Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Hii post Ngwini lazima wakuunge Mkono
 
Iki ku baliana na Uzi huu ni sawa na kusema hu hitaji high IQ kuwa Rais.
Uongozi ni kipaji na kalama toka kwa Mungu.
Huhitaji kwenda shule kusomea uongozi
 
Mmmmm, unataka kusema nini hapo kwamba jamaa hafai??
 
Dunia huongozwa na wanasiasa,wanasiasa wazuri hawasomi masomo ya sayansi au enginering wanasiasa wazuri husoma masomo ya sanaa,sheria,uchumi na yafananayo na hayo,wanasayansi akitaka kugawa kipande cha bomba la chuma kwa watu wawili atachukua msumeno na kukata hilo bomba katikati,mwanasheria ataangalia nani anastahili kuwa na lile bomba.

Marekani nchi yenye wanasayansi wabobezi lakini walilijua hilo katika marais wao wengi ni wanasheria na wachumi au waliosoma masomo ya sanaa wanasayansi wengi hawana misamiati ya kutosha kisiasa na hawajui waongee nini na wakati gani na wanaongea na nani,kwenye matatizo hawajui watumie lugha gani kuwatuliza wananchi waliokata tamaa wao hutumia misumeno,wao huua mbu ka bastola badala ya kiganja.

Umefika wakati sasa wanasayansi waendelee na tafiti zao lab, kwa Tanzania mifano iko hai wanasayansi wawili wamepata kuwa makamu wa rais hakuna cha maana walichofanya hata kuongea hawajui wameshasahulika na ilionekana kama wanabebwa au walibebwa fulani.umasikini ni kama mlemavu kuongoza masikini au mlemavu kunataka mtu anayejua kucheza na akili zao kauli ndogo tu inaweza kuzua balaa,unaweza kuongoza masikini lakini wana furaha kwa maneno ya kutia moyo na kutokatishana tamaa.

Order President Previous occupation(s)
1 George Washington Land Surveyor, Farmer/plantation owner, Soldier (Commander-in-Chief of the Continental Army)
2 John Adams Lawyer, Farmer
3 Thomas Jefferson Land Surveyor, Writer, Inventor, Lawyer, Architect, Farmer/Plantation owner, Diplomat, Linguist, Theologian
4 James Madison Farmer/plantation owner
5 James Monroe Farmer/plantation owner, Lawyer
6 John Quincy Adams Lawyer
7 Andrew Jackson Soldier (Major General), Lawyer
8 Martin Van Buren Lawyer
9 William Harrison Soldier
10 John Tyler Lawyer
11 James Polk Lawyer, Plantation owner
12 Zachary Taylor Soldier (Army Major General)
13 Millard Fillmore Lawyer
14 Franklin Pierce Lawyer
15 James Buchanan Lawyer, Diplomat
16 Abraham Lincoln Land Surveyor, Lawyer
17 Andrew Johnson Soldier, Tailor
18 Ulysses Grant Soldier, General of the Army
19 Rutherford Hayes Lawyer
20 James Garfield School teacher, minister, soldier
21 Chester Arthur School teacher, lawyer, collector of tariffs
22, 24 Grover Cleveland Sheriff, lawyer, assistant teacher
23 Benjamin Harrison Lawyer, journalist
25 William McKinley Lawyer, Soldier
26 Theodore Roosevelt Public Official, Rancher, Soldier
27 William Taft Lawyer, judge, law reporter, dean of law school at the University of Cincinnati
28 Woodrow Wilson Lawyer, professor, president of Princeton University
29 Warren Harding Newspaper publisher/editor
30 Calvin Coolidge Lawyer, Public Official, Vice President of Northampton Savings Bank
31 Herbert Hoover Engineer, Investor
32 Franklin Roosevelt Lawyer
33 Harry Truman Farmer, Soldier, haberdasher
34 Dwight Eisenhower Soldier (General of the Army), President of Columbia University
35 John F. Kennedy Writer, Sailor (Navy Lieutenant)
36 Lyndon Johnson Teacher, Public Official
37 Richard Nixon Lawyer, Sailor (Navy Lieutenant Commander)
38 Gerald Ford Football Player, Sailor (Navy Lieutenant Commander), Lawyer
39 Jimmy Carter Sailor (Navy Lieutenant),[2] peanut farmer,[3] writer
40 Ronald Reagan[4][5] Actor & broadcaster, President of the Screen Actors Guild[6]
41 George H. W. Bush Pilot (Navy Lieutenant, Junior Grade),[7] Businessman (Oil),[8] C.I.A. Director, Ambassador to China.
42 Bill Clinton Lawyer, Law lecturer
43 George W. Bush Pilot (Texas Air National Guard), Businessman (Oil,[9] baseball)[10]
44 Barack Obama Community Organizer, Lawyer. Lecturer (informally considered by some to be a professor)[11]
Dhana imepitwa na wakati kwa afrika. Wanasayansi ni result oriented mfano jpm. Wasanii ni walaghai mfano el, na wanasheria wakiingia kwenye siasa tayari walishabobea kuuza haki kwa hiyo wanaendeleza rushwa. Aheri wachumi kuliko wasanii na wanasheria.
 
