Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Sayansi ni fact na mazingira.
Sanaa ni maigizo na mazingaombwe.
Nchi ilipokuwa imefikia iliitaji fact na vitendo na sio maigizo na matarakimu ya mapesa.
 
Ni kweli waliosoma sayansi huwa si viongozi wazuri lakini haiwadisqualify kuwa marais, uraisi ni uongozi na uongozi ni mtu yoyote yule mwenye akili timamu anaweza akaushikilia tukisema waliosoma sayansi au waliosoma arts hawafai kuwa viongozi si sahihi kwani ni nani anaefahamu falsafa na nadharia za mtu binafsi juu ya jambo lolote lile iwe ni uongozi, utekelezaji, nidhamu, au sifa yoyote ile ya kiongozi bora HAKUNA, mfano mtu anaweza kuwa ni mwanasayansi ila falsafa, nadharia na mitazamo yake binafsi ikamruhusu kuamini Mungu na uwepo wake pamoja na kuwa sayansi inakinzana na masuala ya miujiza, hivyo mtu kuwa mwanasayansi au wa kada yoyote ile ya elimu hakumdisqualify kuwa kiongozi wa eneo lolote lile mtaani, shuleni, ofisini, au mahala popote pale panapohitaji kiongozi. Usikute ni mwana"art" tangu yupo sekondari sema kafikia hapo kwa kushinikizwa hujawahi ona mtu anakwambia ni kiongozi wa dini fulani lakini hakubaliani na dini yake au kiongozi wa kampuni fulani lakini hakubaliani na mienendo ya kampuni hiyo?....Hivyo basi namna mtu anavyouelewa uongozi ndivyo unaweza ukamqualify kuwa kiongozi na si kwa kada yake ya elimu, siasa, dini au tabaka lolote lile. Je mtu akiwa na Masters ya Criminal Justice na Ph.D ya Forensics( yaani mtu awe anshikiria degree mbili za sayansi na "art") hafai kuwa raisi kwa kigezo hicho? Kama kuna sehemu kwenye katiba imeandika kuwa waliosoma sayansi hawafai kuwa marais basi nifahamishe ila sidhani?
 
Sidhani kama taaluma ya mtu ina uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wake wa kiuongozi!
kausiano kapo ndugu yangu wanasayansi wengi hawafuatilii mambo ya duniani humu yanayofanywa na viongozi ,sasa kama hufuatilii viongozi wanafanyaje utawezaje kuongoza,mimi nina jamaa anasoma IT hata gazeti huwa hasomi TV anaangalia vipindi vya discovery ,na mpira tu
 
Povu la nini wewe! ?? Mbona unawaza shari tu ....hatugombani hapa, jibu tu hoja usiendekeze tabia za "DTIKETA UCHAWRA"!!!

Hakuna povu hapa.Hii hoja ya kijinga,period.Nimetoa mifano hai ya hao watu wa arts/uchumi waliopata kuongoza hii nchi.Labda msaidie wewe kujibu.Wameifikisha wapi hii nchi kiuchumi na kimaendeleo?
 
