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.
Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.
Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.
Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.
Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.
Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.
Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.
Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.
Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
Khakhakhaaaa!Sijasoma uzi ila mnaojiita walokole mna mazito kuliko sisi mnaotuita wenye dhambi
Nani kasema kuwa dhambi ni uasi wa sheria?ikiwa dhambi ni uasi wa sheria tuambie ni sheria gan ambayo ww umeishika
Mtume Paulo sio mwanzilishi wa kuokoka, mwanzilishi wa wokovu ndiye aliyempa kazi mtume Paulo kuwahubiri wasioamini waokoke, na aliifanya hiyo kazi kwa umahiri mkubwa.paulo alimwambia ataokoka unajua maana ya neno ataokoka maana yake kuokoka kupo mwishoni na sala ya toba haipo katika biblia
Kwahiyo Upendo aliouagiza Yesu ni batili?Kwa nini hujaambatanisha na mistari mama mchungaji?
".... Tokeni katikatu yao mkatengwe nao....." mtume Paulo alisisitiza sana kwa wakristo kujitenga na wahuni sasa wewe unataka tuungane nao?
Sikuelewi.
Uko wapi huko ambako kuna watu hamna dhambi? Mmejiangalia mkaona hamna dhambi kweli?Habari wakuu,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.
Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.
Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.
Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.
Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.
Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.
Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.
Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.
Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.
Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.
Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.
Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.
Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
ww huelewi yaan katika biblia hakuna neno kuokaka bali mathayo 28 inasema aaminiye na kubatizwa ataokoka elewa maana ya neno ata.Nani kasema kuwa dhambi ni uasi wa sheria?
Umeleta hilo neno 'uasi wa sheria' kwa maana unataka malumbano yasiyo na tija?
Mtume Paulo sio mwanzilishi wa kuokoka, mwanzilishi wa wokovu ndiye aliyempa kazi mtume Paulo kuwahubiri wasioamini waokoke, na aliifanya hiyo kazi kwa umahiri mkubwa.
Ikiwa unashida ya kutokujua maana ya wokovu tafadhali soma mazungumzo ya Yesu mwenyewe na Nikodemo katika injili ya Yohana soma sura yote ya tatu jibu utalipata hapo, kumbuka hata Nikodemo pamoja na usomi wake hakujua lolote kuhusu mpango wa wokovu hadi alipifunguliwa na Yesu baada ya kumwendea usiku.
Soma ujue
Kwa maana hiyo unakaza fuvu kwa kusema kuwa hakuna wokovu?ww huelewi yaan katika biblia hakuna neno kuokaka bali mathayo 28 inasema aaminiye na kubatizwa ataokoka elewa maana ya neno ata.
mbinguni hakuna wanaofanya ibada kwa kupiga makelele na kulia🤣😅😆😁😄😃😀Utaokokaje pasipo kumkubali Yesu? Yesu alisema "... Kila aaminiye asipotee bali awe na uzima (aokoke) wa milele...."
Neno 'kujiona ww umeokoka' umeliingiza pahala pasipo stahili ni sawa na kusema unawahukumu watu usiowajua kama wameamini au lah.
Kuna mashabiki kwa kila aina za kasumba za watu hivyo kwa wale mashabiki wa 'ulokole' huwezi kuwajumuisha na ulokole wapo wengi tu na Mungu atawahukumu kwa haki kulingana na anavyowajua YEYE na si anavyowajua wewe 😂
Ungeweka wazi wewe u mfuasi wa kasumba ipi ungefanya la maana, ila unakosea sana kuhukumu watu ambao hujui mioyo yao