Hao marais uliotutolea sample ni wamarekani wote ambako watu wengi hususani familia za wanasiasa wanagonga art, uchumi kwa sana. Wanasayansi wako kazini.
Hebu chungulia Urusi na Ujerumani pia
 
Hao wasanii na wanasheria wameifanyia nini tz! Zaidi ya kujitajirisha, bora wanasayansi ambao hawana tamaa ya kujilikimbizia mali kama hao waliopita
 
Dunia huongozwa na wanasiasa,wanasiasa wazuri hawasomi masomo ya sayansi au enginering wanasiasa wazuri husoma masomo ya sanaa,sheria,uchumi na yafananayo na hayo,wanasayansi akitaka kugawa kipande cha bomba la chuma kwa watu wawili atachukua msumeno na kukata hilo bomba katikati,mwanasheria ataangalia nani anastahili kuwa na lile bomba.

Marekani nchi yenye wanasayansi wabobezi lakini walilijua hilo katika marais wao wengi ni wanasheria na wachumi au waliosoma masomo ya sanaa wanasayansi wengi hawana misamiati ya kutosha kisiasa na hawajui waongee nini na wakati gani na wanaongea na nani,kwenye matatizo hawajui watumie lugha gani kuwatuliza wananchi waliokata tamaa wao hutumia misumeno,wao huua mbu ka bastola badala ya kiganja.

Umefika wakati sasa wanasayansi waendelee na tafiti zao lab, kwa Tanzania mifano iko hai wanasayansi wawili wamepata kuwa makamu wa rais hakuna cha maana walichofanya hata kuongea hawajui wameshasahulika na ilionekana kama wanabebwa au walibebwa fulani.umasikini ni kama mlemavu kuongoza masikini au mlemavu kunataka mtu anayejua kucheza na akili zao kauli ndogo tu inaweza kuzua balaa,unaweza kuongoza masikini lakini wana furaha kwa maneno ya kutia moyo na kutokatishana tamaa.

