Waliosoma sayansi hawafai kuwa marais

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
19,979
49,078
Dunia huongozwa na wanasiasa,wanasiasa wazuri hawasomi masomo ya sayansi au enginering wanasiasa wazuri husoma masomo ya sanaa,sheria,uchumi na yafananayo na hayo,wanasayansi akitaka kugawa kipande cha bomba la chuma kwa watu wawili atachukua msumeno na kukata hilo bomba katikati,mwanasheria ataangalia nani anastahili kuwa na lile bomba.

Marekani nchi yenye wanasayansi wabobezi lakini walilijua hilo katika marais wao wengi ni wanasheria na wachumi au waliosoma masomo ya sanaa wanasayansi wengi hawana misamiati ya kutosha kisiasa na hawajui waongee nini na wakati gani na wanaongea na nani,kwenye matatizo hawajui watumie lugha gani kuwatuliza wananchi waliokata tamaa wao hutumia misumeno,wao huua mbu ka bastola badala ya kiganja.

Umefika wakati sasa wanasayansi waendelee na tafiti zao lab, kwa Tanzania mifano iko hai wanasayansi wawili wamepata kuwa makamu wa rais hakuna cha maana walichofanya hata kuongea hawajui wameshasahulika na ilionekana kama wanabebwa au walibebwa fulani.umasikini ni kama mlemavu kuongoza masikini au mlemavu kunataka mtu anayejua kucheza na akili zao kauli ndogo tu inaweza kuzua balaa,unaweza kuongoza masikini lakini wana furaha kwa maneno ya kutia moyo na kutokatishana tamaa.

Order President Previous occupation(s)
1 George Washington Land Surveyor, Farmer/plantation owner, Soldier (Commander-in-Chief of the Continental Army)
2 John Adams Lawyer, Farmer
3 Thomas Jefferson Land Surveyor, Writer, Inventor, Lawyer, Architect, Farmer/Plantation owner, Diplomat, Linguist, Theologian
4 James Madison Farmer/plantation owner
5 James Monroe Farmer/plantation owner, Lawyer
6 John Quincy Adams Lawyer
7 Andrew Jackson Soldier (Major General), Lawyer
8 Martin Van Buren Lawyer
9 William Harrison Soldier
10 John Tyler Lawyer
11 James Polk Lawyer, Plantation owner
12 Zachary Taylor Soldier (Army Major General)
13 Millard Fillmore Lawyer
14 Franklin Pierce Lawyer
15 James Buchanan Lawyer, Diplomat
16 Abraham Lincoln Land Surveyor, Lawyer
17 Andrew Johnson Soldier, Tailor
18 Ulysses Grant Soldier, General of the Army
19 Rutherford Hayes Lawyer
20 James Garfield School teacher, minister, soldier
21 Chester Arthur School teacher, lawyer, collector of tariffs
22, 24 Grover Cleveland Sheriff, lawyer, assistant teacher
23 Benjamin Harrison Lawyer, journalist
25 William McKinley Lawyer, Soldier
26 Theodore Roosevelt Public Official, Rancher, Soldier
27 William Taft Lawyer, judge, law reporter, dean of law school at the University of Cincinnati
28 Woodrow Wilson Lawyer, professor, president of Princeton University
29 Warren Harding Newspaper publisher/editor
30 Calvin Coolidge Lawyer, Public Official, Vice President of Northampton Savings Bank
31 Herbert Hoover Engineer, Investor
32 Franklin Roosevelt Lawyer
33 Harry Truman Farmer, Soldier, haberdasher
34 Dwight Eisenhower Soldier (General of the Army), President of Columbia University
35 John F. Kennedy Writer, Sailor (Navy Lieutenant)
36 Lyndon Johnson Teacher, Public Official
37 Richard Nixon Lawyer, Sailor (Navy Lieutenant Commander)
38 Gerald Ford Football Player, Sailor (Navy Lieutenant Commander), Lawyer
39 Jimmy Carter Sailor (Navy Lieutenant),[2] peanut farmer,[3] writer
40 Ronald Reagan[4][5] Actor & broadcaster, President of the Screen Actors Guild[6]
41 George H. W. Bush Pilot (Navy Lieutenant, Junior Grade),[7] Businessman (Oil),[8] C.I.A. Director, Ambassador to China.
42 Bill Clinton Lawyer, Law lecturer
43 George W. Bush Pilot (Texas Air National Guard), Businessman (Oil,[9] baseball)[10]
44 Barack Obama Community Organizer, Lawyer. Lecturer (informally considered by some to be a professor)[11]
 
we acha mbogo zimelala watu wanaigeuzia art kila shida mara ufsad, mara akili ndogo, et haina tija ni mzigo. mkuu fahamu art ina ubunifu mwing katika mambo na matatizo kuliko sayans kila ki2 kufundishwa yan shida
 
Dunia huongozwa na wanasiasa,wanasiasa wazuri hawasomi masomo ya sayansi au enginering wanasiasa wazuri husoma masomo ya sanaa,sheria,uchumi na yafananayo na hayo,wanasayansi akitaka kugawa kipande cha bomba la chuma kwa watu wawili atachukua msumeno na kukata hilo bomba katikati,mwanasheria ataangalia nani anastahili kuwa na lile bomba.

