Wallahi wabillahi sijawahi kamwe!

Ngoja mie nijipaishe.

jamani njooni huku kwangu
ya leo leo si ya jana
ni orijino si ya china
Huifuati barabarani ni home delivery

NB: na watoto 7 wajukuu 2

Ntajipaisha kwa mpenzi wangu na sio kwenye jamvi kama vile natafuta wateja.
 
Ajira yenyewe haijakaa njema
Imekaaa kichina china
Unaweza kukuta famba tuu hiyo

Zinduna anataka kutuwashia kwenye gia, tumeshituka!!! Fuata principle kama unataka mchumba sema mimi nipo, Mr. Rocky katema mzigo anaona wa kichina.
Ngoja mimi niwe Tomas, cheki PM yangu.
 
Zinduna anataka kutuwashia kwenye gia, tumeshituka!!! Fuata principle kama unataka mchumba sema mimi nipo, Mr. Rocky katema mzigo anaona wa kichina.
Ngoja mimi niwe Tomas, cheki PM yangu.

Mkuu mpaka kwenye PM umeenda
We mkali unataka utest nini mkuu
Angalia usikute famba
 
Tunaosotea tuko wangapi?
Siku ya tukio lazima tujue muda na venue
tutakuja na pop corn na soda

huyu mtoto hawezi kutupitishia mshikaki hapa jamvini afu tusionje

Nataka niwe Tomas mkuu, ngoja nisichonge sana nisije aribu CV maana nipo kazini saizi mkuu.
 
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.

Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL

katika imani yangu hakuna kiapo kikubwa kama hayo maneno uliyoya2mia. Kama unatania Mungu atakulaani usifanye utani na Mungu, ila kama ni kweli poa. Cwezi kukupa hongera kwani ni wajibu kuji2nza na usubiri kuolewa
 
Ngoja mie nijipaishe.

jamani njooni huku kwangu
ya leo leo si ya jana
ni orijino si ya china
Huifuati barabarani ni home delivery

NB: na watoto 7 wajukuu 2

Wewe una masihara sana bana!
 
katika imani yangu hakuna kiapo kikubwa kama hayo maneno uliyoya2mia. Kama unatania Mungu atakulaani usifanye utani na Mungu, ila kama ni kweli poa. Cwezi kukupa hongera kwani ni wajibu kuji2nza na usubiri kuolewa

Ni ukweeeeeli mtupu mwaya
 
Zinduna anataka kutuwashia kwenye gia, tumeshituka!!! Fuata principle kama unataka mchumba sema mimi nipo, Mr. Rocky katema mzigo anaona wa kichina.
Ngoja mimi niwe Tomas, cheki PM yangu.

Sitafuti mchumba wala mume bado nasoma kwanza!
 
Nani atayekubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Kwanza ambao hawajahi hawajitangazi. Halafu nina mashaka na ID yako unaweza kuwa dume wewe!!!!!
Yote kwa yote unakosa starehe wewe!!!

Mie sijaitangaza bali nimekanusha
 
Tunaosotea tuko wangapi?
Siku ya tukio lazima tujue muda na venue
tutakuja na pop corn na soda

huyu mtoto hawezi kutupitishia mshikaki hapa jamvini afu tusionje

Aiseeeee jimbo naona upinzani unazidi kuongezeka, mimi naanza kukukandia hapa hapa.
Zinduna achana na huyo muinjaji mimi nataka kuchukua jimbo moja kwa moja mama.
Sera;
1.0 Sijaoa na wala sina mtoto hata wa kusingiziwa.
2.0 Elimu IFM, IT technician.
3.0 Mrefu, HB la nguvu ukiniona utanikubali. Sifa zote nzuri ninazo na mbaya wanazo wengine.
Kifupi Zinduna naitwa nipende mimi kutokana na U - HB wangu.
4.0 Nipo tayari kupima ukimwi na kuwa mvumilivu mpaka siku ya harusi yetu.
Amini nakupenda Zinduna.
Wanafiki msiharibu sound yangu hiyo.
 
Hebu weka specs zako Kama "Height, Weight, Skin completion n.k". Pengine haujapenda kubaki hivyo, nauhakika huwezi kosa mashabiki humu jamvini. Kama vipi nning'inizie foto faster kabla wakubwa hawajaamka
 
Sitafuti mchumba wala mume bado nasoma kwanza!

Unasoma chuo gani kwani?
Mimi nipo tayari kukusubiri siku hizi ni nadra sana kupata wanawake wenye heshima kama wewe. Mwanzo wa mbili ni moja, tupo pamoja Zinduna.
 
Sasa siri za PM wewe unazianika hapa ili iweje? Ungewajibu huko huko kuepusha msongamano, hapa naona umejichoresha zaidi si unaona wanavyokudhihaki?
 
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.

Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL

kumbe biqra?
Nasikia za kichina zipo nyingi sana...
 
Back
Top Bottom