Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Reviews sometimes ni fake. Nimewahi kumpa mtu kazi Fiverr ana uwezo mdogo sana, nkaishia kucancel tu.Tafuta upwork na kabla ya kumpa kazi soma project zake za awali na review ya clients wake.
Sema kuna Freelancing site mpya inaitwa Freeup.net wanafanya screening ya hali ya juu. Labda nitajaribu huko.
Issue ni kwenye malipo, hii ya kulipana per hour sijawahi kuielewa. Mfano unataka article writer atafanyaje kazi on hourly basis.