Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

Mimi ni sayansi pure bt nko very deep kufatilia siasa ya dunia nzima kiujumla
 
Hapana, ni mwanasayansi wetu tu, mbona wapo marais wanasayansi na walifanya vyema tu, mfano ni rais mstaafu wa Iran Ahmenidjad ni profesa aa chuo kikuu cha mambo ya injia. Hata baada ya kustaafu yuko anaendelea na kazi yake ya ualimu.
 
Mbowe alisomea nini na ana kiwango cha elimu gani? Nikijibiwa swali hili nitarudi kuchangia
 
Kwa maoni yako nani angefaa kuwa rais ktk wagombea wa mwaka jana
 
mhhh, huu nao sio uchochezi?
ila mimi kwa uzoefu wangu walimu walionifundisha kemia, hesabu na physics wote walikua wenge tupu

ukiunganisha na zile kauli za kuchomoa tairi na kuuza, kauli kwa wanafunzi wa Udom, kunyang'anya sukari na kugawa bure, polisi ''kuwanyang'anya" silaha majambazi etc... utapata jibu sahihi
 
Dunia huongozwa na wanasiasa,wanasiasa wazuri hawasomi masomo ya sayansi au enginering wanasiasa wazuri husoma masomo ya sanaa,sheria,uchumi na yafananayo na hayo,wanasayansi akitaka kugawa kipande cha bomba la chuma kwa watu wawili atachukua msumeno na kukata hilo bomba katikati,mwanasheria ataangalia nani anastahili kuwa na lile bomba.

Marekani nchi yenye wanasayansi wabobezi lakini walilijua hilo katika marais wao wengi ni wanasheria na wachumi au waliosoma masomo ya sanaa wanasayansi wengi hawana misamiati ya kutosha kisiasa na hawajui waongee nini na wakati gani na wanaongea na nani,kwenye matatizo hawajui watumie lugha gani kuwatuliza wananchi waliokata tamaa wao hutumia misumeno,wao huua mbu ka bastola badala ya kiganja.

Umefika wakati sasa wanasayansi waendelee na tafiti zao lab, kwa Tanzania mifano iko hai wanasayansi wawili wamepata kuwa makamu wa rais hakuna cha maana walichofanya hata kuongea hawajui wameshasahulika na ilionekana kama wanabebwa au walibebwa fulani.umasikini ni kama mlemavu kuongoza masikini au mlemavu kunataka mtu anayejua kucheza na akili zao kauli ndogo tu inaweza kuzua balaa,unaweza kuongoza masikini lakini wana furaha kwa maneno ya kutia moyo na kutokatishana tamaa.

Order President Previous occupation(s)
1 George Washington Land Surveyor, Farmer/plantation owner, Soldier (Commander-in-Chief of the Continental Army)
2 John Adams Lawyer, Farmer
3 Thomas Jefferson Land Surveyor, Writer, Inventor, Lawyer, Architect, Farmer/Plantation owner, Diplomat, Linguist, Theologian
4 James Madison Farmer/plantation owner
5 James Monroe Farmer/plantation owner, Lawyer
6 John Quincy Adams Lawyer
7 Andrew Jackson Soldier (Major General), Lawyer
8 Martin Van Buren Lawyer
9 William Harrison Soldier
10 John Tyler Lawyer
11 James Polk Lawyer, Plantation owner
12 Zachary Taylor Soldier (Army Major General)
13 Millard Fillmore Lawyer
14 Franklin Pierce Lawyer
15 James Buchanan Lawyer, Diplomat
16 Abraham Lincoln Land Surveyor, Lawyer
17 Andrew Johnson Soldier, Tailor
18 Ulysses Grant Soldier, General of the Army
19 Rutherford Hayes Lawyer
20 James Garfield School teacher, minister, soldier
21 Chester Arthur School teacher, lawyer, collector of tariffs
22, 24 Grover Cleveland Sheriff, lawyer, assistant teacher
23 Benjamin Harrison Lawyer, journalist
25 William McKinley Lawyer, Soldier
26 Theodore Roosevelt Public Official, Rancher, Soldier
27 William Taft Lawyer, judge, law reporter, dean of law school at the University of Cincinnati
28 Woodrow Wilson Lawyer, professor, president of Princeton University
29 Warren Harding Newspaper publisher/editor
30 Calvin Coolidge Lawyer, Public Official, Vice President of Northampton Savings Bank
31 Herbert Hoover Engineer, Investor
32 Franklin Roosevelt Lawyer
33 Harry Truman Farmer, Soldier, haberdasher
34 Dwight Eisenhower Soldier (General of the Army), President of Columbia University
35 John F. Kennedy Writer, Sailor (Navy Lieutenant)
36 Lyndon Johnson Teacher, Public Official
37 Richard Nixon Lawyer, Sailor (Navy Lieutenant Commander)
38 Gerald Ford Football Player, Sailor (Navy Lieutenant Commander), Lawyer
39 Jimmy Carter Sailor (Navy Lieutenant),[2] peanut farmer,[3] writer
40 Ronald Reagan[4][5] Actor & broadcaster, President of the Screen Actors Guild[6]
41 George H. W. Bush Pilot (Navy Lieutenant, Junior Grade),[7] Businessman (Oil),[8] C.I.A. Director, Ambassador to China.
42 Bill Clinton Lawyer, Law lecturer
43 George W. Bush Pilot (Texas Air National Guard), Businessman (Oil,[9] baseball)[10]
44 Barack Obama Community Organizer, Lawyer. Lecturer (informally considered by some to be a professor)[11]

Tuletee hyo list kwa upande wa marais wa nchi ya China.
 
Mbowe alisomea nini na ana kiwango cha elimu gani? Nikijibiwa swali hili nitarudi kuchangia
Mkuu,kwanini usifungue Uzi wako ukauliza hili swali..
Mbona hapa tunazungumzia nafasi ya urais..
Au mbowe aliwahi kuwa rais??
 
Nafasi ya urais kwa mtazamo wa uwezo wa kuongoza watu...rejea mfano wa chuma uliotolewa hapo juu
 
Mkuu,kwanini usifungue Uzi wako ukauliza hili swali..
Mbona hapa tunazungumzia nafasi ya urais..
Au mbowe aliwahi kuwa rais??
kuna mijitu humu sijui ni villaza au wanajitoa fahamu hawataki kuelewa
 
Mkuu jaribu kuweka ushabiki pembeni kuna kitu hapo cha kujifunza.Ivi kwenye orodha ya maraisi wa marekani kaweka makatibu wa vyama?
kwan katibu wa chama hawezi kugombea uraisi??
 
Back
Top Bottom