Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Nimeona ndoa nyingi sana za wanasheria nazo pia zikivunjika...naona watu mmeishiwa hoja
 
Siasa ni ya watu WAONGO WAONGO hivi..
Science haina maelezo mengi..
Pia Mara nyingi watu Wa science sio wafuatiliaji WAZURI wa mambo yasiyowahusu..
Ndio maana unaweza kukuta mwanasayansi yupo Rwanda lakini hamjui hata rais wa Tanzania
Pia huwa sio wazuri Sana kwenye kusoma mavitu meengi..
 
Hata waliosomea U DJ kama Mbowe hawafai kuongoza hata chama.

Ameongoza chama kwa miaka 20 lkn hakina hata ofisi nzuri
Mkuu kwani ofisi ndiyo nini?,kinachotazamwa ni utendaji wa kilichokusudiwa,kama Ccm ina ofisi nzuri lakini asilimia kubwa watu hawana jipya kwa Wananchi,hata Wabunge wake hawajui kujenga hoja na kila kitu ni ndiyo na siyo ajabu Mbunge mmoja ni sawa na Wabunge watano wa Ccm
 
Sayansi na engineering wananyoosha watu! Hawataki ubishi usio na maana, kila siku siasa alafu kufanya kazi ni 0. Tubadilike tuwape waliosoma engineering watunyooshe nchi iende mbele, la sivyo tutapewa mkataba Wa ushoga kisa kupata msaada
 
Tatizo si sayansi wala arts.

Tatizo wahitimu wa vyuo na wahadhiri hawapo well rounded.

Hatuna utamaduni wa kujisomea. Unakuta mhadhiri wa uchumi hajui hata The Economist, FT ni nini..

Tusitoe kauli kwa jumla kwamba watu fulani hawafai. Mfumo wetu wa elimu ni hivyo sana. Unatia aibu. Haumfanyi mtu kuwa curious, kuuliza vitu, kujisomea, kujadili kwa hoja.
 
sasa mtu hujui hata Libya iko wapi katika ramani ya dunia utaongea nini kwenye mikutano ya marais wenzako huko UN
ahaaaaaa si ipo kuwait? Au am a politicians?????? Hapa ni kazi tuuu!
 
Tatizo La Wanasayansi Wanapenda Experiment Hata Panapohitaji Reconciliation Tu
 
tunaongelea nchi mkuu,kumbuka hata baba J hajawahi kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi kumi hakijui chama
Hata waliosomea U DJ kama Mbowe hawafai kuongoza hata chama.

Ameongoza chama kwa miaka 20 lkn hakina hata ofisi nzuri
Donald Reagan alikuwa mcheza sinema kaiongoza Usa kwa ufanisi mkubwa. Shwazinega Gavana.
 
Tatizo si sayansi wala arts.

Tatizo wahitimu wa vyuo na wahadhiri hawapo well rounded.

Hatuna utamaduni wa kujisomea. Unakuta mhadhiri wa uchumi hajui hata The Economist, FT ni nini..

Tusitoe kauli kwa jumla kwamba watu fulani hawafai. Mfumo wetu wa elimu ni hivyo sana. Unatia aibu. Haumfanyi mtu kuwa curious, kuuliza vitu, kujisomea, kujadili kwa hoja.
kweli mkuu naunga mkono hoja wanafunzi wa siku hizi kama amnasoma sociology ni huko huko ataki kujua kidogo kuhusu sheria au kuhusu sayansi japo ya sayari,au uchumi japokwa kiasi kidogo,anakuwa kafngwa ndani ya box la fani yake ,nje ya pale ni galasa
 
Back
Top Bottom