Walokole, tuache kujitenga na wenye dhambi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322
Habari wakuu,

Husika na kichwa habari hapo juu,

Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.

Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.

Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.

Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.

Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.

Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.

Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.

Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.

Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.

Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.

Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.

Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.

Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
 
😀😀 mbona ghalfa sana D

Sure
 
Zab 1:1-2​

Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.

Neno la Mungu linawasihi kabisa, usiende pamoja nao wenye mizaha. Wenye mizaha na wasio haki ni wenye dhambi. Huwezi kuwa umeokoka huku ukiambatana na waasherati, wasengenyaji na wale wote wasiompendeza Bwana.

Waswahili wana msemo usemao, kaa karibu na Waridi unukie waridi.

Walokole wapo sahihi..
 
Kwa nini hujaambatanisha na mistari mama mchungaji?

".... Tokeni katikatu yao mkatengwe nao....." mtume Paulo alisisitiza sana kwa wakristo kujitenga na wahuni sasa wewe unataka tuungane nao?

Sikuelewi.
 
Wanaojiita walokole ni watu hatari sana. Zamani ndiyo kulikuwa na ulokole ila siyo sasa.

Sana
Sijajua ndani ya uzi wa mleta mada kaandika nini manake naona uvivu kusoma....ila heading yake iko as if wanaojiita walokole hawana dhambi

Wakati biblia imeandikwa pale yohana wa kwanza mstari wa nane kwamba 'tukisema kwamba hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe...

Ama labda walokole hawaongozwi na neno kutoka bibliani
 
Kuogopa wadhambi ni ushahidi umepokea giza, sio mwanga.
Watu wenye dhambi wako gizani. Kama umempokea Yesu umepokea Mwanga. Tunatarajia uwe unaukaribu na wadhambi uwasaidie ili mwanga wako ukimbize giza lao.

Tunapaswa kujitenga kwa kutofanya wanayofanya. Ila tunapaswa kuchangamana kwa lengo la kuwaambikuza mwanga.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa habari hapo juu,

Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.

Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.

Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.

Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.

Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.

Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.

Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.

Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.

Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.

Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.

Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.

Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.

Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
Ni ulimbukeni kubagua watu eti kwa sababu hawajaokoka
Tunatakiwa tuwarejeshe kwa Upendo.

Mwana wa Adam alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.

Tungekuwa wakamilifu basi Yesu asingekuja.

Tumeokolewa kwa Neema
Si kwa namna yoyote tuliyofanya,,mtu awaye yote asije akajisifu.
 
Zab 1:1-2​

Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.

Neno la Mungu linawasihi kabisa, usiende pamoja nao wenye mizaha. Wenye mizaha na wasio haki ni wenye dhambi. Huwezi kuwa umeokoka huku ukiambatana na waasherati, wasengenyaji na wale wote wasiompendeza Bwana.

Waswahili wana msemo usemao, kaa karibu na Waridi unukie waridi.

Walokole wapo sahihi..
Mafundisho haya yaliwafanya wayahudi wamuone Yesu kama mwenye dhambi maana mara zote alikuwa anashinda na wale ambao hawakuonekana wenye haki..Ila mwisho wa siku alikuja kuwambia huwezi washa taa then ukaiweka uvunguni na mifano mingi sana alijaribu kuiweka wazi ili watu waelewe kwamba hakuja kwa ajili ya wenye kujiona safi bali wale ambao ni wadhambi.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa habari hapo juu,

Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.

Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.

Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.

Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.

Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.

Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.

Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.

Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.

Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.

Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.

Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.

Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.

Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
Walokole tuache kujitennga na wenye dhambi... hii ina tofauti gani na yule aliyemsema Yesu ambaye alikuwa anasali huku akimnanga mwenzake. Walokole bwana
 
Back
Top Bottom