Ni kweli waliosoma sayansi huwa si viongozi wazuri lakini haiwadisqualify kuwa marais, uraisi ni uongozi na uongozi ni mtu yoyote yule mwenye akili timamu anaweza akaushikilia tukisema waliosoma sayansi au waliosoma arts hawafai kuwa viongozi si sahihi kwani ni nani anaefahamu falsafa na nadharia za mtu binafsi juu ya jambo lolote lile iwe ni uongozi, utekelezaji, nidhamu, au sifa yoyote ile ya kiongozi bora HAKUNA, mfano mtu anaweza kuwa ni mwanasayansi ila falsafa, nadharia na mitazamo yake binafsi ikamruhusu kuamini Mungu na uwepo wake pamoja na kuwa sayansi inakinzana na masuala ya miujiza, hivyo mtu kuwa mwanasayansi au wa kada yoyote ile ya elimu hakumdisqualify kuwa kiongozi wa eneo lolote lile mtaani, shuleni, ofisini, au mahala popote pale panapohitaji kiongozi. Usikute ni mwana"art" tangu yupo sekondari sema kafikia hapo kwa kushinikizwa hujawahi ona mtu anakwambia ni kiongozi wa dini fulani lakini hakubaliani na dini yake au kiongozi wa kampuni fulani lakini hakubaliani na mienendo ya kampuni hiyo?....Hivyo basi namna mtu anavyouelewa uongozi ndivyo unaweza ukamqualify kuwa kiongozi na si kwa kada yake ya elimu, siasa, dini au tabaka lolote lile. Je mtu akiwa na Masters ya Criminal Justice na Ph.D ya Forensics( yaani mtu awe anshikiria degree mbili za sayansi na "art") hafai kuwa raisi kwa kigezo hicho? Kama kuna sehemu kwenye katiba imeandika kuwa waliosoma sayansi hawafai kuwa marais basi nifahamishe ila sidhani?
hapo kwekundu tuko sawa
 
kausiano kapo ndugu yangu wanasayansi wengi hawafuatilii mambo ya duniani humu yanayofanywa na viongozi ,sasa kama hufuatilii viongozi wanafanyaje utawezaje kuongoza,mimi nina jamaa anasoma IT hata gazeti huwa hasomi TV anaangalia vipindi vya discovery ,na mpira tu

Hakuna.

Na ulichofanya hapo ni kusadiki tu.

Kama huyo jamaa yako wa IT hasomi magazeti haimaanishi wengine wengi wa IT hawasomi hayo magazeti.

Acha kurundika watu kwenye gunia moja.
 
hapo kwekundu tuko sawa
Sipo arts wala sayansi. Nipo nadevelop endeavour nyingine ili nimuandae kiongozi ambae hatokuwa na kasoro wala kukosolewa kwa elimu yake, kwani "hakuna aliyemsafi".
 
Hiyo ni too general mkuu ! Sikubaliani na wewe !
Hujatuonyesha perfomance zao kama viongozi zilikuwaje ! Lakini pia baba wa GW alikuwa land surveyor (mwana sayansi ) na ndio aliyefanya makubwa pengine kuliko yeyote!

So sioni kama kuna mpango maalum kuchagua wa art , ni just by chance ,kama ambavyo by chancetumempata Rais wetu mpendwa !
Hapo ni kweli mkuu, It is just by chance. Katika orodha ya mleta mada bado kuna wanasayansi, surveyors na hata marubani wote ni sayansi. Lakini vile vile anatakiwa aelewe uchache wa wanasayansi vs fani zingine. Kuna sual la u-busy, nenda mahakamani uone wanasheria wanavyorundikana kwenye kesi moja pekee (tundu lisu kutetewa na mawakili 17) kitu ambacho huwezi kukikuta kwa daktari au mhandisi.
 
Hakuna povu hapa.Hii hoja ya kijinga,period.Nimetoa mifano hai ya hao watu wa arts/uchumi waliopata kuongoza hii nchi.Labda msaidie wewe kujibu.Wameifikisha wapi hii nchi kiuchumi na kimaendeleo?
wewe unataka kusema uchumi wa tz kwa sasa ni sifuri? najua sio mkubwa sana ila ulikuwa unafanya vizuri sana kwa nchi za Africa, kwa sasa hivi sijui tunakoelekea
 
Kama hutambui mchango wa Nyerere katika uchumi wa Tanzania basi wewe sio mtanzania ,Pugu road ilijaa viwanda tele ile vita ya Iddi Amini ilimchanganya akili kuanzia pale ndio uchumi ulianza kuyumba na ukiongelea umasikini wa tanzania angalia na nchi za kiafrika nyingi ni vilevile tu

