Wallahi wabillahi sijawahi kamwe!

Sina maana nyingine bali ni kuweka wazi kwamba sijawahi mpaka wakti muafaka utakapofika!

Sasa kama hujawahi kelele za nini, tulia usubiri wakati wako ukifika, kila mtu kuna wakati alikuwa hajawahi, au ndo unataka kuwahi????
 
Waliolewa na bikra zao
Tena bila kujitangaza
na ndoa zikawashinda

Haikuwa na haja ya kujitangaza
ana kifua cha kumtunzia siri mumewe huyu??

Mwenyeezi Mungu akuzidishie subra na akuepushie mabaya mpaka utakapoolewa kihalali, utajivunia hilo maisha yako, nakuombea akuondoshee vishawishi.
 
Hongera sana Zinduna, ila pia kama dada yako nitakukata makofi ukirudi home.
Hongera sababu unajivunia kua bikra, which is fine. Na umeamua kujitunza hadi utakapo olewa, which is also fine sababu umeamua hivo.
Ila makofi ni yakujitangaza. Hivyo vitu ni vyako, shangazi, mama na mume wako, full stop.
sasa unaweka humu members na guest wote wajue ili iweje? hahahaha
 
huku mtaani kuna washkaji wanapenda kujitangazia ushindi. Hata hapa jf kuna washkaji tayari wameshaanza ku pm, kuwa Zinduna washa mkaza. Inasaidi kuweka uwazi zaidi.

Pia inasaidia kutangaza soko.
 
Hongera sana Zinduna, ila pia kama dada yako nitakukata makofi ukirudi home.
Hongera sababu unajivunia kua bikra, which is fine. Na umeamua kujitunza hadi utakapo olewa, which is also fine sababu umeamua hivo.
Ila makofi ni yakujitangaza. Hivyo vitu ni vyako, shangazi, mama na mume wako, full stop.
sasa unaweka humu members na guest wote wajue ili iweje? hahahaha
Ha ha ha! RR,

Hivi kuwa bikra halafu ikawa siri ina manufaa gani vs. kama ikiwekwa wazi?
 
Waliolelewa kimaadili hawajitangazi humu jamvini, na naweza kuamini hiyo ID ni feki unaweza kuwa ni kidume wewe! au unatafuta kutumalizia mda kwa kusoma uongo wako..
 
Hongera sana Zinduna, ila pia kama dada yako nitakukata makofi ukirudi home.
Hongera sababu unajivunia kua bikra, which is fine. Na umeamua kujitunza hadi utakapo olewa, which is also fine sababu umeamua hivo.
Ila makofi ni yakujitangaza. Hivyo vitu ni vyako, shangazi, mama na mume wako, full stop.
sasa unaweka humu members na guest wote wajue ili iweje? hahahaha
Ummpe makofi ya nini? Mpe Ban tu atulie usituumizie Bikra wetu Kama Mariam.

Ila kutokana na Taarifa Madaktari niliowauliza jana wanasema sikuhizi watoto wa kike wanzaliwa wakiwa hawana Bikra..

Huyu Zinduna kazaliwa lini isije kuwa ni kapo darasa la tatu.. sifa jipe ukiwa over 18
 
Huko sasa ni kutafutana ubaya.....unatafuta watu kununuwia bure....si mkae kimya na bikra zenu..aaargh
 
Back
Top Bottom