Wallahi wabillahi sijawahi kamwe!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.

Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL
 
Umeona eeh, utadhani ansema karibuni.

Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe.
Na biashara matangazo, weka embe zako chumbani kama wanunuzi wataona, zitaoza zote.

Mkuu ndo maana nimebaki na mshangao
Hapa aim ni kutangaza kuwa yuko bikira apate mtu au anatangaza nini sasa
hapo sijaelewa lengo lake ni nini
 
Kweli eh!
naona wajifurahisha nafsi yako weye!
 
Nani atayekubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Kwanza ambao hawajahi hawajitangazi. Halafu nina mashaka na ID yako unaweza kuwa dume wewe!!!!!
Yote kwa yote unakosa starehe wewe!!!
 
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.

Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL

Wenyewe wamekuPM wewe unawajibu jamvini.

Kaaazi kweli kweli.Au ndio unatafuta mtu kiujanja?
 
Mkuu ndo maana nimebaki na mshangao
Hapa aim ni kutangaza kuwa yuko bikira apate mtu au anatangaza nini sasa
hapo sijaelewa lengo lake ni nini

Sina maana nyingine bali ni kuweka wazi kwamba sijawahi mpaka wakti muafaka utakapofika!
 
Kuna watu humu wanadhani eti mie nishashiriki tendo kabla ya ndoa, jamani nakuapieni wallaahi wala sijawahi hata siku moja. Ni kweli ninao marafiki wa kiume wengi sana wengine naishi nao eneo moja na wengine nimekutana nao FB na hapa JF. Niimeshawahi kuwa na mitoko na baadhi ya marafiki zangu tukiwa na baadhi ya marafiki zetu wa kiume mara kadhaa, lakini si zaidi ya hapo. Wale mnaodhani kuwa nishawahi, leo nawaambieni sivyo hivyo, sijawahi na wala haitatokea hadi pale nitapompata yule nimtarajiae. Nimelelewa na kukuzwa katika maadili ya kidini ambapo ninaamini tendo kabla ya ndoa ni batili na ni dhambi kubwa kwa Mnyaazi Mungu.

Hili ni jibu kwa wale wanaoni-PM kifedhuli…………….Ahsanteni kwa kunielewa! LOL

Asante sana mdogo wa Nazjaz. Tumekuelewa.
 
Sina maana nyingine bali ni kuweka wazi kwamba sijawahi mpaka wakti muafaka utakapofika!

Mhhh habari imekaa kiudaku
Ahhh halafu huku ni chit chat nishapata ujumbe
hongera Zinduna aendelea kulinda Zinduna yako
 
Back
Top Bottom