Mzee wangu alinisimulia siku hizo walikuwa wanavaa makatambuka,unga foleni,waganga hospitali ni wale walimaliza darasa la saba wakaenda crash program,viwanda hawizalishi kukidhi mahitaji kwa mfano nguo mpaka wakaamua kuruhusu mitumba,darasa la saba hakuna kufaulu bali kuchaguliwa..ni mengi kweli..hiyo kujiingiza kwenye vita na Uganda nayo ni debatable vilevile..halafu two wrongs dont make it right,umasikini wa wengine siyo sababu ya kutufanya na sisi tuwe masikini,sisi tuna kila kitu hapa,shida kuu ni viongozi na sisi wananchi wenyewe
 
Raisi anabidi awe na general knowledge ya kimaendeleo na mahusiano ya kimataifa na kujua nini kinaendelea. Pia yampasa kutumia vzuri wataalamu mbalimbali. Kikubwa kuliko yote hekima busara na kipaji alichopewa na Mungu kuongoza
 
ndio maana nikasema chadema tumekosea kumteua Dr.mashinji kuwa katibu mkuu
wewe wa lumumba wazee wa keyboard buku7
CmNbybzWYAAOXkJ.jpg
 
Mzee wangu alinisimulia siku hizo walikuwa wanavaa makatambuka,unga foleni,waganga hospitali ni wale walimaliza darasa la saba wakaenda crash program,viwanda hawizalishi kukidhi mahitaji kwa mfano nguo mpaka wakaamua kuruhusu mitumba,darasa la saba hakuna kufaulu bali kuchaguliwa..ni mengi kweli..hiyo kujiingiza kwenye vita na Uganda nayo ni debatable vilevile..halafu two wrongs dont make it right,umasikini wa wengine siyo sababu ya kutufanya na sisi tuwe masikini,sisi tuna kila kitu hapa,shida kuu ni viongozi na sisi wananchi wenyewe
Mwl. Nyerere alikuwa mwalimu wa biology na english. Na kwa hivyo inasadikika hata Nyerere alisoma sayansi kabla ya baadaye kusoma art kwenye level ya masters lakini basically Mwl. alikuwa scientist.
 
Hakuna.

Na ulichofanya hapo ni kusadiki tu.

Kama huyo jamaa yako wa IT hasomi magazeti haimaanishi wengine wengi wa IT hawasomi hayo magazeti.

Acha kurundika watu kwenye gunia moja.
ndugu yangu hilo mbona liko wazi kabisa,unadhani civil engineer ana haja sana ya kujua ulimwengu wa kisiasa au ataspend muda mwingi kwenye mambo yao ya engineering.waliosoma sanaa au sheria wanauwezo wa kujenga hoja vizuri zaid kuliko wenzao wa sayansi hilo liko wazi
 
Mzee wangu alinisimulia siku hizo walikuwa wanavaa makatambuka,unga foleni,waganga hospitali ni wale walimaliza darasa la saba wakaenda crash program,viwanda hawizalishi kukidhi mahitaji kwa mfano nguo mpaka wakaamua kuruhusu mitumba,darasa la saba hakuna kufaulu bali kuchaguliwa..ni mengi kweli..hiyo kujiingiza kwenye vita na Uganda nayo ni debatable vilevile..halafu two wrongs dont make it right,umasikini wa wengine siyo sababu ya kutufanya na sisi tuwe masikini,sisi tuna kila kitu hapa,shida kuu ni viongozi na sisi wananchi wenyewe
kumbuka nyerere aliitoa wapi nchi hii,ukweli alijitahidi mimi sikuhadithiwa niliona nasema ile vita ndio iliharibu kila kitu,enzi hizo dar ilikuwa bado ndogo mwananyamala,ilala temeke lami mitaa yote mpaka kibarazani kila mtu alikuwa naa kazi viwanda tele.ni kweli nchi haikuwa na wasomi na hilo sio kosa lake
 
Back
Top Bottom