Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

ndio nikasema sasa, kama anaruhusiwa INA maana tumekosea kumteua kuwa katibu wa chama?
we mgumu sana kuelewa sijui umesomea udom kwani lazima yeye pekee agombee urais au chama chenu kian mtu mmojaau chama henu wote wamesoma sayansiau katiba yenuinambana katibu mkuu kuwa lazima agombee urais
 
Hiyo ni too general mkuu ! Sikubaliani na wewe !
Hujatuonyesha perfomance zao kama viongozi zilikuwaje ! Lakini pia baba wa GW alikuwa land surveyor (mwana sayansi ) na ndio aliyefanya makubwa pengine kuliko yeyote!

So sioni kama kuna mpango maalum kuchagua wa art , ni just by chance ,kama ambavyo by chancetumempata Rais wetu mpendwa !
 
we mgumu sana kuelewa sijui umesomea udom kwani lazima yeye pekee agombee urais au chama chenu kian mtu mmojaau chama henu wote wamesoma sayansiau katiba yenuinambana katibu mkuu kuwa lazima agombee urais
kwan katibu mkuu hautaki uraisi?
 
we mgumu sana kuelewa sijui umesomea udom kwani lazima yeye pekee agombee urais au chama chenu kian mtu mmojaau chama henu wote wamesoma sayansiau katiba yenuinambana katibu mkuu kuwa lazima agombee urais
Mkuu,kwani we hauwezi kupima uelewa wa MTU na kuachana nae??

Watu wengine wamebeba vichwa kama mizigo tu!
 
Dunia huongozwa na wanasiasa,wanasiasa wazuri hawasomi masomo ya sayansi au enginering wanasiasa wazuri husoma masomo ya sanaa,sheria,uchumi na yafananayo na hayo,wanasayansi akitaka kugawa kipande cha bomba la chuma kwa watu wawili atachukua msumeno na kukata hilo bomba katikati,mwanasheria ataangalia nani anastahili kuwa na lile bomba.

Marekani nchi yenye wanasayansi wabobezi lakini walilijua hilo katika marais wao wengi ni wanasheria na wachumi au waliosoma masomo ya sanaa wanasayansi wengi hawana misamiati ya kutosha kisiasa na hawajui waongee nini na wakati gani na wanaongea na nani,kwenye matatizo hawajui watumie lugha gani kuwatuliza wananchi waliokata tamaa wao hutumia misumeno,wao huua mbu ka bastola badala ya kiganja.

Umefika wakati sasa wanasayansi waendelee na tafiti zao lab, kwa Tanzania mifano iko hai wanasayansi wawili wamepata kuwa makamu wa rais hakuna cha maana walichofanya hata kuongea hawajui wameshasahulika na ilionekana kama wanabebwa au walibebwa fulani.umasikini ni kama mlemavu kuongoza masikini au mlemavu kunataka mtu anayejua kucheza na akili zao kauli ndogo tu inaweza kuzua balaa,unaweza kuongoza masikini lakini wana furaha kwa maneno ya kutia moyo na kutokatishana tamaa.

Order President Previous occupation(s)
1 George Washington Land Surveyor, Farmer/plantation owner, Soldier (Commander-in-Chief of the Continental Army)
2 John Adams Lawyer, Farmer
3 Thomas Jefferson Land Surveyor, Writer, Inventor, Lawyer, Architect, Farmer/Plantation owner, Diplomat, Linguist, Theologian
4 James Madison Farmer/plantation owner
5 James Monroe Farmer/plantation owner, Lawyer
6 John Quincy Adams Lawyer
7 Andrew Jackson Soldier (Major General), Lawyer
8 Martin Van Buren Lawyer
9 William Harrison Soldier
10 John Tyler Lawyer
11 James Polk Lawyer, Plantation owner
12 Zachary Taylor Soldier (Army Major General)
13 Millard Fillmore Lawyer
14 Franklin Pierce Lawyer
15 James Buchanan Lawyer, Diplomat
16 Abraham Lincoln Land Surveyor, Lawyer
17 Andrew Johnson Soldier, Tailor
18 Ulysses Grant Soldier, General of the Army
19 Rutherford Hayes Lawyer
20 James Garfield School teacher, minister, soldier
21 Chester Arthur School teacher, lawyer, collector of tariffs
22, 24 Grover Cleveland Sheriff, lawyer, assistant teacher
23 Benjamin Harrison Lawyer, journalist
25 William McKinley Lawyer, Soldier
26 Theodore Roosevelt Public Official, Rancher, Soldier
27 William Taft Lawyer, judge, law reporter, dean of law school at the University of Cincinnati
28 Woodrow Wilson Lawyer, professor, president of Princeton University
29 Warren Harding Newspaper publisher/editor
30 Calvin Coolidge Lawyer, Public Official, Vice President of Northampton Savings Bank
31 Herbert Hoover Engineer, Investor
32 Franklin Roosevelt Lawyer
33 Harry Truman Farmer, Soldier, haberdasher
34 Dwight Eisenhower Soldier (General of the Army), President of Columbia University
35 John F. Kennedy Writer, Sailor (Navy Lieutenant)
36 Lyndon Johnson Teacher, Public Official
37 Richard Nixon Lawyer, Sailor (Navy Lieutenant Commander)
38 Gerald Ford Football Player, Sailor (Navy Lieutenant Commander), Lawyer
39 Jimmy Carter Sailor (Navy Lieutenant),[2] peanut farmer,[3] writer
40 Ronald Reagan[4][5] Actor & broadcaster, President of the Screen Actors Guild[6]
41 George H. W. Bush Pilot (Navy Lieutenant, Junior Grade),[7] Businessman (Oil),[8] C.I.A. Director, Ambassador to China.
42 Bill Clinton Lawyer, Law lecturer
43 George W. Bush Pilot (Texas Air National Guard), Businessman (Oil,[9] baseball)[10]
44 Barack Obama Community Organizer, Lawyer. Lecturer (informally considered by some to be a professor)[11]

Hoja ya kijinga hii.Tanzania tangia imepata uhuru mpaka 2015 ilikuwa ikiongozwa na watu wa arts/uchumi,wameifikisha wapi hii nchi kiuchumi na kimaendeleo?Magufuli hajamaliza hata mwaka,ushaanza maneno.

Waarab wala hata hawana muda wa kujua majina ya viongozi wa Tanzania,lakini mtanzania asipojua jina la kiongozi wa nchi ya kiarab ishakuwa nongwa,eti hafai kuwa kiongozi,siyo msomi..Mangwini kwa porojo bana!

Yani wewe unataka watu wanaojua kubwabwaja majukwaani wapiga porojo wenzio,lakini utendaji na ufuatiliaji wa mambo sufuri.Acha nchi iongozwe kisayansi tuje kupima matokeo baada ya miaka 10.
 
ahahaha mchezo hautaki hasira hapa hatumaanishi huyu rais wetu tunaongelea kwa ujumla wake fundi mchundo na mchumi nani anafaa zaidi kuongoza nchi
 
Sidhani kama taaluma ya mtu ina uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wake wa kiuongozi!
 
Jamani si tayari amebadilika baba jeska na ndiomaana alisema badala ya majambazi kuwawa wanyanganywe siraha tena haraka au?na yule wa dakika 1milioni 7 badala ya kusema yuko mikonono mwa serikali au polisi,akasema yuko mikononi salama jamani jamani kick iko sawa au mlikuwa mnatakaje kwa ujumla?
 
Dunia huongozwa na wanasiasa,wanasiasa wazuri hawasomi masomo ya sayansi au enginering wanasiasa wazuri husoma masomo ya sanaa,sheria,uchumi na yafananayo na hayo,wanasayansi akitaka kugawa kipande cha bomba la chuma kwa watu wawili atachukua msumeno na kukata hilo bomba katikati,mwanasheria ataangalia nani anastahili kuwa na lile bomba.

Marekani nchi yenye wanasayansi wabobezi lakini walilijua hilo katika marais wao wengi ni wanasheria na wachumi au waliosoma masomo ya sanaa wanasayansi wengi hawana misamiati ya kutosha kisiasa na hawajui waongee nini na wakati gani na wanaongea na nani,kwenye matatizo hawajui watumie lugha gani kuwatuliza wananchi waliokata tamaa wao hutumia misumeno,wao huua mbu ka bastola badala ya kiganja.

Umefika wakati sasa wanasayansi waendelee na tafiti zao lab, kwa Tanzania mifano iko hai wanasayansi wawili wamepata kuwa makamu wa rais hakuna cha maana walichofanya hata kuongea hawajui wameshasahulika na ilionekana kama wanabebwa au walibebwa fulani.umasikini ni kama mlemavu kuongoza masikini au mlemavu kunataka mtu anayejua kucheza na akili zao kauli ndogo tu inaweza kuzua balaa,unaweza kuongoza masikini lakini wana furaha kwa maneno ya kutia moyo na kutokatishana tamaa.

Order President Previous occupation(s)
1 George Washington Land Surveyor, Farmer/plantation owner, Soldier (Commander-in-Chief of the Continental Army)
2 John Adams Lawyer, Farmer
3 Thomas Jefferson Land Surveyor, Writer, Inventor, Lawyer, Architect, Farmer/Plantation owner, Diplomat, Linguist, Theologian
4 James Madison Farmer/plantation owner
5 James Monroe Farmer/plantation owner, Lawyer
6 John Quincy Adams Lawyer
7 Andrew Jackson Soldier (Major General), Lawyer
8 Martin Van Buren Lawyer
9 William Harrison Soldier
10 John Tyler Lawyer
11 James Polk Lawyer, Plantation owner
12 Zachary Taylor Soldier (Army Major General)
13 Millard Fillmore Lawyer
14 Franklin Pierce Lawyer
15 James Buchanan Lawyer, Diplomat
16 Abraham Lincoln Land Surveyor, Lawyer
17 Andrew Johnson Soldier, Tailor
18 Ulysses Grant Soldier, General of the Army
19 Rutherford Hayes Lawyer
20 James Garfield School teacher, minister, soldier
21 Chester Arthur School teacher, lawyer, collector of tariffs
22, 24 Grover Cleveland Sheriff, lawyer, assistant teacher
23 Benjamin Harrison Lawyer, journalist
25 William McKinley Lawyer, Soldier
26 Theodore Roosevelt Public Official, Rancher, Soldier
27 William Taft Lawyer, judge, law reporter, dean of law school at the University of Cincinnati
28 Woodrow Wilson Lawyer, professor, president of Princeton University
29 Warren Harding Newspaper publisher/editor
30 Calvin Coolidge Lawyer, Public Official, Vice President of Northampton Savings Bank
31 Herbert Hoover Engineer, Investor
32 Franklin Roosevelt Lawyer
33 Harry Truman Farmer, Soldier, haberdasher
34 Dwight Eisenhower Soldier (General of the Army), President of Columbia University
35 John F. Kennedy Writer, Sailor (Navy Lieutenant)
36 Lyndon Johnson Teacher, Public Official
37 Richard Nixon Lawyer, Sailor (Navy Lieutenant Commander)
38 Gerald Ford Football Player, Sailor (Navy Lieutenant Commander), Lawyer
39 Jimmy Carter Sailor (Navy Lieutenant),[2] peanut farmer,[3] writer
40 Ronald Reagan[4][5] Actor & broadcaster, President of the Screen Actors Guild[6]
41 George H. W. Bush Pilot (Navy Lieutenant, Junior Grade),[7] Businessman (Oil),[8] C.I.A. Director, Ambassador to China.
42 Bill Clinton Lawyer, Law lecturer
43 George W. Bush Pilot (Texas Air National Guard), Businessman (Oil,[9] baseball)[10]
44 Barack Obama Community Organizer, Lawyer. Lecturer (informally considered by some to be a professor)[11]
Kumbe labda ndiyo maana hata dunia haiendeshwi namna Mwenyezi Mungu aliagiza. Sababu ni kuongozwa na wasanii, watu wenye uwezo wa kati wa akili. Wanaoishi kwa kukariri hadi hotuba. Fuatilia popote kwa kiasi kikubwa wanafunzi wenye akili mara nyingi husoma sayansi na hasa sayansi inayohusisha fizikia na hisabati. Wanaosoma masomo haya ndiyo wanaoweza kufikiri na kudesign chochote hata namna ya kuongoza kwa kutumia fact pekee. Lakini kwa sababu tunataka kuongozwa kwa kuliwazwa basi akina Lowasa tuwaachieni watuongoze.
 
ahahaha mchezo hautaki hasira hapa hatumaanishi huyu rais wetu tunaongelea kwa ujumla wake fundi mchundo na mchumi nani anafaa zaidi kuongoza nchi

Huna hoja mkuu kajipange upya.Nyerere alisomea na uchumi Scotland,Kikwete alisoma uchumi UDSM-vipi Tanzania waliifikisha wapi kiuchumi na kimaendeleo?kama kuna fundi mchundo anafaa,wacha aongoze tuone nae atatufikisha wapi
 
Hoja ya kijinga hii.Tanzania tangia imepata uhuru mpaka 2015 ilikuwa ikiongozwa na watu wa arts/uchumi,wameifikisha wapi hii nchi kiuchumi na kimaendeleo?Magufuli hajamaliza hata mwaka,ushaanza maneno.

Waarab wala hata hawana muda wa kujua majina ya viongozi wa Tanzania,lakini mtanzania asipojua jina la kiongozi wa nchi ya kiarab ishakuwa nongwa,eti hafai kuwa kiongozi,siyo msomi..Mangwini kwa porojo bana!

Yani wewe unataka watu wanaojua kubwabwaja majukwaani wapiga porojo wenzio,lakini utendaji na ufuatiliaji wa mambo sufuri.Acha nchi iongozwe kisayansi tuje kupima matokeo baada ya miaka 10.
Povu la nini wewe! ?? Mbona unawaza shari tu ....hatugombani hapa, jibu tu hoja usiendekeze tabia za "DTIKETA UCHAWRA"!!!
 
Huna hoja mkuu kajipange upya.Nyerere alisomea na uchumi Scotland,Kikwete alisoma uchumi UDSM-vipi Tanzania waliifikisha wapi kiuchumi na kimaendeleo?kama kuna fundi mchundo anafaa,wacha aongoze tuone nae atatufikisha wapi
Kama hutambui mchango wa Nyerere katika uchumi wa Tanzania basi wewe sio mtanzania ,Pugu road ilijaa viwanda tele ile vita ya Iddi Amini ilimchanganya akili kuanzia pale ndio uchumi ulianza kuyumba na ukiongelea umasikini wa tanzania angalia na nchi za kiafrika nyingi ni vilevile tu
 
Jamani si tayari amebadilika baba ***** na ndiomaana alisema badala ya majambazi kuwawa wanyanganywe siraha tena haraka au?na yule wa dakika 1milioni 7 badala ya kusema yuko mikonono mwa serikali au polisi,akasema yuko mikononi salama jamani jamani kick iko sawa au mlikuwa mnatakaje kwa ujumla?
anaanza kubadilika taratiiiibu
 
Back
Top Bottom