Order President Previous occupation(s)
1 George Washington Land Surveyor, Farmer/plantation owner, Soldier (Commander-in-Chief of the Continental Army)
2 John Adams Lawyer, Farmer
3 Thomas Jefferson Land Surveyor, Writer, Inventor, Lawyer, Architect, Farmer/Plantation owner, Diplomat, Linguist, Theologian
4 James Madison Farmer/plantation owner
5 James Monroe Farmer/plantation owner, Lawyer
6 John Quincy Adams Lawyer
7 Andrew Jackson Soldier (Major General), Lawyer
8 Martin Van Buren Lawyer
9 William Harrison Soldier
10 John Tyler Lawyer
11 James Polk Lawyer, Plantation owner
12 Zachary Taylor Soldier (Army Major General)
13 Millard Fillmore Lawyer
14 Franklin Pierce Lawyer
15 James Buchanan Lawyer, Diplomat
16 Abraham Lincoln Land Surveyor, Lawyer
17 Andrew Johnson Soldier, Tailor
18 Ulysses Grant Soldier, General of the Army
19 Rutherford Hayes Lawyer
20 James Garfield School teacher, minister, soldier
21 Chester Arthur School teacher, lawyer, collector of tariffs
22, 24 Grover Cleveland Sheriff, lawyer, assistant teacher
23 Benjamin Harrison Lawyer, journalist
25 William McKinley Lawyer, Soldier
26 Theodore Roosevelt Public Official, Rancher, Soldier
27 William Taft Lawyer, judge, law reporter, dean of law school at the University of Cincinnati
28 Woodrow Wilson Lawyer, professor, president of Princeton University
29 Warren Harding Newspaper publisher/editor
30 Calvin Coolidge Lawyer, Public Official, Vice President of Northampton Savings Bank
31 Herbert Hoover Engineer, Investor
32 Franklin Roosevelt Lawyer
33 Harry Truman Farmer, Soldier, haberdasher
34 Dwight Eisenhower Soldier (General of the Army), President of Columbia University
35 John F. Kennedy Writer, Sailor (Navy Lieutenant)
36 Lyndon Johnson Teacher, Public Official
37 Richard Nixon Lawyer, Sailor (Navy Lieutenant Commander)
38 Gerald Ford Football Player, Sailor (Navy Lieutenant Commander), Lawyer
39 Jimmy Carter Sailor (Navy Lieutenant),[2] peanut farmer,[3] writer
40 Ronald Reagan[4][5] Actor & broadcaster, President of the Screen Actors Guild[6]
41 George H. W. Bush Pilot (Navy Lieutenant, Junior Grade),[7] Businessman (Oil),[8] C.I.A. Director, Ambassador to China.
42 Bill Clinton Lawyer, Law lecturer
43 George W. Bush Pilot (Texas Air National Guard), Businessman (Oil,[9] baseball)[10]
44 Barack Obama Community Organizer, Lawyer. Lecturer (informally considered by some to be a professor)[11]

RUBBISH!
 
Aisee kweli wanasayansi hatufai. Kuna wakati mkulu anatumia nguvu nyingi kutoa ujumbe mdogo mpaka unashangaa.
 
Mangwini yanajipa faraja. Ingekuwa hivyo, nchi hii ingekuwa mbali sana.
mangwini ndio wanarun dunia mkuu,na ndio wanaongoza kwa kula bata duniani ,kwa afrika haya masomo ya sayansi vyuoni magumu na ukimaliza bado maisha magumu mtaani
 
Hao marais uliotutolea sample ni wamarekani wote ambako watu wengi hususani familia za wanasiasa wanagonga art, uchumi kwa sana. Wanasayansi wako kazini.
Hebu chungulia Urusi na Ujerumani pia
hujajiuliza why iwe hivyo
 
Mmmmm, unataka kusema nini hapo kwamba jamaa hafai??
anaweza kufaa tatizo ataonekana dikteta hata kwenye ukweli ni kwamba hajui atumie maneno gani na kwa wakati gani,mkwere alisema kigoma itakuwa dubai lakini kwa kuchekachekaa mpaka leo hakuna anayehoji kama kweli imekuwa dubai so watu hata hawana hasira nae wanajua ulikuwa utani tu ,sasa wanasayansi hawajui utani wa kisiasa
 
Sifa za anayefaa kuwa kiongozi wa nchi (statesman) ni kuwa na weledi (intelligent) mpana wa mambo (hasa ya kiuchumi na kijamii); mwenye busara (rational); na anayeona mbali (strategic) bila kujali fani aliyosomea. Nitatoa mifano. Kati ya viongozi shupavu wa karne ya 20 waliobadilisha mfumo mzima wa uchumi wa dunia ni Margaret Thatcher (UK PM 1979-1991). Huyu alikuwa mtaalam kemia. Kiongozi wa sasa wa Ujerumani, Angela Merkel, ndiye mtu wa pili duniani kwa sasa mwenye ushawishi mkubwa (world's 2nd most powerful person) kwa mujibu wa jarida la Forbes (amepitwa tu na Putin wa Urusi). Merkel ni mtaalam wa fizikia. Rais wa sasa wa China, Xi, ni mhandisi. Siyo kwamba watu waliosoma masomo ya sayansi hawawezi kuwa viongozi wazuri wa kisiasa ila tatizo ni kwamba ni wachache sana huingia kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom