Mleta maada ameleta makusudi hata hivyo kwa kuchagua USA. USA haina demokrasia kivile kama mleta maada anavyoamua kutuaminisha. USA kwa mfano kuna vi establishment nk. Hivyo kama hawa watu wamwanzo walikuwa wamesoma law ama economics basi kakindi kao katakuwa ka muelekeo huo huo. Marekani wale wayahudi wanaomiliki ma bank ndo wana influence kubwa ktk kuamua myahudi yupi awe rais wa USA.
Ni logically, wayahudi wanaomiliki ma bank wawe na ushirika na mtu aliyesoma ma physics ama ma chemia.
Sasa mleta maada, unataka pia kutuambia kule Qatar, UAE, Saudia wamendelea sana kwa sababu ni ule ukoo wa kifalme ndo una uwezo wa kuongoza na kutoa maamuzi sahihi? Ama ni kwa sababu tu ilitokea pale mwanzo huo ukoo ukapata chansi na ku retain hiyo status?
Na pia ungefanya sampling vizuri kwa nchi nyingi ukizingatia , number zao against wengine.