Marekani nchi yenye wanasayansi wabobezi lakini walilijua hilo katika marais wao wengi ni wanasheria na wachumi au waliosoma masomo ya sanaa wanasayansi wengi hawana misamiati ya kutosha kisiasa na hawajui waongee nini na wakati gani na wanaongea na nani,kwenye matatizo hawajui watumie lugha gani kuwatuliza wananchi waliokata tamaa wao hutumia misumeno,wao huua mbu ka bastola badala ya kiganja.

umefika wakati sasa wanasayansi waendelee na tafiti zao lab,kwa Tanzania mifano iko hai wanasayansi wawili wamepata kuwa makamu wa rais hakuna cha maana walichofanya hata kuongea hawajui wameshasahulika na ilionekana kama wanabebwa au walibebwa fulani.umasikini ni kama mlemavu kuongoza masikini au mlemavu kunataka mtu anayejua kucheza na akili zao kauli ndogo tu inaweza kuzua balaa,unaweza kuongoza masikini lakini wana furaha kwa maneno ya kutia moyo na kutokatishana tamaa,
Order President Previous occupation(s)
1 George Washington Land Surveyor, Farmer/plantation owner, Soldier (Commander-in-Chief of the Continental Army)
2 John Adams Lawyer, Farmer
3 Thomas Jefferson Land Surveyor, Writer, Inventor, Lawyer, Architect, Farmer/Plantation owner, Diplomat, Linguist, Theologian
4 James Madison Farmer/plantation owner
5 James Monroe Farmer/plantation owner, Lawyer
6 John Quincy Adams Lawyer
7 Andrew Jackson Soldier (Major General), Lawyer
8 Martin Van Buren Lawyer
9 William Harrison Soldier
10 John Tyler Lawyer
11 James Polk Lawyer, Plantation owner
12 Zachary Taylor Soldier (Army Major General)
13 Millard Fillmore Lawyer
14 Franklin Pierce Lawyer
15 James Buchanan Lawyer, Diplomat
16 Abraham Lincoln Land Surveyor, Lawyer
17 Andrew Johnson Soldier, Tailor
18 Ulysses Grant Soldier, General of the Army
19 Rutherford Hayes Lawyer
20 James Garfield School teacher, minister, soldier
21 Chester Arthur School teacher, lawyer, collector of tariffs
22, 24 Grover Cleveland Sheriff, lawyer, assistant teacher
23 Benjamin Harrison Lawyer, journalist
25 William McKinley Lawyer, Soldier
26 Theodore Roosevelt Public Official, Rancher, Soldier
27 William Taft Lawyer, judge, law reporter, dean of law school at the University of Cincinnati
28 Woodrow Wilson Lawyer, professor, president of Princeton University
29 Warren Harding Newspaper publisher/editor
30 Calvin Coolidge Lawyer, Public Official, Vice President of Northampton Savings Bank
31 Herbert Hoover Engineer, Investor
32 Franklin Roosevelt Lawyer
33 Harry Truman Farmer, Soldier, haberdasher
34 Dwight Eisenhower Soldier (General of the Army), President of Columbia University
35 John F. Kennedy Writer, Sailor (Navy Lieutenant)
36 Lyndon Johnson Teacher, Public Official
37 Richard Nixon Lawyer, Sailor (Navy Lieutenant Commander)
38 Gerald Ford Football Player, Sailor (Navy Lieutenant Commander), Lawyer
39 Jimmy Carter Sailor (Navy Lieutenant),[2] peanut farmer,[3] writer
40 Ronald Reagan[4][5] Actor & broadcaster, President of the Screen Actors Guild[6]
41 George H. W. Bush Pilot (Navy Lieutenant, Junior Grade),[7] Businessman (Oil),[8] C.I.A. Director, Ambassador to China.
42 Bill Clinton Lawyer, Law lecturer
43 George W. Bush Pilot (Texas Air National Guard), Businessman (Oil,[9] baseball)[10]
44 Barack Obama Community Organizer, Lawyer. Lecturer (informally considered by some to be a professor)[11]
Hata waliosomea U DJ kama Mbowe hawafai kuongoza hata chama.

Ameongoza chama kwa miaka 20 lkn hakina hata ofisi nzuri
 
tunaongelea nchi mkuu,kumbuka hata baba J hajawahi kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi kumi hakijui chama
 
kwa hyo unamaanisha chadema kumteua katibu mkuu Dr.mashinji tumekosea??
Dr Mashinji anagombea urais?kwanza ndio nani umeshawahi hata kusikia sauti yake ,jamaa hana kaliba ya kuwa kiongozi wa nchi sio mzungumzaji,siasa ni kuongea ,kama hujui kucheza na maneno siasa sio kazi yako katafute kazi nyingine tu
 
nimenukuu ulivyosema wanaosoma sayansi sio wanasiasa wazuri!
 
Back
Top Bottom