Wallahi wabillahi sijawahi kamwe!

bikira zinauzwa,kariakoo makutano ya jamuhuri na agrei! na kuna punguzo la msimu wa sikukuu!
 
tafuta mtu athibitishe hiyo kauli yako,then alete jibu hapa
beyond hapo itakuwa ni porojo kama wanazotoa wenzako mtaan na mwisho wa siku wanakuja umbuka
 
Mbona sijasikia ukitangazwa kama hawa wengine

fanya fanya utangazwe bana tukujue kuwa wewe ni doctor doctor Fidel

Hufuatilii tu babu Asprin na babu Dark City walisha nitangaza paper kibao nimeandika fuatilia maktaba.
 
Hufuatilii tu babu Asprin na babu Dark City walisha nitangaza paper kibao nimeandika fuatilia maktaba.

Mbona maktaba yenyewe imeota buibui kibao kama haijatembelewa mwaka mzima
Bora nikapate laga tuu hapa kusoma paper zako sio issue wala nini
 
Sasa si ungewaPM kama walivyokupm, nini kutuletea hii habari kwenye jamvi, nadhani tunatakiwa tuchague mtu mmoja hapa jamvini atuletee uthibitisho, anyway kama ni kweli hongera
 
Zindu, hujawahi mama, mmh! mbona unapitwa fanya hima uwahi.....
 
Ww ni dume,,unataka uinjoi pm zetu. hasa baada ya kuona kila siku watu wanaanzisha topic za bikra.
 
Umeona eeh, utadhani ansema karibuni.

Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe.
Na biashara matangazo, weka embe zako chumbani kama wanunuzi wataona, zitaoza zote.
uuuuuuwiiii hahahahhahahaa hivi kongosho haya maneno unayatoa wapi...!?
 
Back
Top Bottom