sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Cha ajabu ni wewe kuleta PM kwenye kadamnasi...Dhihaka kwangu ni Burdaaani tosha, kwani kipi cha ajabu!?

Cha ajabu ni wewe kuleta PM kwenye kadamnasi...
Ahsante kongosho.adolescence iko mahali pake usijichoshe kuuliza
Fafanua vizuri pengine hujawahi kutumia tigo
Yalaaaaaaaaaa!nini sasa mama?
Kama yauma chomoa ukimbie...
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.
Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli .Ahsanteni kwa kunielewa! LOL
Yalaaaaaaaaaa!
weeee, tusiharibiane
hili soko huria
mwenye kisu atakula nyama
ila kwa tuliogombea nafasi chabo muhimu
Sitaruhusu maana atakuwa mke na siyo nungayembe.
Pole kwa kutunza kitumbua chako vyema.
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.
Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL