Aiseeeee jimbo naona upinzani unazidi kuongezeka, mimi naanza kukukandia hapa hapa.
Zinduna achana na huyo muinjaji mimi nataka kuchukua jimbo moja kwa moja mama.
Sera;
1.0 Sijaoa na wala sina mtoto hata wa kusingiziwa.
2.0 Elimu IFM, IT technician.
3.0 Mrefu, HB la nguvu ukiniona utanikubali. Sifa zote nzuri ninazo na mbaya wanazo wengine.
Kifupi Zinduna naitwa nipende mimi kutokana na U - HB wangu.
4.0 Nipo tayari kupima ukimwi na kuwa mvumilivu mpaka siku ya harusi yetu.
Amini nakupenda Zinduna.
Wanafiki msiharibu sound yangu hiyo.
Nimegundua!
Zinduna ni Mzanji, kule huwa hawatumii sambusa kabla ya ndoa.
Na kama anayo biqra, basi ni ya mbele ambako tendo la ndoa linafanyikia, for that reason, huyu hajawahi kufanya tendo la ndoa...
Mengine malizia mwenyewe!
Vuta subira, bado miaka 8 nimalize masomo!
Una maana gani!? usitafune maneno, wewe sema tu hayo ulotaka kuyasema
Inshaaallah, mnyaazimungu akujaalie uwe na subira ya yakini na usiwe laghai na fedhuli kama wale majahili wanaowatelekeza wapenzi wao baada ya kuwatendaHakuna shida miaka nane si mingi ni kama usingizi mmoja kwa wapendanao. Bora tu kama umenielewa vizuri na huna pingamizi na ombi langu.
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.
Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli .Ahsanteni kwa kunielewa! LOL
Wallah si miongoni mwa mafedhuli ambao wananyenyekea kabla hawajapata, napenda stara na sipendi kutenda kwa sababu sipendwi kutendwa.Inshaaallah, mnyaazimungu akujaalie uwe na subira ya yakini na usiwe laghai na fedhuli kama wale majahili wanaowatelekeza wapenzi wao baada ya kuwatenda
Sasa siri za PM wewe unazianika hapa ili iweje? Ungewajibu huko huko kuepusha msongamano, hapa naona umejichoresha zaidi si unaona wanavyokudhihaki?
wewe sie tunamsifu kabisa
Hello senorita, lady, beauty.
Kabla sijaongea ntakupa cheti cha vvu
namiliki magari yoote yaliyoandikwa DFP
nina mvuto wa haja kuliko Mark Henry
sema ndio twende zetu, PNG kwa maongezi
siku ya kwanza kuifanya iwe ya adventure zaidi tutakuwa kwenye private jet yangu
am a quintesseintial african husband
Una maana gani!? usitafune maneno, wewe sema tu hayo ulotaka kuyasema
Lol....kongosho umepinda...wewe sie tunamsifu kabisa
Hello senorita, lady, beauty.
Kabla sijaongea ntakupa cheti cha vvu
namiliki magari yoote yaliyoandikwa DFP
nina mvuto wa haja kuliko Mark Henry
sema ndio twende zetu, PNG kwa maongezi
siku ya kwanza kuifanya iwe ya adventure zaidi tutakuwa kwenye private jet yangu
am a quintesseintial african husband
Hujawahi ata ku onja tu? Unakosa vitu vitamu.
Tobaaaaaaaaaaa!!!!namaanisha unayo ya mbele, ya nyuma huna!
Zinduna njoo uwape vidonge vyao maana sound nyingi kuliko ukweli.